NDABANINGI SITHOLE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 529
- 530
Ndio,kwenye kitengo kuna idara zaidi ya 4,na hizi idara kila moja ina kazi yake,na haziwajibiki kwa mtu mmoja,Hivi ndani ya idara Kuna idara inayoweza kupanga njama dhidi ya bosi (dgi) wao au sponsor kwa manufaa ya nchi bila dgi na sponsor kujua?