Ila lodilofa naye alikuwaga na roho mbaya kama mhutu wake huyu aliyekufa juzi , nikikubjka mauaji ya Zanzibar yale 2000's mpaka napata hasira Sana , Mungu huwa analipa lakiniLodilofa ndiye aliamuru auwawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila lodilofa naye alikuwaga na roho mbaya kama mhutu wake huyu aliyekufa juzi , nikikubjka mauaji ya Zanzibar yale 2000's mpaka napata hasira Sana , Mungu huwa analipa lakiniLodilofa ndiye aliamuru auwawe
Hapana huyu aliuliwa na mfumo Dola wa ccmAlishastaafu na alikuwa anaishi maisha ya kawaida na kutembea bila ulinzi. Watu hupenda kuongeza chumvi kwenye mambo yanayopata wakubwa lakini mimi nina uhakika aliuawa kwa uzembe wa polisi.
Kwa kosa gani?Lodilofa ndiye aliamuru auwawe
Waliomuua sio polisi ni wajedaMkurugenzi mkuu tiss auawe bahati mbaya na polisi!?..Kuna kitu kimejificha hapo,huo ulinwengu huwa hatari sana
Polisi,walikua wanasaka Nissan nyeupe iliyoibwa darWaliomuua sio polisi ni wajeda
enzi za maBomu hasa lile lililotikisa la Mil 900.Sababu ya kuuwawa kwake ni kutoa siri kwa Augustine Lyatonga Mrema enzi hizo ambazo alizitumia kuilipua serikali bungeni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila lodilofa naye alikuwaga na roho mbaya kama mhutu wake huyu aliyekufa juzi , nikikubjka mauaji ya Zanzibar yale 2000's mpaka napata hasira Sana , Mungu huwa analipa lakini
Si kweli[emoji23][emoji23],mrema mwenyewe ndo walewaleHuyu aliuwawa na polisi na sababu waliyoitoa ni kuwa walimfananisha na jambazi. Aliponyoshewa bastola, aliinua mikono juu kujisalimisha lakini walimuwasha risasi.
Sababu ya kuuwawa kwake ni kutoa siri kwa Augustine Lyatonga Mrema enzi hizo ambazo alizitumia kuilipua serikali bungeni. Baadaye Mrema aliachia uanachama wa CCM na kujiunga na upinzani. On the spot akanyang'anywa gari bungeni. Kuna mwamba akamsaidia kumpa gari huko Dodoma.. alipelekewa TRA akapigiwa hesabu za kumfilisi
Hizo ni katibu kontena 20 za mita 20,, walibebaje?Ni kweli 4.3 trillion zilifichwa kwenye bank huko south africa
Lakini si anafanana na lordlofa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kusoma hapa ndio nimejua lodilofa ni nani, ila watu mna maneno jamani.
Kastaafu 1995 kauliwa 1996.....Kwani kauawa muda gani baada ya kustaafu!?..mwizi kajisalimisha,kwa nini apigwe risasi?!..
Hizo ni PROPAGANDA MOVIE.ukiangalia movie za ki intelligencia kama HOMELAND ua TEHRAN utaelewa haijalishi how potential ur ukizingua watu wanapita na wewe...!! nchi haiwezi kuwa compromized kifala tuu..