Nini hasa maana ya utu?

Nini hasa maana ya utu?

Kitendo alichofanyiwa Gaddafi ni cha kiutu?

Wapo Walibya wanaosema kuwa wako tayari kufa hata mara elfu moja sasa kwa sababu walimpenda Gaddafi kwa kuwa aliwapa utu. Lakini pia wapo wengine wanaosema kuwa watapigana na chembechembe yoyote ya Gaddafi iliyobakia ili kurudisha utu wao. Makundi hayo mawili yatakupa tafisiri tofauti kama kitendo alichofanyiwa Gaddafi ni cha kiutu. Lakini wapo wengine walitaka aondoke lakini utu wake uheshimiwe. Hata baada ya kuuawa, wapo waliosema mwili wake uwe treated kiutu.
 
Kwa hiyo tulivyo-incoporate human rights kwenye katiba yetu miaka ya 1980s due to external pressures utu wetu haukudhalilishwa? Au IMF and WB walivyo pressurize to adopt zile structural adjustment programmmes, hatukulalilisha utu wetu pale tulipozikubali na kuamnua kuua kabisa ujamaa ambao mojawapo ya nguzo yake kubwa ilikuwa ni utu?
EMT naweza kusema ndio
Wachina juzi wamewaambia wamerekani na mataifa ulaya kuwa hawezi kufuata sheria za fedha na uchumi (IMF& WB) ambazo hawakushirkii au kushirikishwa kuzitunga . Sasa huu ndio mfano wa kuambiwa kukeketa ni kosa na ushoga ni sahihi. Kama ni mambo yanaanzia from within hakuna tatizo lakini kama ni pressure za nje hakuna utu ni kudhalilishwa.

Labda nikisia katika masharti yaiyotolewa ya adjustments ni lipi japo moja lilikataliwa na serikali yetu bada ya majadilino. Unaweza kuona nchi kama ugirki serikali ina define utu wa taifa vingine na wananchi wako mtaani wana define utu wao kiuchumi vingine

.................................
Kwa maelezo haya na kwa muktadha wa hoja iliyoko mbele yetu kufungiwa kwa F.Fox kusitafsiriwe kama uonevu

Japo si msemaji nadahni kufungiwa kwake FF inawezekana kumezingatia zaidi ya comment au thread moja tunayoangalia watu wengi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Cathode Rays,

But the proponents of the death penalty especially the Christians would argue that the death penalty was actually first instituted by God Himself in Genesis 9:6: "Whoso sheddeth man's blood, by man shall his blood be shed: for in the image of God made he man." They would argue that man didn't invent the death penalty, so man has no right to abandon it. That we live in an age when everyone is far too concerned with "human rights" and utu(?) and God has been practically ignored, as if He had no rights at all.

They would argue that God has given man the MORAL DUTY to execute those who choose to take the lives of others. Exodus 21:12 says, "He that smiteth a man, so that he die, shall be surely put to death." Do you wish to honor God? Then you must support the death penalty, because God commands it.

They would continue to argue that you might say, "Well, that's just the Old Testament law. The New Testament doesn't support the death penalty." But they would beg your pardon asking you if you have read Acts 25:11, Roman 13:1-4 and Revelation 13:10? Revelation 13:10 says, "He that leadeth into captivity shall go into captivity: he that killeth with the sword must be killed with the sword. Here is the patience and the faith of the saints." And they would conclude if the death penalty is no longer in effect, then why is this verse even in the New Testament?

Hapa utu utaingia kweli hasa kwa wale ambao utu wao uko based kwenye maandiko matakatifu?
 
Jamani nimesoma hili chapisho nimecheka sana....http://www.duniahai.com/Articles/UTU NADIRAYATAIFA[1].pdf

Je umewahi kuhisi kuwa kuna ugonjwa unaitwa "Upungufu wa Utu" (naomba niite Human Diginitas-deficiency Syndrome au HDDS).....yaani kuna watu wana "athirika utu"?

