Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?

Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?

Maprofesa wanaotafuta pointi za kupanda cheo kwa huruma hawa
Chanzo kilikuwa Paroko Lwambano kwenda Sehemu Nyeti kusema kuwa ndani ya Msikiti wa Mwembe chai Yesu alikuwa anatukanwa

Enzi hizo kusema Muhammad sio Mtume haiku warm kosa

Kusema Ng’ombe sio mungu haikuwa kosa

Kusema mizimu sio Mungu pia haikuwa kosa

Kosa lilikuwa kusema Yesu sio Mungu ni kosa kubwa kuliko kukutwa na Kete za Bhange

Baada ya watu kukubali kufa, kujeruhiwa na kufungwa hatimae baadae Mahakama Kuu ikatangaza rasmi kuwa sio kosa na aliefungwa kwa kosa hilo aachiwe huruna Ndugu Hamis Dibagula akaachiwa huru

Kuna baadhi ya haki hazipatikan kwa kutoa press release wala kuitisha Makongamano ya kudai bali lazima uumie kuipata
Kwangu uonevu mkubwa wamefanyiwa waislam ni kutokusikilizwa hata humu ndani watu hawataki kusikiliza upande wa waislam wana hoja gani,ni kulaumiwa tu
 
Sio tuu nilikuwa nafanyia kazi DTV, I was the reporter in a line of fire. Kwa vile Mkuu Maalim Mohammed Said yeye ameandika hii kitu kwa urefu, tumtumie yeye.
P

Mwembechai killings followed a similar pattern. Father Camillius Lwambano of the Mburahati parish
claimed that he passed at Mwembechai mosque and heard Muslims ridiculing Jesus Christ. It was later
established, after the police had opened fire and killed at least four unarmed Muslims and maimed several
others, that this claim by Father Lwambano was, after all, a sheer fabrication. As I am writing this book,
almost two years after the killings, our government has yet to form a team to probe the killings despite
repeated requests from many concerned Tanzanians across the religious divide.
I do not know if there is any serious observer of Tanzania’s political history who can deny the commitment
and sacrifice of Tanzanians to the freedom fighters of Mozambique, Angola, Zimbabwe, Namibia, South
Africa, and even beyond Africa. In this regard Tanzania has indeed provided a shining example to the rest
of the world, and has deservedly won the respect and admiration of many countries. That admirable aspect
of our national history is not the focus of the present study. My interest here is to encourage my fellow
country men and women to have the courage to confront the odious side of our political history. A political
history of religious discrimination against Muslims. The unstated but effective policy of marginalising
Muslims in education, employment and political appointments is not of recent origin. It began and was
firmly entrenched during the twenty five years of Mwalimu Nyerere’s political rule. And I believe unless
this problem is openly addressed Tanzania may also find itself engulfed in civil strife.
Multiple interpretations of the problem
On the political future of our country many Tanzanians irrespective of their religious affiliation
 
Unaposema waislam kuskilizwa unamaanisha nini?

Wakatholic nao wakitaka waskilizwe?
Waprotestant nao wakitaka kusikilizwa?
Waislam nao wanataka waskilizwe
Wasabato nao wanataka kusikilizwa
Wapagani nao wanataka kusikilizwa

Nchi itakalika hii?

Hii nchi haina dini ila wananchi wake wana dini

Dini inaishia kwenye nyumba yako ya ibada ukitoka hapo wewe ni mtanzania
Kwangu uonevu mkubwa wamefanyiwa waislam ni kutokusikilizwa hata humu ndani watu hawataki kusikiliza upande wa waislam wana hoja gani,ni kulaumiwa tu
 
Unaposema waislam kuskilizwa unamaanisha nini?

Wakatholic nao wakitaka waskilizwe?
Waprotestant nao wakitaka kusikilizwa?
Waislam nao wanataka waskilizwe
Wasabato nao wanataka kusikilizwa
Wapagani nao wanataka kusikilizwa

Nchi itakalika hii?

