Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Wapemba wale wanaoliwa umewasahau?Si nyinyi mna mpaka Nabii wenu Tito shoga au vipi?
Wapemba wale wanaoliwa umewasahau?Si nyinyi mna mpaka Nabii wenu Tito shoga au vipi?
Wapi nilisema ni dhambi hapo ?Umesahau umesema mrema alioa mtoto teenager?
Huyo huyoWacha kupakazia , Mrema huyu aliyeowa katoto teenager akiwa miaka 90 ?
Ikiwa kiongozi wenu wa Kanisa anatafunwa nyinyi wafuasi mtafanywa nini ,si mtamezwa?Wapemba wale wanaoliwa umewasahau?
Unawajua - Komandoo Yosso?!!-wewe?Wacha kupakazia , Mrema huyu aliyeowa katoto teenager akiwa miaka 90 ?
Namjuwa Komandoo YesuUnawajua - Komandoo Yosso?!!-wewe?
Kaa kimya sasa au pita kuleeee.!Namjuwa Komandoo Yesu
Wewe unamjuwa Komandoo Yesu ?Kaa kimya sasa au pita kuleeee
Kaa kimya sasa au pita kuleNamjuwa Komandoo Yesu
Simjui..Namjua Pawa- Mabula..alikuwa ClassmateWewe unamjuwa Komandoo Yesu ?
Ni udini na fikra finyu za Kobaz na Waislamu wengine eti Nchi itawaliwe kwa Sharia kisa Rais aliyepo ni Muislamu(Marehemu A.H.Mwinyi)kwamba hatakuwa na noma..Chezea Mwinyi weye..akawala chenga ya mwili ya - Nchi kwanza,siyo Dini kwanza-,akawaacha wacheze ngoma ya Marehemu Augustine L.Mrema-Waziri Wa Mambo ya Ndani wa ukweli..siyo huyu wenu -Katambi Tranquility-wa u CCM kwanza...ni kuhangaika kuwapiga pini CHADEMA kila uchao na kuwakumbatia akina Shekhe Mwaipopo...!!?
Na kumbuka enzi za Mrema pia hata Wakristo-Walutheri/Waanglikana,walianza kuwa wanapigana Makanisani huko kwenye chaguzi za Maaskofu/Viongozi wao...walipelekewa fire huko huko Makanisani....unachagua Askofu wako kwa uhuru lakini chini ya mtutu na mabomu na atayeshinda ndiyo anatangazwa.-Nchi kwanza siyo Dini kwanza-
R.I.P sana Mzee Lyatonga na Tangu uondoke wewe Wizara ya Mambo ya Ndani ilishapoteza Dira..
Ulimsahau Kamanda Mafwele, unamjuwa?Kaa kimya sasa au pita kule
Simujui..Namjua Pawa- Mabula..alikuwa Classmate
Kaa kimya sasa au pita kuleeee.!
Huu Uzi umeanzishwa kabla wewe haujazaliwa..hata huyo komando unayemtaja umesimuliwa tu..
serikali ina historia ya kuwabamiza vibaya sana raia wanaoonekana kuleta usumbufu na kuwaharibia wakubwa ugali waoUnyama uliofanywa na Serkal I hata wakikukuta na casset ya mkasa wa mwembe Chai wana deal na wewe
shobo tu huwa zinawasumbua hao jamaa zetuKwani Wakristo wakisema Yesu ni Mungu nyie kina wauma nini hadi muanze kukanusha?
msikiti wa IdrisaLuambano alikuwa Askofu wa wapi?
na wewe uliingia kwenye ushoga kwa ushawishi wa hao hao jamaa au ulizaliwa na genes za ushoga ?Ukristo ndio chanzo kikubwa cha ushoga duniani
na wewe uliingia kwenye ushoga kwa ushawishi wa hao hao jamaa au ulizaliwa na genes za ushoga ?
😁😁😀eti wengi walikamatwa wakristo!!Pascal umenisikitsha sana kwa hii post
wewe kama Journalist uko katika nafasi nzuri zaidi kuelezea tukio la Mwembechai
vizuri zaidi hasa moja ya kituo kilicho ripoti enzi hizo DTV uliwahi fanyia kazi
tena taarifa za kuwa waliokamatwa walikuwepo wakristo wengi zilitoka na kushangaza wengi
1998--1995🤜🤛🤝Ima hauna memory nzuri au unapotosha makusudi au huelewi tu mambo. Mauaji ya Mwembechai yalitokea tarehe 13 Februari, 1998 Siku ya Ijumaa. Mzee Mwinyi (Allah Amsamehe Madhambi yake na Amrehemu) kastaafu mwaka 1995. Nimeona baadhi ya watu wakilitaja jambo lile lilikuwa wakati wa Mzee Mwinyi. Nadhani wanachanganya kadhia ya mabucha ya nguruwe na mauaji ya Mwembechai, matukio mawili tofauti na mbali kabisa.
Kama unadai "nchi kwanza" na kama unaona kile kilichowakuta ndugu zetu pale Mwembechai walikistahiki (Allah Awasamehe na Awarehemu) sasa kinachowafanya mpige kelele Leo kwa Mama Samia ni nini?
Allah Awasamehe na Awarehemu Ndugu zetu Waislam waliouawa Mwembechai mwaka 1998, Waislam wote waliouawa Pemba 2001 na Waislam wote waliouawa katika matukio ya Oktoba 29 na baada yake.
Maandamano ni kitu kibaya sana na tunakipinga kwa nguvu zote.