Nini hasa kinaendelea ndani ya CWT (iwafikie walimu wote na jamii ya Watanzania)

Asante Chakuwahata, lakini baki kwenye hoja.
 
Binafsi nilijaza fomu ya kujitoa CWT mwaka 2021 kama sikosei, makato wakachukua chamakwata Mwezi MMOJA tu Baadae CWT wakaenda wilayani pale uyui-Tabora na kurudisha makato! Hadi leo nashangaa Afisa utumishi alihongwa Nini na CWT Hadi akarudisha makato!!
 
Kama alihongwa mripoti TAKUKURU, nchi inathamini utawala wa sheria mwalimu
 
Shauri yako hapa mimi sina jibu.
 
Kuna kondoo mmoja mwakilishi hapa job kaenda kwa afisa utumishi wanikate kwa lazima halafu akarudi kwangu kujichekesha baada ya kuanza kunikata ,,,ipo siku nitamchukulia sheria mkononi
 
Hoja ibaki pale pale, ukitukana sio jawabu.
 
Nimejaribu kupitia comments inaonekana CWT haipendwi na walimu wengi Sana

Swali langu kwa waalimu; kipi kinawafanya miaka yote serikali iwatumie kuukandamiza upinzani huku mkijua haki zenu zinapuuzwa kupitia chama chenu CWT?

HEBU amkeni jamani tumtoe mkoloni mweusi
 
Kuna kondoo mmoja mwakilishi hapa job kaenda kwa afisa utumishi wanikate kwa lazima halafu akarudi kwangu kujichekesha baada ya kuanza kunikata ,,,ipo siku nitamchukulia sheria mkononi
Kuchukua sheria mkononi ni makosa, nchi hii inaongozwa na utawala wa sheria mwalimu. tubaki kwenye hoja
 
Kuchukua sheria mkononi ni makosa, nchi hii inaongozwa na utawala wa sheria mwalimu. tubaki kwenye hoja
Sasa unanikataje kazi ya mikono yangu Bila ridhaa yangu na sijajaza fomu ...huu uhuni Kama uhuni mwingine TU..
 
Umeitisha kura ya maoni ukathibitisha hilo mkuu? Ulipata maoni ya walimu wangapi? Wangapi walikipenda chama na wangapi hawakukipenda? Rudi kwenye hoja msomi
 
Mkuu

Tutake radhi. Sisi ni watumishi wa umma KAZI YETU ni kusimamia KAZI za serikali sio kupigania chama Fulani kushika DOLA!!

Walimu kazi YETU ni kusimamia chaguzi kwa mujibu wa sheria SIYO kumpigisha mtu kura na kutangaza matokeo!!

Pia kuwa mwanachama wa CCM Sio kubariki uonevu!unaweza UKAWA MWANACCM mzuri KABISA na ukachukia matendo mabaya kama WIZI na ufisadi kama Mwl nyerere!

Tupo keep na nyerere WENGI tu!!

Msiwabebeshe lawama walimu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…