Take time kusoma hilo chapisho lina tafakarisha vizuri sana

Mkuu this is very interesting article. Anasema:

Utu ni kuthubutu kuuonyesha hadharani kwa fikra, kauli na matendo. Ni kuutumia ili kuboreshea maisha yetu, ya familia na ya Taifa letu..... Ushahidi wa kitaalam upo kuonyesha kuwa kikwazo kikubwa cha utekelezeji wa Utu kwenye maisha ya kila siku ni Hisia hasi, hasa "chuki maalum" (resentment) inayozaa ubinafsi uliokithiri na hisia hasi zake. Hisia hasi zina uwezo na nguvu ya kupindua kila sifa ya Utu na maadili yake na kuwa Utu-hasi yaani kinyume cha Utu au tuseme hali inayoendana na unyama zaidi kuliko Ubinadamu. Hisia hasi sio msingi wa Utu komavu.
Anauwa kabisa kwa kusema

Ushahidi kuwa kiwango cha matumizi ya Utu kwenye jamii yetu kiko chini na kinazidi kudidimia, hauhitaji kujadiliwa hapa kwani ni hali iliyowazi na hatua za haraka zinahitaji kuchukuliwa iwapo Taifa hili linahitaji kuendelea kuwepo katika misingi ya kuasisiwa kwake. Matumizi ya chuki, ubinafsi, vinyogo na hisia hasi nyingine vimekithiri kwenye kila nyanja ya jamii na taasisi mbalimbali. Na huu ndio msingi wa kudhoofu mfumo wa Utu na nguvu hai "vital hygiene system" kwenye jamii ya Kitanzania.

Duh!

Mtu asiye na Utu hatibiki, hata kama ikionekana katibika na kapona ni kwa muonekano wa nje tu, lakini kwenye kina na shina la afya ya kweli bado ni mgonjwa na vibaya zaidi anakuwa mtu hatarishi kama kutokuwa na Utu alikonako kutarithishwa kwa vizazi vinavyofuata. Kwani ni hakika itafika siku kitatokea kizazi kisichotibika kwa dawa ya aina yoyote ile, mpaka kwanza kutibiwa mfumo wa Utu na Uhai wa jamii hiyo.

Hii kitu inavutia:

Lakini pia ieleweke kuwa mtu asiye na Utu hawezi kuwa kiongozi aliyekamilika katika nyanja yeyote ile kwenye jamii. Hawezi kuwa mzazi aliyekamilika. Hawezi kuwa jirani adilifu. Hawezi kuwa balozi mzuri. Hawezi kuwa Mbunge makini na hawezi kuwa Waziri asiye mbinafsi. Kwa kifupi hana kigezo muhimu cha kuwa Kiongozi. Swali ni; Bila Utu atuongoze kwenda wapi? Huko pasipokuwa na Utu ndipo ulipo uasisi wa Taifa la Tanzania? La hasha, chimbuko la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linafahamika duniani kote. Ni kwenye Dhana ya Utu na maadili yake.

Utu kwenye vyama vya siasa pia?

Chama gani leo hii kwa uhakika wa kimkakati na kimaono kinaweza kuthibitishia Watanzania kuwa kinaongoza Taifa kwenda kushinda na kutwaa maendeleo ya kijamii yasiyokiuka usawa wa kiuchumi na afya ya Utu? Tuichunguze historia ya mfumo wa uchumi wa Taifa hili tangu kupatikana uhuru hadi leo. Tujitizamishe falsafa za kisiasa na kiuchumi zilizokwisha kuwapo na zilizopo. Zipi zilisimamia au zinasimamia Utu na misingi ya kweli ya maendeleo ya uchumi wa fursa na Utu sawa. Tuthubutu kwa ujasiri bila kubabaisha kuangalia Tanzania ya leo imesimamia siasa na uchumi wa afya ipi kwa kila Mtanzania. Afya ya Utu na usawa kwenye rasilimali na pato la Taifa kwa wote? Kama si hivyo, si sahihi basi kusema kuwa ni ugoigoi kujiridhisha kuwa tunaelekea kwenye ustawi na afya ya kweli ya Taifa?

