Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Kwann unawaza mapinduzi?Aisee hivi kwahali hii ccm itapinduliwa kweli!
Kama vijana wenywe ndio hawa!
Chakuskitisha zaidi huyu ukute nikijana alie maliza chuo kabisaa
π€π€π€π€π€
Hapo kwenye aya ya mwisho umetupiga na kitu kizito π€£π€£1. Mchango wa ubora wa vinasaba vya kijenetiki
2. Hali ya maisha kiuchumi, maradhi, nk
3. Hali ya hewa na mazingira kiujumla
4. Lishe & matumizi ya vitu vyenye madhara (pombe, sigara, madawa ya kulevya, kamari, zinaa, nk)
5. Optimism. Watu wenye hofu na mashaka juu ya kesho au mambo yaliyowatokea zamani, hudhoofika upesi.
Watu wanaoishi kwa kutegemea Mungu huwa na afya ya mwili, akili na roho, na huishi muda mrefu zaidi.
Kwanza ni kujichubua, stress za maisha, madowa ya kulevya, kupigwa sana miti (kama modemu wa bongo movie na fleva).Wanabodi imekuwa ni jambo ambalo ni kawaida pale unapokutana na mtu ambae hamjaonana
kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapokutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano
wa sura na mwili kwa ujumla.
Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine anakuwa hana hivyo au vipo kidogo sana na ni watu wa rika moja labda mlisoma pamoja.
Je, ni mimi huwa najiuliza maswali hayo au na wewe pia? Sababu inaweza kuwa ni nini wanabodi ni hali kijeneti, kujipata kimaisha, au ni ugumu kwenye harakati za kujitafuta au ni nini hasa?
Tena ni Degree holder kabisa anashangaa kwanini binadamu anazeeka ila hashangai maembe kukomaa kijijini kwaoππAisee hivi kwahali hii ccm itapinduliwa kweli!
Kama vijana wenywe ndio hawa!
Chakuskitisha zaidi huyu ukute nikijana alie maliza chuo kabisaa
π€π€π€π€π€
Kwani mchaga akitawala sio mtanzania?Huyo ni mchagga wa CHADEMA anataka kupindua CCM ili wachagga watawale!
Mkuu hatutawaza siasa muda wote kama wewe hiyo ni kazi yako unafanya muda wote sio kwa kila mtuAisee hivi kwahali hii ccm itapinduliwa kweli!
Kama vijana wenywe ndio hawa!
Chakuskitisha zaidi huyu ukute nikijana alie maliza chuo kabisaa
π€π€π€π€π€
Maisha ni halisi ndio ila mbona watu wa rika moja wanazeka tofauti ?Unafkiri maisha halisi ni kama movie sio? Kwamba hata ikipita miaka zaidi ya mitano watu wanabaki vile vile.
Jiongeze.
Safi umeleza vizuri sana sio hao wababaishaji wasio na hoja1. Mchango wa ubora wa vinasaba vya kijenetiki
2. Hali ya maisha kiuchumi, maradhi, nk
3. Hali ya hewa na mazingira kiujumla
4. Lishe & matumizi ya vitu vyenye madhara (pombe, sigara, madawa ya kulevya, kamari, zinaa, nk)
5. Optimism. Watu wenye hofu na mashaka juu ya kesho au mambo yaliyowatokea zamani, hudhoofika upesi.
Watu wanaoishi kwa kumtegemea Mungu huwa na afya ya mwili, akili na roho, na huishi muda mrefu zaidi.
Kuzeeka ni sawa ni normal body physiology ila jiulize kwa nini watu wa umri mmoja speed yao ya kuzeeka ina tofautiana. Wewe na degree yako ya Sosholojia usitake kila mtu awe kama wewe wengine ni degree holder kwenye mambo mengine. Think Critically.Tena ni Degree holder kabisa anashangaa kwanini binadamu anazeeka ila hashangai maembe kukomaa kijijini kwaoππ
Labda kuongezea tu sio Hadi mpoteane miaka 5 kaeni ndani nyumba 1 baada ya hiyo miaka 5 utapata majibu anabadirika au yupo hivyohvyo siku zote.
Tuna taifa lenye wasomi wengi wasio na maarifa
Si ajabu analeta ubaguzi. Japo na huyo jamaa amendika irrelevant things mambo ya siasa na wakati uzi haupo kisiasaKwani mchaga akitawala sio mtanzania?
Mapinduzi ya kifikra ingelikuwa poa sanaKwann unawaza mapinduzi?
Kuna mambo ya kujadiliwa na mtu aliyebobea kwenye fani husika tu na yapo mambo ambayo hujadilika vilivyo bila kutegemea kiwango kikubwa cha elimu.Kuzeeka ni sawa ni normal body physiology ila jiulize kwa nini watu wa umri mmoja speed yao ya kuzeeka ina tofautiana. Wewe na degree yako ya Sosholojia usitake kila mtu awe kama wewe wengine ni degree holder kwenye mambo mengine. Think Critically.