Kitendo alichofanyiwa Gaddafi ni cha kiutu?
EMT naweza kusema ndioKwa hiyo tulivyo-incoporate human rights kwenye katiba yetu miaka ya 1980s due to external pressures utu wetu haukudhalilishwa? Au IMF and WB walivyo pressurize to adopt zile structural adjustment programmmes, hatukulalilisha utu wetu pale tulipozikubali na kuamnua kuua kabisa ujamaa ambao mojawapo ya nguzo yake kubwa ilikuwa ni utu?
.................................
Kwa maelezo haya na kwa muktadha wa hoja iliyoko mbele yetu kufungiwa kwa F.Fox kusitafsiriwe kama uonevu
Jamani nimesoma hili chapisho nimecheka sana....http://www.duniahai.com/Articles/UTU NADIRAYATAIFA[1].pdf
Je umewahi kuhisi kuwa kuna ugonjwa unaitwa "Upungufu wa Utu" (naomba niite Human Diginitas-deficiency Syndrome au HDDS).....yaani kuna watu wana "athirika utu"?
Take time kusoma hilo chapisho lina tafakarisha vizuri sana
Anauwa kabisa kwa kusemaUtu ni kuthubutu kuuonyesha hadharani kwa fikra, kauli na matendo. Ni kuutumia ili kuboreshea maisha yetu, ya familia na ya Taifa letu..... Ushahidi wa kitaalam upo kuonyesha kuwa kikwazo kikubwa cha utekelezeji wa Utu kwenye maisha ya kila siku ni Hisia hasi, hasa "chuki maalum" (resentment) inayozaa ubinafsi uliokithiri na hisia hasi zake. Hisia hasi zina uwezo na nguvu ya kupindua kila sifa ya Utu na maadili yake na kuwa Utu-hasi yaani kinyume cha Utu au tuseme hali inayoendana na unyama zaidi kuliko Ubinadamu. Hisia hasi sio msingi wa Utu komavu.
Ushahidi kuwa kiwango cha matumizi ya Utu kwenye jamii yetu kiko chini na kinazidi kudidimia, hauhitaji kujadiliwa hapa kwani ni hali iliyowazi na hatua za haraka zinahitaji kuchukuliwa iwapo Taifa hili linahitaji kuendelea kuwepo katika misingi ya kuasisiwa kwake. Matumizi ya chuki, ubinafsi, vinyogo na hisia hasi nyingine vimekithiri kwenye kila nyanja ya jamii na taasisi mbalimbali. Na huu ndio msingi wa kudhoofu mfumo wa Utu na nguvu hai "vital hygiene system" kwenye jamii ya Kitanzania.
Mtu asiye na Utu hatibiki, hata kama ikionekana katibika na kapona ni kwa muonekano wa nje tu, lakini kwenye kina na shina la afya ya kweli bado ni mgonjwa na vibaya zaidi anakuwa mtu hatarishi kama kutokuwa na Utu alikonako kutarithishwa kwa vizazi vinavyofuata. Kwani ni hakika itafika siku kitatokea kizazi kisichotibika kwa dawa ya aina yoyote ile, mpaka kwanza kutibiwa mfumo wa Utu na Uhai wa jamii hiyo.
Lakini pia ieleweke kuwa mtu asiye na Utu hawezi kuwa kiongozi aliyekamilika katika nyanja yeyote ile kwenye jamii. Hawezi kuwa mzazi aliyekamilika. Hawezi kuwa jirani adilifu. Hawezi kuwa balozi mzuri. Hawezi kuwa Mbunge makini na hawezi kuwa Waziri asiye mbinafsi. Kwa kifupi hana kigezo muhimu cha kuwa Kiongozi. Swali ni; Bila Utu atuongoze kwenda wapi? Huko pasipokuwa na Utu ndipo ulipo uasisi wa Taifa la Tanzania? La hasha, chimbuko la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linafahamika duniani kote. Ni kwenye Dhana ya Utu na maadili yake.
Chama gani leo hii kwa uhakika wa kimkakati na kimaono kinaweza kuthibitishia Watanzania kuwa kinaongoza Taifa kwenda kushinda na kutwaa maendeleo ya kijamii yasiyokiuka usawa wa kiuchumi na afya ya Utu? Tuichunguze historia ya mfumo wa uchumi wa Taifa hili tangu kupatikana uhuru hadi leo. Tujitizamishe falsafa za kisiasa na kiuchumi zilizokwisha kuwapo na zilizopo. Zipi zilisimamia au zinasimamia Utu na misingi ya kweli ya maendeleo ya uchumi wa fursa na Utu sawa. Tuthubutu kwa ujasiri bila kubabaisha kuangalia Tanzania ya leo imesimamia siasa na uchumi wa afya ipi kwa kila Mtanzania. Afya ya Utu na usawa kwenye rasilimali na pato la Taifa kwa wote? Kama si hivyo, si sahihi basi kusema kuwa ni ugoigoi kujiridhisha kuwa tunaelekea kwenye ustawi na afya ya kweli ya Taifa?
