Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Hapo ndio nilijua serkal ya Tanzania ni zaidi ya tuionavyo
Lile tukio linifanya niwe mtii wa sheria bila shuruti
Lile tukio linifanya niwe mtii wa sheria bila shuruti
Ngoja nikuitie Mkuu Maalim Mohammed Said
P
Pascal umenisikitsha sana kwa hii post
wewe kama Journalist uko katika nafasi nzuri zaidi kuelezea tukio la Mwembechai
vizuri zaidi hasa moja ya kituo kilicho ripoti enzi hizo DTV uliwahi fanyia kazi
tena taarifa za kuwa waliokamatwa walikuwepo wakristo wengi zilitoka na kushangaza wengi
ITV kwenye taarifa ya habari walionyesha clear and everything. Nakumbuka kuona waandamanaji wakirusha mawe. Polisi walikuwa kwa mbali wanalenga na bunduki zao. Sauti ikatoka piga yule, ala unaogopa. Risasi zikarindima. Tahamaki baadhi ya waandamanaji wakawa wamelala kwenye madimbwi ya damu. Nakumbuka mmoja alifariki huku akiwa bado ameshikilia jiwe mkononi. Chanzo cha vurugu zile ni kukamatwa kwa viongozi wao. Hao viongozi walikuwa wanatuhumiwa kufanya dini ya siasa kali. Walipokamatwa ndiyo wenzao wakakinukisha kushinikiza waachiwe.Ndani ya tukio hili niliwaona live polisi wa vituo vidogo vya polisi pale friends corner,tandale,ccm manzese,manzese mpakani wakivikimbia vituo vyao baada ya raia kuvivamia na kuwaachia waliopo ndani ya vituo hivyo na kuchoma makaratasi,kuchoma moto magari yenye namba za serikali ila walishindwa kukivamia kituo cha polisi pale urafiki,polisi walikilinda,kiza kilipoingia maeneo ya manzese wahuni wakaanza kula kula,FFU walikuwa wanaishia Morogoro road wakiingia ndani wanakutana mawe na kukimbia
Nalog off
Sio tuu nilikuwa nafanyia kazi DTV, I was the reporter in a line of fire. Kwa vile Mkuu Maalim Mohammed Said yeye ameandika hii kitu kwa urefu, tumtumie yeye.Pascal umenisikitsha sana kwa hii post
wewe kama Journalist uko katika nafasi nzuri zaidi kuelezea tukio la Mwembechai
vizuri zaidi hasa moja ya kituo kilicho ripoti enzi hizo DTV uliwahi fanyia kazi
Sauti ilikuwa ya Venance.ITV kwenye taarifa ya habari walionyesha clear and everything. Nakumbuka kuona waandamanaji wakirusha mawe. Polisi walikuwa kwa mbali wanalenga na bunduki zao. Sauti ikatoka piga yule, ala unaogopa. Risasi zikarindima. Tahamaki baadhi ya waandamanaji wakawa wamelala kwenye madimbwi ya damu. Nakumbuka mmoja alifariki huku akiwa bado ameshikilia jiwe mkononi. Chanzo cha vurugu zile ni kukamatwa kwa viongozi wao. Hao viongozi walikuwa wanatuhumiwa kufanya dini ya siasa kali. Walipokamatwa ndiyo wenzao wakakinukisha kushinikiza waachiwe.
Kuna kazi imeandikwa na Prof. Hamza Njozi Mwembechai Killings and political future of Tanzania,utaona mazito,lakini kwa maoni yangu mkoloni alikuja na utamaduni wake wa kikristo bahati mbaya sana akatengeneza system kana kwamba ni nchi ya kikristo,ilihitaji kutengeneza sytem mchanganyiko kulingana na mazingira yetu,na kwa kuliona Nyerere hili alitaifisha mashule ya makanisa akayafanya ya wote,kwa kuwa wakati wa ukoloni suala la elimu liliachiwa kanisa lakini likitumia rasilimali za nchiNgoja nikuitie Mkuu Maalim Mohammed Said
P
Kuna kazi imeandikwa na Prof. Hamza Njozi Mwembechai Killings and political future of Tanzania,utaona mazito,lakini kwa maoni yangu mkoloni alikuja na utamaduni wake wa kikristo bahati mbaya sana akatengeneza system kana kwamba ni nchi ya kikristo,ilihitaji kutengeneza sytem mchanganyiko kulingana na mazingira yetu,na kwa kuliona Nyerere hili alitaifisha mashule ya makanisa akayafanya ya wote,kwa kuwa wakati wa ukoloni suala la elimu liliachiwa kanisa lakini likitumia rasilimali za nchi
[emoji23][emoji119][emoji119]Ninachokumbuka ni kutapakaa kwa Yeboyebo zilizokosa wenyewe magomeni nzima.......fanya fujo uone si wa kuchezea!
Kuna watu mnamatatizo sanaNinachokumbuka ni kutapakaa kwa Yeboyebo zilizokosa wenyewe magomeni nzima.......fanya fujo uone si wa kuchezea!
jaribu kunyanyua kisogo chako useme mtume hakuwa na hadhi ya kuitwa mtume.ndio utajua ulefu wa mtu inategemea kasimana na nani.Chanzo kilikuwa Paroko Lwambano kwenda Sehemu Nyeti kusema kuwa ndani ya Msikiti wa Mwembe chai Yesu alikuwa anatukanwa
Enzi hizo kusema Muhammad sio Mtume haiku warm kosa
Kusema Ng’ombe sio mungu haikuwa kosa
Kusema mizimu sio Mungu pia haikuwa kosa
Kosa lilikuwa kusema Yesu sio Mungu ni kosa kubwa kuliko kukutwa na Kete za Bhange
jaribu kunyanyua kisogo chako useme mtume hakuwa na hadhi ya kuitwa mtume.ndio utajua ulefu wa mtu inategemea kasimana na nani.
Zilikuwepo yawezekana ulikuwa kindaYeboyebo hazikuwepo bhna kipindi hiko
Maprofesa wanaotafuta pointi za kupanda cheo kwa huruma hawa