Mtu ni Utu na "Mtu ni Afya"

Kulingana na hali ilivyo sasa hivi na ili kulinusuru Taifa, tunaamini kuwa hayati Mwalimu Nyerere angelikuwapo, angeizindua upya ile kampeni ya Mtu ni Utu na "Mtu ni afya". Angeitekeleza kwa nguvu mpya, kina na kiwango kipana, utaalam na nyezo stahili. Hata hivyo hatuoni ni kwa nini Viongozi walioko madarakani sasa wasifanye hivyo, tena bila kuchelewa kwani hivyo watakuwa wameuenzi Utu wa Mwalimu Nyerere usiopitwa na wakati na utakaodumu nyakati zote.

Chanzo: http://www.duniahai.com/Articles/UTU%20NADIRAYATAIFA%5B1%5D.pdf

Mkuu inabidi tukapime "afya ya utu" wetu. lol. Gaijin, wewe ni muathirika wa utu? Ulishapima afya ya utu wako? lolz
 
Nguvu ya umeme haitofautiani dunia kote! Unaweza kuwa na tafsiri mabalimbali, lakini zote hazibadili nguvu yenywe ya Umeme. Tunaweza wote kuanza kutafakari umeme ni nini? Tukapekua vitabu mbalimbali lakini vyote hivyo havibadili hicho kinachoitwa umeme. Kwa kweli kila mtu anaweza kuja na jibu na DEFINITION HASWA YA UMEME! That will be good work! Somo la umeme liko siku nyingi na definition yake inaweza kuwepo and can be universal. Lakini when it comes to UTU!! Hah ..hah ..Sitaki hata kujaribu ku difine kwa sasa! Binafsi naona kama somo jipya ambalo kusema kweli lazima watu wajitolee kuliiigilia kwa undani kabisa kwa kila namna ili kuipata definition ambayo ni Universal ..Nigeomba udhuru kwa sasa.

Umeme unajileleza kwenye vyombo mbalimbali! Na ni kawaida dunia nzima ukiona MWANGA wa taa mabalimbali za rangi na ukubwa tofauti ukajua hiyo ni jeuri ya nguvu ya umeme. Unaweza kuona radio, tv, fridge, AC nk na hakunashaka kila mtu anajua fika kuwa hiyo ni nguvu ya umeme. Kufanya kazi kwa nguvu ya umeme kwenye vyombo mabalimbali ..haihusiani kabisa na kuwepo au kutokuwepo kwa definition yake. Na hata kila anayejua kuwa hiyo ni nguvu ya umeme sio lazima ajue ku define umeme. Jambo la msingi nasema ni matumizi ya umeme kwenye vyombo mbalimbali. Kama ilivyo nguvu ya UTU kwa kila MTU!

The Value of electricity is in its EXPRESSION on various equipment/machines which serves the HUMAN VALUE in the community!

Hii ni sawa sawa na inakwenda sambamaba na Nguvu ya Utu wa mtu. Thamani yake ipo pale INAPOJIELELEZA KAMA FIKRA, KAULI NA MATENDO katika matumizi ya KUSTAWISHA JAMII!

Hivyo hapa tunakuwa na kambi mbili. Tuutafakari UTU kwa kutumia MATUKIO DHAHIRI YA KIJAMII au TUUTAFAKARI UTU KWA NADHARIA. Kwa sasa nitakuwa kundi la kujadili CASE or rather CASE STUDY/COMMUNITY SITUATIONS AND CONDTIONS kama vinaeleleza na kusimamia DHANA ya UTU au laa!

Kwa mfano tutumie vitendo alivyokuwa anafanya IDD AMINI , OASAMA BIN LADEN, HITLA Ni Vitendo vya Kiutu!? TUTAFAKARI UTU KUPITIA Matukio, Mtindo wa maisha, Matendo, dhana na fikra za Mtu fulani kama msingi wa kujadli Dhana ya Utu wa mtu!
 
