Ni udini na fikra finyu za Kobaz na Waislamu wengine eti Nchi itawaliwe kwa Sharia kisa Rais aliyepo ni Muislamu(Marehemu A.H.Mwinyi)kwamba hatakuwa na noma..Chezea Mwinyi weye..akawala chenga ya mwili ya - Nchi kwanza,siyo Dini kwanza-,akawaacha wacheze ngoma ya Marehemu Augustine L.Mrema-Waziri Wa Mambo ya Ndani wa ukweli..siyo huyu wenu -Katambi Tranquility-wa u CCM kwanza...ni kuhangaika kuwapiga pini CHADEMA kila uchao na kuwakumbatia akina Shekhe Mwaipopo...!!?
Na kumbuka enzi za Mrema pia hata Wakristo-Walutheri/Waanglikana,walianza kuwa wanapigana Makanisani huko kwenye chaguzi za Maaskofu/Viongozi wao...walipelekewa fire huko huko Makanisani....unachagua Askofu wako kwa uhuru lakini chini ya mtutu na mabomu na atayeshinda ndiyo anatangazwa.-Nchi kwanza siyo Dini kwanza-
R.I.P sana Mzee Lyatonga na Tangu uondoke wewe Wizara ya Mambo ya Ndani ilishapoteza Dira..