Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Dah YAANI NYUZI ZA JF NI TAMU SANA KAMA WEWE NI EXPERT WA KUUNGANISHA DOTS NA KU BREAK CODES [emoji2][emoji2][emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Dah YAANI NYUZI ZA JF NI TAMU SANA KAMA WEWE NI EXPERT WA KUUNGANISHA DOTS NA KU BREAK CODES [emoji2][emoji2][emoji12]
Ubongo wangu umepata chakula kitamu sanaKwanini isiwezekane Mkuu. Kwa ufupi kabisa TISS ya sasa ipo very segmented. Zamani ilikuwa mtu mmoja ana Information nyingi sana hadi inakuwa hatari. Kwa sasa Mtendaji anakuwa na portion ndogo sana ya taarifa hasa katika ile task uliyopewa tu. Ndio maana unaweza kufukuzwa kazi na usiwe na madhara yoyote, yaani ukaenda kuwa looser tu mtaani.
Tambua ndani ya TISS kuna TISS na ndani ya TISS kuna TISS pia....... the list goes on.
Wewe jamaa ni TISS typicallyKwa kifupi kombe alikuwa ni mzito wa wanaojulikana,lkn nyuma yake kuna wanee wasiojulikana,ndio maana kipindi cha G55,kombe alipewa onyo juu ya mienendo yake,na waliompa onyo hawajui,baadae alipoanza kufuatilia juu ya nani alievujisha hizo taarifa,alionywa kwa mala ya pili,NA hili onyo lilikuwa likitoka nje ya nchi,KUMBUKA,room no 103,Najibulla motel, nyerere driving, ghabalone,kwa taatifa yako,hakuna mzito asiefuatiliwa na kunuswa nyayo zake,
AiseeMarehemu alitaka amtumie mzee wa kiraracha kuchukua dola kwa njia ya sanduku la kura. Nyuma ya pazia, mzee wa kiraracha angefeli urais ( hakuwa na safu kubwa ya uongozi) na ndipo marehemu kwa kutumia influence ya jw, "kumbuka cheo cha marehemu kilikuwa kikubwa ( maj gen)"
angepindua nchi.
Kwa hiyo Lyatonga alikuwa chambo.
Baada ya Lyatonga kuukosa, marehemu akawa anaendelea kuvujisha info.
Aliitwa white hse kuulizwa "hizi taarifa nyeti zinatokaje ndani ya idara yako?
Alivyokuwa bwege akasema sijui. Akapigwa chini.
Kumbuka ile NSC( ya wakati ule ilikuwa ina unyerere.
Nsc national security council.
Umepata picha walau kidogo.
Ishu za intelligence ni ngumu na maamuzi yake huwa ya kibabe yeye haoni akina Edward Sonwden, na wengine wanakimbilia nchi za maadui, Hakuna serikali ambayo haiuwi watu ambao ni tishio au wanavujisha mambo nyeti ya nchiIntelligence officer,akiuliwa,hiyo sio assassination,ni sehemu ya kazi ya taasisi yoyote ya ujasusi duniani,
Hayo ndio huwa malipo ya Usaliti,ukisaliti uongozi uliopo wa kisiasa ambao ndio boss wa taasisi yeyote ya kijasusi katika nchi,lazima uondolewe,au ukimbilie uamishoni Kama wale mageneral wa Rwanda,waliposhindwana na Kagame wakalala mbele,tatizo wakajisahau,Kagame aka strike Tena,mmoja akapoteza maisha,alinyongwa hotelini.
Jasusi akiuliwa,ukweli unakuwa mgumu sana kujurikana nani kafanya mambo,
Wakati mwingine taasisi za kijasusi za nje zinaweza zinaendesha operation Ili kuwachonganisha.
Mfano,chukulia Membe akipigwa Risasi,lawama zitaenda moja kwa moja kwa Maghu,na nchi haitakarika.
Mfano mwingine,ukitaka Kenya iwake moto,Makamu wa Raisi Wiliam Ruto ashambuliwe kwa risasi,msafara wake.,watu wote watasema Uhuru Kenyata ndio kafanya,hata Kama hiyo operation imefanywa na covert unit kutoka Tanzania,na Kenya itachafuka kinoma,uchumi utayumba,adui...mwombee njaa,watalii wote watakimbilia bongo,tutakuwa tumemuweza mshindani wetu.
Ila siku akijua!vita ya Dunia ya East Afrika lazima itokee
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Rudi tena malindi ukabukue nukuu zako vizuriHii wanayo sana USA. Wakienda kuwafanyia Training, miongoni mwenu wanageuzwa kuwa Double agents, yaani you work for them, and you work for your country. Kama deep state haipo makini inakuwa na watendaji hawa bila kujua.
Sijakosea kitu. Chaga movement katika complains zao ni pamoja na matukio yaliyotokea wakati wa uongozi wa JK Nyerere.mauaji ya Lt.Gen.Kombe yalitokea wakati wa utawala wa Mkapa. Nadhani unakosea unapomhusisha JK.
Kwa namna hii , ndio maana wamekata lile bomba la kigogo la kupata pia taarifa kizembe zembe. Diwani Athuman kwa sehemu flani amezaa matundaKwanini isiwezekane Mkuu. Kwa ufupi kabisa TISS ya sasa ipo very segmented. Zamani ilikuwa mtu mmoja ana Information nyingi sana hadi inakuwa hatari. Kwa sasa Mtendaji anakuwa na portion ndogo sana ya taarifa hasa katika ile task uliyopewa tu. Ndio maana unaweza kufukuzwa kazi na usiwe na madhara yoyote, yaani ukaenda kuwa looser tu mtaani.