Kutokana na hoja inavyokwenda Mimi nitaendeela kujadili maana ya UTU kwa kelezea matukio halisi ya Jamii!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Cathode Rays,
Cathode Rays,
asante sana kwa ufafanuzi huu wa utu wa mtu ni human dignity ambamo humanity imo ndani yake.

Watetezi wa utu wa mtu ndio waliopelekea adhabu zote ambazo ni degrading kwa utu wa mtu zifutwe ikiwemo kuchapwa viboko up to death by hanging na all kinds of torture including water bording.

Tanzania bado tunatekeleza adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka ufe which is really barbaric!.

Nikirudi kwenye mada ya EMT, binadamu akiwa kwenye hali ya ugonjwa, anahitaji humility na symphathy na sio kumsimanga. Mtu akiwa mgonjwa regardless anaumwa nini, sio vyema kuijadili nafasi yake kisiasa kwa vile haukuna stipulation ya sheria wala kanuni kuwa mbunge akiumwa kwa muda gani, atasita kuwa mbunge.

Mtoa mada ya afya ya mbunge yule, hakuileta in good faith, ila kwa vile jimbo hilo linashikiliwa na CCM na eneo hilo limeshapata joto la moto wa Godbless Lema, then mtoa mada ana wish the worst itokee ili Chadema walitwae jimbo.

Mimi ni miongoni mwa wanashutumu dhamira hiyo na kusema huo sio utu wa kiafrika.

Tanzania tunafuata mkondo wa sheria za Common Law, za Uingereza ambapo mtuhumiwa yuko presumed innocent until proven guilt beyond reasonable doubt in a court of law of competent jurisdiction.

Kinachofanyika nchini ni completely vice versa, kwa mujibu wa sheria zetu, hairuhusiwi kuwapiga picha wahalifu wakiwa chini ya ulinzi wa polisi wala hairuhusiwi kuwapiga picha washitakiwa wakiwa mahakamani kwani ni kuwavunjia utu wao. Kila siku tunaonyeshwa watuhumiwa wakiwa paraded vituo vya polisi na picha kibao za mahakamani ambazo zinakiuka utu wa mtu.

Niliangalia lile tukio la September 11 jinsi Western media zilitunza dignity ya miili ya watu wao, hakuna picha zilizoonyesha miili zaidi ya black bags. Ni media hizo hizo zilizoonyesha dilapidated bodies za waafrika wakati wa Rwandan Genocide, au picha za Saadam, Osama na juzi Ghadafi kwa vile kwa standard zao dignity ni kwa wazungu tuu, wengine hawastahili.

Media zetu nazo zinafuata huo huo mkumbo wa degrading human dignity kwa kuonyesha picha za miili ya marehemu mpaka nyuso zao!. Picha nyingine ni just 'morbid curiosity' tuu na hazijuwa na sababu yoyote ya msingi.

Utu wa mtu, hauna uhusiano na kitu, mtu muone kama mtu sio mpaka awe na kitu!.

Humu jf siku hizi kumevami na vichwa maji wa ajabu ambao hawana lugha za staha na kutoa matukano yanayuvunja heshima na utu wa watu bila sababu zozote za msingi. Mathalani kumtukana mtu kwa sababu ya umbile lake au sura yake ni kumvunjia heshima ya utu wake na hivyo kuishusha hadhi ya jf mbele ya jamii ya wapenda haki.
 
They would continue to argue that you might say, "Well, that's just the Old Testament law. The New Testament doesn't support the death penalty." But they would beg your pardon asking you if you have read Acts 25:11, Roman 13:1-4 and Revelation 13:10? Revelation 13:10 says, "He that leadeth into captivity shall go into captivity: he that killeth with the sword must be killed with the sword. Here is the patience and the faith of the saints." And they would conclude if the death penalty is no longer in effect, then why is this verse even in the New Testament?

Hapa utu utaingia kweli hasa kwa wale ambao utu wao uko based kwenye maandiko matakatifu?

