Nini hasa kinafanya gharama za kuchimba kisima kuwa mil 8, 10, 12? What is so special?

H a o
Kuna jamaa waliambia survey 800,000, kuchimba mita 1 ni 150,000, pampu, ....
Kwa uzoefu wao maji eneo hili maji yapo mita 200.
Niliona kama ndoto zimeyeyuka, nikaagiza juisi nikanywa kushusha presha.
Hao jamaa was wapi..na ujue survey ubora wa vifaa unatofautiana..ukitaka ata laki 3 unafanyiwa survey ila ndio vifaa duni..
 
Dodoma sehemu gani boss..hao wahuni 😂😂
 
Solvin your own (and societal) problems using knowledge that is already available, just harminozing it is a proper definition of a genius☝

Kama ambavyo utajiri ni utafutaji wa mali na kuiongoza, vivyo hivyo ujiniazi ni utafutaji wa maarifa na kuyaongoza/organize. Baada ya hapo unaacha urithi.

Ukipenda na ukiweza utupatie mrejesho na ukipata changamoto tupatie pia. Kama tu unavyopewa knowledge huko youtube sasa iv. Let the golden rule rule.
 
Ngoja ni bookmark hii comment yako then kuna siku nitakuja na update from A-Z kuhusu hili la maji hata ikibidi niandae na video kabisa mwisho wasiku tu share ideas na experience kwenye hili.
 
Hapa nakubaliana nawe mkuu
Binafsi baada ya kusikia tu kuwa ukanda wetu hauna maji karibu na mfuko hautoshi niliamua kutopoteza hata tone la maji ya mvua. Unachimba shimo la walau 40k m³, hakikisha unalitengeneza kwa viwango ili lilisumbue kupoteza maji, nunua pump ya 0.5HP kupandisha maji kwenye tank, then maisha yanasonga. Kiangazi kikija kama matumizi sio makubwa 40,000m³ unaishi nazo mda sana.
 
Unashangaa hiyo. Nenda kwenye mradi wa kisima cha serikali ulizia bei uone kama hujapata pressure.
 
Watu wanachimba tu mbona, sema unakuwa na machine za filter ili kuchuja maji. Kuna jamaa alichimba maeneo ya mageti kuelekea goba, 120m akayakuta ni chumvi balaa, ila amefunga machine ya filter na sasa hivi anasema chumvi inaelekea kwisha.
Filter wapi wachina wanadawa zao wanamwagia kwenye kisima sema inatakiwa wiki 1 kisima kisitumike toka muda walipoweka dawa..baada ya apo ukikutana na chumvi sijui magadi niite mbwa..mimi nilishawai kumchukua senior graduated kutoka chuo cha maji aje anipigie survey kabla ya kuchimba akasema apa maji yapo kuanzia mita 100 na kuendelea..kuna jamaa yangu akaniletea survey wa iyo kampuni ya kichina MR LIU akasema apa tunachimba mita30 tu maji yapo ya kumwaga..
 
Kuna muda nilihitaji wanichimbie kisima, sema hiyo gharama maana pia nilitaka maji niuze. Ila hiyo gharama ikanishinda na Cha kushangaza wakati wa kiangazi maji yanakata.
Sasa wakati wa kiangazi maji yanakata, we si umesema gharama zilikushinda?

BTW, maji kukata wakati wa kiangazi maana yake kina ni kifupi..!!
 
Ukiona kitu ni gharama, achana nacho
 
Ndo maana tunakuwa masikin umeshindwa nn kuweka address ya wachina au unataka udalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…