Kulingana na hali ilivyo sasa hivi na ili kulinusuru Taifa, tunaamini kuwa hayati Mwalimu Nyerere angelikuwapo, angeizindua upya ile kampeni ya Mtu ni Utu na "Mtu ni afya". Angeitekeleza kwa nguvu mpya, kina na kiwango kipana, utaalam na nyezo stahili. Hata hivyo hatuoni ni kwa nini Viongozi walioko madarakani sasa wasifanye hivyo, tena bila kuchelewa kwani hivyo watakuwa wameuenzi Utu wa Mwalimu Nyerere usiopitwa na wakati na utakaodumu nyakati zote.
They would continue to argue that you might say, "Well, that's just the Old Testament law. The New Testament doesn't support the death penalty." But they would beg your pardon asking you if you have read Acts 25:11, Roman 13:1-4 and Revelation 13:10? Revelation 13:10 says, "He that leadeth into captivity shall go into captivity: he that killeth with the sword must be killed with the sword. Here is the patience and the faith of the saints." And they would conclude if the death penalty is no longer in effect, then why is this verse even in the New Testament?
Hapa utu utaingia kweli hasa kwa wale ambao utu wao uko based kwenye maandiko matakatifu?
By Dr.W.Slaa Mzee let us bet aliyechanganyikiwa ni nani tuone. Slaa niko uwanja wa NMC. Ninawapigania watanzania wanyonge walionyanyasika, wenye kukandamizwa na ugumi wa maisha. Kama huko kwenye kundi hilo huwezi ku feel na ndio mnaosaliti ndugu zenu. Hivyo jifurahishe tu na matusi hayana madhara kwa kuwa tunajua malengo na watanzania walio wengi wanaelewa ndio maana wako uwanjani hadi
Maana yangu ni kwamba lugha (ya kiswahili na zingine zote) are weak and distorted. Tukianza kutafsiri UTU kwa kutumia maneno tutaishia kusema vitu vingine, na sio UTU. The only way to apprehend the concept is to define related concepts, na kudefine abscence ya UTU kwa binadam, na consequences zake.
By mwaJ: Walikiona cha mtema kuni ni police wa magamba si umesoma hapo? Makamishna wameenda kumbembeleza akubali kutoka mahabusu ili Arusha iwe na amani! Mmekubali sasa eh? Lema kishawaambia labda mumtishie kingine sio jela wala kumuua! Kama haogopi kutishiwa kufa unadhani mtamtishia nini zaidi ya hapo? Lema kishapuliza kipenga hakuna kurudi nyuma!
Mkuu hata tukitafakari utu kuwa kupitia matukio still bado tunaweza tusifikie the same conclusion. Kwa mfano, wako wataosema vitendo ya Osama Bin Laden vilikuwa sio vya kiutu. Lakini namini wapo watakaosema kuwa matendo yake yalikuwa na kiutu. Yalimtokea pia Mandela wakati wa ubaguzi wa rangi to the extent hata wakamwita ni gaidi. What might me a terrorist to one might be a freedom fighter to another. Hata tukichukua mfano wa juzi wa Gaddafi, bado tutatofautiana kama utu wake uliheshimiwa. Labda niseme kama ilivyo kwenye human rights, wapo wataokaosema vigezo vya utu ni universal wakati wengine watasema ni cultural relative?
Whereas recognition of the inherent dignity and of the equal and inalienable rights of all members of the human family is the foundation of freedom, justice and peace in the world................
..............Now, Therefore THE GENERAL ASSEMBLY proclaims THIS UNIVERSAL DECLARATION OF HUMAN RIGHTS as a common standard of achievement for all peoples and all nations, to the end that every individual and every organ of society, keeping this Declaration constantly in mind, shall strive by teaching and education to promote respect for these rights and freedoms and by progressive measures, national and international, to secure their universal and effective recognition and observance, both among the peoples of Member States themselves and among the peoples of territories under their jurisdiction.
Emotional intelligence ni sehemu ya Utu (with capital U, to underline the broad concept as opposed to msamiati wa kawaida).RR nimekupata. Now what are those related concepts ambazo zinaweza kutu-guide in apprehending the concept? Kwenye article aliyotupa Mkuu Cathode Rays hapo, mwandishi anasema kiongozi aatakayeongoza jamii kwenye kampeni mbalimbali za kurejesha afya na ustawi wa taifa hili inambidi "kujenga jamii yenye wataalam na viongozi walioelimika kwenye werevu wa viwango vya kiakili tu IQ; intelligence quotient na mapungufu makubwa ya werevu wa viwango vya Utu yaani EI; emotional intelligence." Kwa hiyo, katika kudefine absence ya UTU kwa binadamu, mtu ambaye hana "emotional intelligence" atakuwa hana utu?
............ Kuchapisha picha kama hiyo hapo chini, ndio kudhamini na kuheshimu utu wa mgongwa?