Tambua ndani ya TISS kuna TISS na ndani ya TISS kuna TISS pia....... the list goes on.
Roger that.Huyu Bwana, aliingia mkenge wa Chaga movement. Wakati huo ukiondoa Wahaya na Wanyakyusa, Wachaga walikuwa na wasomi wengi hadi kujiaminisha kuwa wanaweza kuendesha nchi wenyewe kwa kushika nafasi nyeti za uongozi. Na by that time post nyingi muhimu walikuwa wamezishika na hivyo kujiona it was their turn to hold the highest post.
Pia walikuwa na complains zao dhidi ya Jk.
Yeye kosa lake ni kutojitambua kuwa kwa rank yake hakupaswa kufumbia macho hiyo movement na wala hakupaswa kuwa sehemu ya hiyo movement.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mkuu walimlinganisha Edward Snowden na marehemu major General Imran Kombe?Ishu za intelligence ni ngumu na maamuzi yake huwa ya kibabe yeye haoni akina Edward Sonwden, na wengine wanakimbilia nchi za maadui, Hakuna serikali ambayo haiuwi watu ambao ni tishio au wanavujisha mambo nyeti ya nchi
Sawa jasusi qInatosha kuambiwa alimisbehave
Kwaiyo kombe angeweza kuwa Raia namba moja kama wangemchekea ?Mkuu walimlinganisha Edward Snowden na marehemu major General Imran Kombe?
Nikupe mfano, Simba dume akimtaka simba jike lakini simba jike huyo ana mtoto au watoto ni lazima ataviua vitoto vyote hivyo ili aanze upya mji wake.
Kwenye duru kama hii tuzungumziayo, haya masuala ni lazima yatokee lakini kuua huko ni kumpeleka mtu ubalozi na kadhalika.
Sasa pale palitokea mafahali wawili na isingekuwa rahisi kuishi zizi moja.
Ila inasikitisha kisanga hiki hakikuelezwa uzuri kwenye "My Life My Purpose" labda ingetupatia mwanga kidogo.
Ila kwa hakika Kombe alikuwa ni jasusi mahiri khasa kwenye military intelligence na wazee wengi kama mzee wangu (mzee Uledi) ambae hunipa story za hawa mazee anakiri huyu jamaa alikuwa ni mwamba.
Na hii ndo sababu hayati Mwalimu akampa uDG wa TISS kwani Kombe alikuwa rank moja kikazi na watu kama M7 na PG ambao nao walikuwa sehemu ya MI kule kwenye vita ya Uganda.
Weye unga codes utanifahamu uzuri ninachoongea.
Huyu Bwana, aliingia mkenge wa Chaga movement. Wakati huo ukiondoa Wahaya na Wanyakyusa, Wachaga walikuwa na wasomi wengi hadi kujiaminisha kuwa wanaweza kuendesha nchi wenyewe kwa kushika nafasi nyeti za uongozi. Na by that time post nyingi muhimu walikuwa wamezishika na hivyo kujiona it was their turn to hold the highest post.
Pia walikuwa na complains zao dhidi ya Jk.
Yeye kosa lake ni kutojitambua kuwa kwa rank yake hakupaswa kufumbia macho hiyo movement na wala hakupaswa kuwa sehemu ya hiyo movement.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
hanafanikiwa bado. huyo kigogo hategemei bomba moja. na sito shangaa kama kigogo ni mwana system au watu walioko system ambao wameanzisha vuguvugu lao.Kwa namna hii , ndio maana wamekata lile bomba la kigogo la kupata pia taarifa kizembe zembe. Diwani Athuman kwa sehemu flani amezaa matunda
hanafanikiwa bado. huyo kigogo hategemei bomba moja. na sito shangaa kama kigogo ni mwana system au watu walioko system ambao wameanzisha vuguvugu lao.
na amerudi again. TISS wajiangalie tena.
Kupata taarifa za msiba wa maalimu ndio tusema karudi tena ? Kwanini wameacha TISS wazawa wakamchukua huyu Diwani ? Nafikiri na hapo ndio pana shida ingine. Kigogo2014 ni mtu wa system na hakuwa katika junior level, huenda pia ame mentor wengi na ndio anawatumiahanafanikiwa bado. huyo kigogo hategemei bomba moja. na sito shangaa kama kigogo ni mwana system au watu walioko system ambao wameanzisha vuguvugu lao.
na amerudi again. TISS wajiangalie tena.
sija classfy ni taarifa ipi imenifanya kusema kuwa karudi. before hata msiba wa maalim amekuwa aki spill taarifa fulani nje.Kupata taarifa za msiba wa maalimu ndio tusema karudi tena ? Kwanini wameacha TISS wazawa wakamchukua huyu Diwani ? Nafikiri na hapo ndio pana shida ingine. Kigogo2014 ni mtu wa system na hakuwa katika junior level, huenda pia ame mentor wengi na ndio anawatumia
Ni mtanzania. Maana yangu TISS mzawa, aliekulia ndani. Naamini hili la diwani wengi wazee mle tena wakongwe kama hawakulipenda ila hawakuwa na namna. Na nifikiri pia mteuaji alikuwa na mashaka ya kuteua DG ambae ni zao la mtangulizi wake au watu wa watusija classfy ni taarifa ipi imenifanya kusema kuwa karudi. before hata msiba wa maalim amekuwa aki spill taarifa fulani nje.
sorry Kwani diwani si mtanzania?