Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Sasa kama vyanzo vyako vinakwambia hivyo unatuuliza ili tufanye sisi?Vyanzo vyangu vinaniambia bwana DIWAN ATHMAN NDIYO ALIFYATUA RISASI ZILE KWA EMRAN KOMBE JE NI KWELI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama vyanzo vyako vinakwambia hivyo unatuuliza ili tufanye sisi?Vyanzo vyangu vinaniambia bwana DIWAN ATHMAN NDIYO ALIFYATUA RISASI ZILE KWA EMRAN KOMBE JE NI KWELI
Huyu aliuwawa na polisi na sababu waliyoitoa ni kuwa walimfananisha na jambazi. Aliponyoshewa bastola, aliinua mikono juu kujisalimisha lakini walimuwasha risasi.Waslaam wakuu.
Swali langu linahusu mauaji ya huyu bwana ambaye alishawahi kuwa shushushu mkuu.
Yalikuwa mauaji ya kutatanisha kweli, mpaka leo hapajawahi kuwa na majibu ya kisomi na ya kueleweka juu ya nani yule alimfyatulia risasi na kumuua yule kachero.
Vyanzo vyangu vinaniambia bwana DIWAN ATHMAN NDIYO ALIFYATUA RISASI ZILE KWA EMRAN KOMBE JE NI KWELI
Ilikuwa ni kujivua gamba tu..!! Yule walimdhamilia tangu anatoka Dar kwenda zake MoshiNi polisi ila walidhani ni jambazi au mwizi maarufu wa magari🤣
Hii ndio TanganyikaNi polisi ila walidhani ni jambazi au mwizi maarufu wa magari[emoji1787]
Ilikuwa ni kujivua gamba tu..!! Yule walimdhamilia tangu anatoka Dar kwenda zake Moshi
Sheria ni jinga sanaTatizo lipo kwenye kuthibitisha sasa, ingwa pengine inaweza kuwa kweli
Aliyepelekwa TRA ni mrema au aliyempa lift mrema???Huyu aliuwawa na polisi na sababu waliyoitoa ni kuwa walimfananisha na jambazi. Aliponyoshewa bastola, aliinua mikono juu kujisalimisha lakini walimuwasha risasi.
Sababu ya kuuwawa kwake ni kutoa siri kwa Augustine Lyatonga Mrema enzi hizo ambazo alizitumia kuilipua serikali bungeni. Baadaye Mrema aliachia uanachama wa CCM na kujiunga na upinzani. On the spot akanyang'anywa gari bungeni. Kuna mwamba akamsaidia kumpa gari huko Dodoma.. alipelekewa TRA akapigiwa hesabu za kumfilisi
Huu ni uzushi wa mtaani tu. Aliuawa kwa sababu ya ujinga wa polisi wetu kufyatua risasi hovyo hata kwa watu wasio tishio. Infact bado kuna watu wengi wanauawa katika mazingira kama haya na kila siku habari zao zinatolewa.Huyo alikuwa anapeleka maneno ya umbea kwa Mrema kipindi hicho nncr ipo juu sasa mrema alikuwa anayaropoka kwenye mikutano yake mwisho ikajulikana kumbe kuna mtu anatoa siri wakamstukia ikabidi wamchape risasi.
Yaani kombe,mkurugenzi mkuu tiss asijue mrema ni Nani!?Huyu aliuwawa na polisi na sababu waliyoitoa ni kuwa walimfananisha na jambazi. Aliponyoshewa bastola, aliinua mikono juu kujisalimisha lakini walimuwasha risasi.
Sababu ya kuuwawa kwake ni kutoa siri kwa Augustine Lyatonga Mrema enzi hizo ambazo alizitumia kuilipua serikali bungeni. Baadaye Mrema aliachia uanachama wa CCM na kujiunga na upinzani. On the spot akanyang'anywa gari bungeni. Kuna mwamba akamsaidia kumpa gari huko Dodoma.. alipelekewa TRA akapigiwa hesabu za kumfilisi
Mkurugenzi mkuu tiss auawe bahati mbaya na polisi!?..Kuna kitu kimejificha hapo,huo ulinwengu huwa hatari sanaHuu ni uzushi wa mtaani tu. Aliuawa kwa sababu ya ujinga wa polisi wetu kufyatua risasi hovyo hata kwa watu wasio tishio. Infact bado kuna watu wengi wanauawa katika mazingira kama haya na kila siku habari zao zinatolewa.
Duuh wauaji walihukumiwa kifo????Ilijulikana Kuwa aliuawa na waliomuua Kwa Kuwa wauaji walikosea target Mke wa Marehemu aliekuwa Na Mumewe wakipeleka Migomba shambani alifanikiwa kujificha asionekane wakati wanamtafuta na alifanikiwa Kwa Kuwa alikuwa ameshiriki Mafunzo Mengi ya namna ya kujilinda aliyokuwa amepitia wakati Mumewe akiwa Mnene wa Kijitonyama otherwise tungekuwa tunasema kauawa na wasiojulikana
Mke alitambua mpaka force number Za wahusika bila ya wao kujua na ndie alikuwa shahidi muhimu kwenye Mimbar Za Mahakama!
Wauaji wanadai walimuua Kwa kufananisha gari yake na gari iliyoibiwa japo hapakuwa na taarifa zozote zilizowahi kurepotiwa Kuwa kuna gari imepotea
Hata Kama gari iliibiwa na Mwizi Mwenye Umri zaid ya Miaka 60 Baada ya kustaafu aliwazidi Mbio Za kumdhibiti Baada ya kushuka kwenye gari na kuanza kukimbia hadi wakaona Waache gari waliyokuwa wanaitafuta na kuanza kumimina Risasi 14 kwenye kifua kutokea Nyuma na inaonekana risasi hizo zilipigwa umbali wa mita zisizozidi 10 kutokana na kipenyo ( matundu) kwenye Mwili wa Marehemu Kuwa madogo
Mahakama ilithibitisha Pasi na Shaka Kuwa aliuawa Kwa makusudi ndio sababu wauaji walihukumiwa kifo, kitendawili kimebaki sababu zipi zilipelekea akauawa?
Pia aliwahi kuwa IGP!! Yaani uwe IGP then mkurugenzi wa TISS ndani ya miaka isiyozidi 20 polisi wasikutambue..Hapana huo ni uongo naungana na wwMkurugenzi mkuu tiss auawe bahati mbaya na polisi!?..Kuna kitu kimejificha hapo,huo ulinwengu huwa hatari sana
Yaani ni ajabu,Yaani kombe,mkurugenzi mkuu tiss asijue mrema ni Nani!?
Alikuwa luten jenero au meja jenero?? Mbona unachanganya mafile, kwenye heading umeandika luten halafu main body ukaandika tofauti kabisaWakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 23 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Meja Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro.
Mengi yamezungumzwa, je ni nini kilitokea na kujiri mpaka 'deep state' ikaamua kumnyamazisha aliyekuwa boss wao?
Karibuni kwa mjadala wakuu, kama hujui basi usilete masihara.