HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
- Thread starter
- #21
Asante Chakuwahata, lakini baki kwenye hoja.Kimeanzia Kigoma ,nakuhakikishia kitasambaa pamoja na hujuma ambazo CWT inafanya kukiangusha. CWT na CCM ni kopo na mfuniko.Yaliyomo humo ni wizi, ufisadi, udanganyifu, fitina na na aina zote za uovu. Sisi watu wa Kigoma tumekataa utumwa wa CWT. Natumaini mikoa mingine itaiga. Kulikuwa na mgogoro hapa Kigoma manispaa wa kuwakata wanachama wa CHAKUHAWATA agency fee, CWT mmeumbuka. Nasema hivi, walimu wote nchini wapaswa kukataa huu utumwa wa CWT.