Mkuu hapa tutaingia kwenye mjadala mzito maana haya mambo ya Imani bwana.......Anyway, ngoja tu nitoe mtazamo kidogo kwa kile ninachokifahamu kwenye eneo hili (by the way i have never been to bible college ila ni katika kujijengea tabia ya kupenda kusoma)

Watu wa tafsiri za Biblia wana kitu wanaita "Biblical Context In Scripture Translation" wanapofanya uchambuzi wa Biblia.....Na ukisoma hiyo mistari ambayo huyo bwana mwenye hilo chapisho hapo juu anazungumzia utagundua ametoka kabisa nje ya ile context ili ku-suit ile pre-conceived idea aliyonayo yeye...Siwezi kufafanua kwa undani hapa kwa kuwa siyo dhumuni la thread hii

Ila kwa ujumla wake kwa mfano ukiangalia case ya Paulo kwenye hiyo Acts 25:11 anazungumzia neno "ikiwa nastahili" akiwa anamaanisha kile tulichokuwa tunaongea kwa mahali hapa kuwa kama inaonekana kisheria kuwa anastahili hiyo adhabu basi na aipate tu......Hapa tunarudi kule kule tulikotoka hapo awali kuwa Sheria inaweza kusema kitu hiki kuwa ni halali lakini siyo halali kama vile ambavyo Paulo pia aliwahi kuandika kwenye 1Korinthians 10:23 anasema "Vitu vyote ni HALALI bali si vitu vyote VIFAAVYO.....". Hii maana yake ni nini? Vitu vinaweza kuhalalishwa kisheria japokuwa havifai na kule kuhalalishwa kwake haimaanishi kunavifanya viwe vyenye kufaa (Je ushoga UKIHALALISHWA kisheria unafanya kitendo cha ku-cameruniwa ni chenye KUFAA??)

Hata ukiangalia case ya Romans 13 ambayo mwandishi ameitoa hapo juu utagundua amei-refer hiyo mistari "out of context" kwa kuwa Paulo alichokuwa akifanya ni kuwahimiza Warumi kutii Mamlaka (Mamlaka inasema Usiweke Sauti ya Vyombo vyako vya Muziki zaidi ya decibell (db) kadhaa na wewe unazidisha, mamlaka zinasema fanya kazi yako kwa utaratibu fulani halafu wewe unafanya kinyume, basi unastahili kupata haki yako sawasawa na mamlaka inavyotaka).................Nimependa tu kwa kuwa Paulo kwenye Sura hii Mst 3 anasema "Kwa maana watawalao hawatishi kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema nawe utapata sifa kwake..."

Hata hivyo kuna kipande kizuri sana na cha muhimu kwenye Kiatbu hiki ambacho kinaachwa Paulo anaposema "Kwa hiyo ni lazima kutii, si kwa sababu ya ile ghadhabu tu (ya mamlaka husika au tuseme serikali kwa case yetu kwa kuvunja zile sheria au mamlaka zao) ila na kwa sababu ya dhamiri (conscience sake???)".......k

Nikimalizia ile ya Revelation is the same thing, "out of context".....kwa kuwa kinachozungumzwa hapo sio kanuni ya jino kwa jino agano jipya bali ni kule kuwepo kwa hali hiyo wanaacha kile kipande cha mwisho cha "hapo ndipo penye subira ya watakatifu". Kimsingi mstari huu unazungumzia zaidi wakati ule wa kuwepo kwa dhiki kuu ambapo ndivyo itakavyokuwa (upanga kwa upanga) na wala haihalalishi ambacho mwandishi huyu anataka watu waamini kuwa Agano Jipya lina-support retribution
......
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hapa nilijaribu kuueleza Maana ya Utu kwenye matukio yaliyokuwa yanatokea kule arusha NMC!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kushinikiza-lema-aachiwe-11.html#post2776104


