Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?




Ima hauna memory nzuri au unapotosha makusudi au huelewi tu mambo. Mauaji ya Mwembechai yalitokea tarehe 13 Februari, 1998 Siku ya Ijumaa. Mzee Mwinyi (Allah Amsamehe Madhambi yake na Amrehemu) kastaafu mwaka 1995. Nimeona baadhi ya watu wakilitaja jambo lile lilikuwa wakati wa Mzee Mwinyi. Nadhani wanachanganya kadhia ya mabucha ya nguruwe na mauaji ya Mwembechai, matukio mawili tofauti na mbali kabisa.

Kama unadai "nchi kwanza" na kama unaona kile kilichowakuta ndugu zetu pale Mwembechai walikistahiki (Allah Awasamehe na Awarehemu) sasa kinachowafanya mpige kelele Leo kwa Mama Samia ni nini?

Allah Awasamehe na Awarehemu Ndugu zetu Waislam waliouawa Mwembechai mwaka 1998, Waislam wote waliouawa Pemba 2001 na Waislam wote waliouawa katika matukio ya Oktoba 29 na baada yake mwaka 2025.

Maandamano ni kitu kibaya sana na ndio maana tunakipinga kwa nguvu zote kwa sababu ya shari yake na uharibifu na madhara yanayotokana nayo ikiwemo kumwagika damu za watu.
 
Kaa kimya sasa au pita kuleeee.!
Huu Uzi umeanzishwa kabla wewe haujazaliwa..hata huyo komando unayemtaja umesimuliwa tu..

 
Unyama uliofanywa na Serkal I hata wakikukuta na casset ya mkasa wa mwembe Chai wana deal na wewe
serikali ina historia ya kuwabamiza vibaya sana raia wanaoonekana kuleta usumbufu na kuwaharibia wakubwa ugali wao
ila wananchi nao hawakomi.
 
na wewe uliingia kwenye ushoga kwa ushawishi wa hao hao jamaa au ulizaliwa na genes za ushoga ?

Mimi siongozwi na Nabii wenu Tito shoga .

Nabii Tito atakuwa anaongoza mashoga wenzake kanisani
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜€eti wengi walikamatwa wakristo!!
 
1998--1995πŸ€œπŸ€›πŸ€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…