Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

Peter alioa mwanamke ambaye familia haimtaki. Na kibaya zaidi Paul kwa kushirikiana na anko wao Jude baada ya kifo za mama yao wakawa wanashirikiana kutaka kumcontrol Peter.
Jude Okoye ni kaka yao na sio "anko".
 
Back
Top Bottom