By Dr.W.Slaa Mzee let us bet aliyechanganyikiwa ni nani tuone. Slaa niko uwanja wa NMC. Ninawapigania watanzania wanyonge walionyanyasika, wenye kukandamizwa na ugumi wa maisha. Kama huko kwenye kundi hilo huwezi ku feel na ndio mnaosaliti ndugu zenu. Hivyo jifurahishe tu na matusi hayana madhara kwa kuwa tunajua malengo na watanzania walio wengi wanaelewa ndio maana wako uwanjani hadi

sasa Serekali ingetoa muda mwingi kufanya deep analysis za forces behind the CHANGES and not the Personalities involved! The forces which are carrying out some social economical changes can peak out any personalities... and its better that Personality should be the government itself!!

Kwa mfano kwanini kukimbizana na Hon G Lema badala ya kuchukua ule WARAKA WAKE 2011 kabla ya kujiachia Gerezani na kuulunganisha na ujumbe wa Azimio La Arusha la 1967... na kuchukua hatua zinazotakiwa Kijamii! Ni waraka wa G Lema ni wa Azimio la UTU NA UBINADAMU kurejea Mtaani that is all ... nani haoni hivyo?

Kwa sababu kama ni mahitaji ya jamii kuhitaji UTU kama UPENDO, UTU kama HESHIMA na UTU kama MATUMANI ... sio lazima vuguvugu lianzishwe na G Lema ... anybody.. could do that! Na kwa sababu yeyote ile ...KIONGOZI mmjoa akiondoka .. ataotokea mwingine..na akiondoka huyo... atatokea mwingine ..kwani hakuna ushahidi...? Hata hivyo nimetumia Maneno UPENDO, HESHIMA na MATUMAINI ...kwani ndio msingi wa Azimio la Utu lililofikiwa huko arusha 1967. WaanzIilishi kama peresonalities ...hawapo ..lakini mbona ..ndio hoja zimetawala WARAKA wa Hon Lema? ... Mbona ndio forces zinatawala Jamii ya Kitanzania? Kwa mfano VioNgozI wote wa Kidini na serekali wamesema BIG NOOO! kwa ndoa za jinsia moja ..WHY? Ni kinyume na UTU NA UBINADAMU wa Kitanzania. So? Bora kufa kwa njaa lakini kulinda UTU NA UBINADAMU wa Kitanzania ...Hivi wanaona wanachokisema... Si Azimio la UTU wa Mtanzania hilo la mwaka 1967. Wanamaanisha wanachosema? Yaani wako tayari kukaa mistari kupimiwa unga, sukari , sabuni ... kwa ajili ya UTU NA UBINADAMU WAO ..IS THIS A BIG JOKE!!!??

Watazania leo wanadiriku kusema wako tayari kukaa kwa njaa ..lakini .. wasimfuatie masharati ya watoa misaada wa nchi za nje? Kwani hii jeuri ya kiutu ili kusimamia Ubinadamu na heshima ya Mtanznaia haipo kwenye azimo la arusha!!? It has nothing to do with Chadema, CCM neither G Lema ..ni swala la Kitaifa.

Kwani kila mtu mwenye ufahamu na busara anaona na anafahamu kuwa kama leo wafadhili wametamka hadharani kuhusu ni ndoa gani.. siku nyingine ..watatutamkia wake zetu au binti zetu (Mungu aepushie mbali) ...Lazima kuamka na kujiuliza nini kimetokea miaka 50 ya uhuru bado tunategemea Wafadhali na kutamkiwa matamshi yasiyo na adabu kama Taifa huru, yanayovunja HESHIMA, UTU NA UBINADAMU WA MTANZNAIA!! ...again here there is no chasing personalities ..its all about SOCIAL FORCES AND PRINCIPLES!!

Its Forces no Personalities!!

Serekali na vyombo vyake vingejifunza kuachana na PERSONALITIES na Kujikita Zaidi na PRINCIPELS. Kama dunia nzima iko kwenye mabadiliko yasiyozuilika cha msingi haijalishi ni nani atakuwa anayafanya. Kumtafuta mtu .. unataka kumfanya nini.. ? na Historia anasemaje juu ya hilo?

