witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,704 Reaction score 47,260 Nov 18, 2021 #121 Mac Alpho said: Hiiiiiih[emoji16]. Mtu akisoma hiii comment ni lazima afikirie kuwa wewe ni ndugu wa kina P SQUARE kumbe hâta hawakujui, Daaah wabongo ni noma. Click to expand... Kwahiyo mkuu unanisaidiaje asee?[emoji848]
Mac Alpho said: Hiiiiiih[emoji16]. Mtu akisoma hiii comment ni lazima afikirie kuwa wewe ni ndugu wa kina P SQUARE kumbe hâta hawakujui, Daaah wabongo ni noma. Click to expand... Kwahiyo mkuu unanisaidiaje asee?[emoji848]
Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 13,953 Reaction score 27,825 Nov 18, 2021 #122 witnessj said: Kwahiyo mkuu unanisaidiaje asee?[emoji848] Click to expand... Sina cha kukusaidia mkuu, ni vile tu comment yako ilinifurahisha sana.
witnessj said: Kwahiyo mkuu unanisaidiaje asee?[emoji848] Click to expand... Sina cha kukusaidia mkuu, ni vile tu comment yako ilinifurahisha sana.
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,704 Reaction score 47,260 Nov 18, 2021 #123 Mac Alpho said: Sina cha kukusaidia mkuu, ni vile tu comment yako ilinifurahisha sana. Click to expand... Sasa mkuu una uhakika gani kwamba sifahamiani nao?[emoji848][emoji848]
Mac Alpho said: Sina cha kukusaidia mkuu, ni vile tu comment yako ilinifurahisha sana. Click to expand... Sasa mkuu una uhakika gani kwamba sifahamiani nao?[emoji848][emoji848]
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Nov 20, 2021 #124 Kikubwa kundi limerudi.
JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Nov 20, 2021 #125 Mkaruka said: Peter alioa mwanamke ambaye familia haimtaki. Na kibaya zaidi Paul kwa kushirikiana na anko wao Jude baada ya kifo za mama yao wakawa wanashirikiana kutaka kumcontrol Peter. Click to expand... Jude Okoye ni kaka yao na sio "anko".
Mkaruka said: Peter alioa mwanamke ambaye familia haimtaki. Na kibaya zaidi Paul kwa kushirikiana na anko wao Jude baada ya kifo za mama yao wakawa wanashirikiana kutaka kumcontrol Peter. Click to expand... Jude Okoye ni kaka yao na sio "anko".
JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Nov 20, 2021 #126 The imp said: Nafikiri Paulo ndio kulwa Akina dito huwa Ni wakorofi sana Click to expand... Inatamkwa Peter & Paul Okoye. Ni wazi Peter ndiye Kulwa.
The imp said: Nafikiri Paulo ndio kulwa Akina dito huwa Ni wakorofi sana Click to expand... Inatamkwa Peter & Paul Okoye. Ni wazi Peter ndiye Kulwa.