ngozimbili
Platinum Member
- Jul 28, 2011
- 1,491
- 1,137
Maprofesa wanaotafuta pointi za kupanda cheo kwa huruma hawa
Kwangu uonevu mkubwa wamefanyiwa waislam ni kutokusikilizwa hata humu ndani watu hawataki kusikiliza upande wa waislam wana hoja gani,ni kulaumiwa tuChanzo kilikuwa Paroko Lwambano kwenda Sehemu Nyeti kusema kuwa ndani ya Msikiti wa Mwembe chai Yesu alikuwa anatukanwa
Enzi hizo kusema Muhammad sio Mtume haiku warm kosa
Kusema Ng’ombe sio mungu haikuwa kosa
Kusema mizimu sio Mungu pia haikuwa kosa
Kosa lilikuwa kusema Yesu sio Mungu ni kosa kubwa kuliko kukutwa na Kete za Bhange
Baada ya watu kukubali kufa, kujeruhiwa na kufungwa hatimae baadae Mahakama Kuu ikatangaza rasmi kuwa sio kosa na aliefungwa kwa kosa hilo aachiwe huruna Ndugu Hamis Dibagula akaachiwa huru
Kuna baadhi ya haki hazipatikan kwa kutoa press release wala kuitisha Makongamano ya kudai bali lazima uumie kuipata
Sio tuu nilikuwa nafanyia kazi DTV, I was the reporter in a line of fire. Kwa vile Mkuu Maalim Mohammed Said yeye ameandika hii kitu kwa urefu, tumtumie yeye.
P
Kinapatikana wapi ndugu?Tafuta kitabu cha Prof Njozi (kitabu kilipigwa marufuku)
Kwangu uonevu mkubwa wamefanyiwa waislam ni kutokusikilizwa hata humu ndani watu hawataki kusikiliza upande wa waislam wana hoja gani,ni kulaumiwa tu
Mfano hili la mwembechai watu wanasema yao tu mmewasikiliza waislamUnaposema waislam kuskilizwa unamaanisha nini?
Wakatholic nao wakitaka waskilizwe?
Waprotestant nao wakitaka kusikilizwa?
Waislam nao wanataka waskilizwe
Wasabato nao wanataka kusikilizwa
Wapagani nao wanataka kusikilizwa
Nchi itakalika hii?
Hii nchi haina dini ila wananchi wake wana dini
Dini inaishia kwenye nyumba yako ya ibada ukitoka hapo wewe ni mtanzania
Samahani mkuu, kiuhalisia hili jambo lina ukweli kwamba hao watu walipewa hayo mafunzo?RPC alikuwa Alfred Gewe,hata mimi ningependa Kufahamu ukweli,Serikali ilidai Kuna baadhi ya nchi zilikuwa zinawapa mafunzo wahuni wa chama fulani,wengine wakidai kuna viongozi wa dini na serikali wanachochea chinichini kwa manufaa ya kisiasa,ukweli usiopingika ni kwamba walikula shaba live ndani ya msikiti na idadi ya wafu kufichwa,muhenga yeyote mwenye details zaidi aziteme.
Kila siku nasema tunapenda kuwazushia waislam kila jambo baya,na hili jambo linaeleweka ukweli wakeSamahani mkuu, kiuhalisia hili jambo lina ukweli kwamba hao watu walipewa hayo mafunzo?
Online bureKinapatikana wapi ndugu?
Sidhani kama mauaji ya watu hata kama ni waislam ni jambo la kuchekeshaHahahahahahahaha
Unaweza ku-download hapaKinapatikana wapi ndugu?
Kuna mwanafunzi wa Al haramain akiwa form II aliuawa kwa kupigwa risasi katika vurugu hizi,RIP Chiku.ITV kwenye taarifa ya habari walionyesha clear and everything. Nakumbuka kuona waandamanaji wakirusha mawe. Polisi walikuwa kwa mbali wanalenga na bunduki zao. Sauti ikatoka piga yule, ala unaogopa. Risasi zikarindima. Tahamaki baadhi ya waandamanaji wakawa wamelala kwenye madimbwi ya damu. Nakumbuka mmoja alifariki huku akiwa bado ameshikilia jiwe mkononi. Chanzo cha vurugu zile ni kukamatwa kwa viongozi wao. Hao viongozi walikuwa wanatuhumiwa kufanya dini ya siasa kali. Walipokamatwa ndiyo wenzao wakakinukisha kushinikiza waachiwe.
Kuna watu wanamtukana Nyerere kwa aliyoyafanya lakini wanasahau kuwa alijenga utaifa.Unaposema waislam kuskilizwa unamaanisha nini?
Wakatholic nao wakitaka waskilizwe?
Waprotestant nao wakitaka kusikilizwa?
Waislam nao wanataka waskilizwe
Wasabato nao wanataka kusikilizwa
Wapagani nao wanataka kusikilizwa
Nchi itakalika hii?
Hii nchi haina dini ila wananchi wake wana dini
Dini inaishia kwenye nyumba yako ya ibada ukitoka hapo wewe ni mtanzania
Halina mashiko tena leo hili suala.Wakuu wa jukwaa,
Leo ningeomba tukumbushane, ni nini hasa kilisababisha vurugu za mwembechai mwaka 1998? Wakina nani walikuwa nyuma ya tukio lile? Wangapi walipoteza maisha? Je kuna askari ambao walichukuliwa hatua yoyote kutokana na vurugu zile?
Ahsanteni. Kama hujui kama pita kimya kimya tu
Wewe ni bure kabisahalina mashiko tena leo hili suala.
Daah sawa broZilikuwepo yawezekana ulikuwa kinda
Chanzo cha vurugu na mauaji kilikuwa ni nini kulingana na DTV?Hapa ndo watoto wanapojitenga na post hii huwez kukuta comment ya walioomba mikopo helsb wiki za Jana hapa
Tvt hii habari walikuwa wanaificha sana Ila dtv wakajitoa mhanga kuhabarisha umma CTN kadhalika
Nachokumbuka ni miili ya mashehe wakiwa na kanzu fupi ilichakazwa sana
Unataka akaungane na kaflag huko gerezaniPascal umenisikitsha sana kwa hii post
wewe kama Journalist uko katika nafasi nzuri zaidi kuelezea tukio la Mwembechai
vizuri zaidi hasa moja ya kituo kilicho ripoti enzi hizo DTV uliwahi fanyia kazi
tena taarifa za kuwa waliokamatwa walikuwepo wakristo wengi zilitoka na kushangaza wengi
kuna mwanafunzi wa Al haramain akiwa form II aliuawa kwa kupigwa risasi katika vurugu hizi,RIP Chiku.
Nalog off