Kwa mfano UTU wa Mtu unaweza kuzima MABOMU yote ya Nuklia dunia kwa sekunde moja tu! Sasa wewe unataka kuzima nguvu za kijamii kusukuma kurejea UTU mtaani..Unataka kutumia nini? Cha msingi ni kusimamia vuguvugu la mabadiliko ya UTU NA UBINADAMU kwa KUJADILIANA na Bila CHUKI na VITISHO.
 
pasco,

Mkuu Pasco umenifanya nione hata hiyo Like haitoshi, wish ungekuwa hapa nikushike mkono. Great!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Maana yangu ni kwamba lugha (ya kiswahili na zingine zote) are weak and distorted. Tukianza kutafsiri UTU kwa kutumia maneno tutaishia kusema vitu vingine, na sio UTU. The only way to apprehend the concept is to define related concepts, na kudefine abscence ya UTU kwa binadam, na consequences zake.

RR nimekupata. Now what are those related concepts ambazo zinaweza kutu-guide in apprehending the concept? Kwenye article aliyotupa Mkuu Cathode Rays hapo, mwandishi anasema kiongozi aatakayeongoza jamii kwenye kampeni mbalimbali za kurejesha afya na ustawi wa taifa hili inambidi "kujenga jamii yenye wataalam na viongozi walioelimika kwenye werevu wa viwango vya kiakili tu IQ; "intelligence quotient" na mapungufu makubwa ya werevu wa viwango vya Utu yaani EI; "emotional intelligence." Kwa hiyo, katika kudefine absence ya UTU kwa binadamu, mtu ambaye hana "emotional intelligence" atakuwa hana utu?
 
EMT,
EMT, ni kweli sheria ya Musa inasema atakaye ua kwa upanga auwawe kwa upanga. Na atakayekupiga kofi shavu la kushoto nawe mpige shavu la kulia.

Alipokuja Bwana wetu Yesu Kristo, (Nabii Issa Bin Marriyum)alileta humulity na dignity, na kusema akikupiga kofi la kulia, mgeuzie na la kushoto!. Akasisitiza kuwa hakuja kuitengua sheria ya Musa bali amekuja kuikamilisha.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Azimio Jipya,

Mkuu hata tukitafakari utu kuwa kupitia matukio still bado tunaweza tusifikie the same conclusion. Kwa mfano, wako wataosema vitendo ya Osama Bin Laden vilikuwa sio vya kiutu. Lakini namini wapo watakaosema kuwa matendo yake yalikuwa na kiutu. Yalimtokea pia Mandela wakati wa ubaguzi wa rangi to the extent hata wakamwita ni gaidi.

What might me a terrorist to one might be a freedom fighter to another. Hata tukichukua mfano wa juzi wa Gaddafi, bado tutatofautiana kama utu wake uliheshimiwa. Labda niseme kama ilivyo kwenye human rights, wapo wataokaosema vigezo vya utu ni universal wakati wengine watasema ni cultural relative?
 
AshaDii,

Nimependa @ Blue: Kuwa UTU ujadiliwe based on MATUKIO/ HAlI FULANI/ CASE etc! Mfano halisi nilijadli Dhana ya UTU hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/189616-mbowe-atikisa-gereza-la-lema-9.html#post2771136

Re: Mbowe atikisa gereza la Lema

By mwaJ: Walikiona cha mtema kuni ni police wa magamba si umesoma hapo? Makamishna wameenda kumbembeleza akubali kutoka mahabusu ili Arusha iwe na amani! Mmekubali sasa eh? Lema kishawaambia labda mumtishie kingine sio jela wala kumuua! Kama haogopi kutishiwa kufa unadhani mtamtishia nini zaidi ya hapo? Lema kishapuliza kipenga hakuna kurudi nyuma!

MwaJ!! Mzima weweee!!

Niruhusu niogezee kuwa Watanzania wote!