Hii nchi haina dini ila wananchi wake wana dini

Dini inaishia kwenye nyumba yako ya ibada ukitoka hapo wewe ni mtanzania
Mfano hili la mwembechai watu wanasema yao tu mmewasikiliza waislam
 
RPC alikuwa Alfred Gewe,hata mimi ningependa Kufahamu ukweli,Serikali ilidai Kuna baadhi ya nchi zilikuwa zinawapa mafunzo wahuni wa chama fulani,wengine wakidai kuna viongozi wa dini na serikali wanachochea chinichini kwa manufaa ya kisiasa,ukweli usiopingika ni kwamba walikula shaba live ndani ya msikiti na idadi ya wafu kufichwa,muhenga yeyote mwenye details zaidi aziteme.
Samahani mkuu, kiuhalisia hili jambo lina ukweli kwamba hao watu walipewa hayo mafunzo?
 
Samahani mkuu, kiuhalisia hili jambo lina ukweli kwamba hao watu walipewa hayo mafunzo?
Kila siku nasema tunapenda kuwazushia waislam kila jambo baya,na hili jambo linaeleweka ukweli wake
 
ITV kwenye taarifa ya habari walionyesha clear and everything. Nakumbuka kuona waandamanaji wakirusha mawe. Polisi walikuwa kwa mbali wanalenga na bunduki zao. Sauti ikatoka piga yule, ala unaogopa. Risasi zikarindima. Tahamaki baadhi ya waandamanaji wakawa wamelala kwenye madimbwi ya damu. Nakumbuka mmoja alifariki huku akiwa bado ameshikilia jiwe mkononi. Chanzo cha vurugu zile ni kukamatwa kwa viongozi wao. Hao viongozi walikuwa wanatuhumiwa kufanya dini ya siasa kali. Walipokamatwa ndiyo wenzao wakakinukisha kushinikiza waachiwe.
Kuna mwanafunzi wa Al haramain akiwa form II aliuawa kwa kupigwa risasi katika vurugu hizi,RIP Chiku.
Nalog off
 
Unaposema waislam kuskilizwa unamaanisha nini?

Wakatholic nao wakitaka waskilizwe?
Waprotestant nao wakitaka kusikilizwa?
Waislam nao wanataka waskilizwe
Wasabato nao wanataka kusikilizwa
Wapagani nao wanataka kusikilizwa

Nchi itakalika hii?

Hii nchi haina dini ila wananchi wake wana dini

Dini inaishia kwenye nyumba yako ya ibada ukitoka hapo wewe ni mtanzania
Kuna watu wanamtukana Nyerere kwa aliyoyafanya lakini wanasahau kuwa alijenga utaifa.

Nigeria ni nchi kubwa yenye watu zaidi ya milioni 180, ni nchi kubwa lakini utaifa wake ni mdogo. It is a big country but a small nation..walikosa mtu wa aina ya Nyerere ambaye angeweza kusisitizia utaifa kwanza.
 
Wakuu wa jukwaa,

Leo ningeomba tukumbushane, ni nini hasa kilisababisha vurugu za mwembechai mwaka 1998? Wakina nani walikuwa nyuma ya tukio lile? Wangapi walipoteza maisha? Je kuna askari ambao walichukuliwa hatua yoyote kutokana na vurugu zile?

Ahsanteni. Kama hujui kama pita kimya kimya tu
Halina mashiko tena leo hili suala.
 
Hapa ndo watoto wanapojitenga na post hii huwez kukuta comment ya walioomba mikopo helsb wiki za Jana hapa

Tvt hii habari walikuwa wanaificha sana Ila dtv wakajitoa mhanga kuhabarisha umma CTN kadhalika

Nachokumbuka ni miili ya mashehe wakiwa na kanzu fupi ilichakazwa sana
 
Hapa ndo watoto wanapojitenga na post hii huwez kukuta comment ya walioomba mikopo helsb wiki za Jana hapa

Tvt hii habari walikuwa wanaificha sana Ila dtv wakajitoa mhanga kuhabarisha umma CTN kadhalika

Nachokumbuka ni miili ya mashehe wakiwa na kanzu fupi ilichakazwa sana
Chanzo cha vurugu na mauaji kilikuwa ni nini kulingana na DTV?
 
Pascal umenisikitsha sana kwa hii post
wewe kama Journalist uko katika nafasi nzuri zaidi kuelezea tukio la Mwembechai
vizuri zaidi hasa moja ya kituo kilicho ripoti enzi hizo DTV uliwahi fanyia kazi

tena taarifa za kuwa waliokamatwa walikuwepo wakristo wengi zilitoka na kushangaza wengi
Unataka akaungane na kaflag huko gerezani
 
Back
Top Bottom