Hatuna shida nyingine, tunahitaji kuona HESHIMA na Kuheshimiana kama kunakoonyeshwa na MAKAMISHNA kunarejea mtaani ... Kwani Huo sio UTU? Kwani Huo Sio UBINADAMU? Ni Hicho tu!! Watanzania Hatujali ni Chama gani kitachukua fursa ya Kurejesha HESHIMA, UPENDO na MATUMAINI ya Taifa, Hayo maneno Matatu ni Msingi wa Mwenge wakweli wa UHURU Limnara Likubwa Likiwa Limesimama pale ARUSHA. Hivyo basi, UTU kama UPENDO, UTU kama HESHIMA na UTU kama MATUMAINI ... vitaendelea Kuwa ni MSINGI UTAKO SIMAMIWA NA POLISI NA SEREKALI KAMA WALIVYOFANYA MAKAMISHINA pale mjini ARUSHA ... Mbona Historia itakuwa imejirudia? Kivipi?

Arusha itakuwa imekuwa nuru ya matumaini mapya! Itakuwa imeonyesha dhana ya UTU kwa vitendo na makamanda makamishana hao kuingia kwanye historia. Kwani BILA UTU hakuna maisha wala Uhai. Hivyo watakuwa wametafsiri kwa vitendo dhana ya UTU na kuanzisha uwepo wa AZIMIO LA PAMOJA LA UTU WA TAIFA. .. Lazima Taifa likae na kukubaliana kuwepo kwa AZIMIO LA UTU na UBINADAMU wa Taifa, ambalo litakuwa Limeanzia Gerezani KISONGO kati ya makamishana, Mwenyekiti Mbowe, G Lema na wengine wote. Litakuwa Azimio la Utu na ubindamu kushika hatamu katika mji wa Arusha na kuenea kote Tanzania. Kama Ule waraka wa G Lema unavyodai . Kawaraka kadogo lakini kamesheheni Vilivyo.

Lakini leo tunaongelea Kutaka AZIMIO LA UTU Lifanyike au Kuanzia Arusha... yaani AZIMIO LA UTU LA ARUSHA... Liwe AZIMIO lililofikiwa ARUSHA!!(AZIMIO LA ARUSHA) Haaaa ahaaahhh .. Kwani halikuwahi kuwepo? Kwani ile nyumba kando ya Limnara likubwa pale ARUSHA inakumbukumbu Gani? .. Si Ni AZIMIO LA ARUSHA LA MWAKA 1967.

Liilikwenda wapi? Tunauliza Azimio la UTU wa UBINADAMU wa Mtanzania la Mwaka 1967 ..Lilikwendawa WAPI? Majibu mnajua!!

Lilimezwa na AZIMIO la wapinaga UTU la ZANZIBAR ...Wakaja na AZIMIO LA VITU BADALA YA UTU ...Sasa misukumo ya Kijamii (MIZIMU) YA ARUSHA IMEFUFUKA!!! Inadai AZIMIO LA UTU NA UBINADAMU LIREJEE... HAPA INATAKIWA HEKIMA NA BUSARA KUBWA!!

Soma tena Waraka wa G Lema ... Kama una Muda kaulinganishe ... na WARAKA WA AZIMIO LA ARUSHA MWAKA 1967!!!

Nani haoni kuwa Waraka wa G Lema ni MTIZAMO WA SASA WA AZIMIO LILELI LA MWAKA 1967? ...Alafu tuache mambo ya UBISHI usiokuwa na Tija ya KIUTU NA KIBINADAMU!! ... kitu ni kilekile!!! Na mtu ambaye hakuwahi kujua maana ya azimio la arusha asome tu waraka wa G lema kwani ule ndio muhutasari wake!! Ndio maana ya kuwa na Kumbukumbu ya azimio la arusha ile nymba pale Arusha na alama ya Mwenge wa uhuru kila Kona ya Nchi ya Tanzania!! Na sasa serekali iwe tayari kurejesha ..DHANA YA UTU NA UBINADAMU KWENYE NYANJA ZOTE NA FUJO ZITAKOMA!! NAFIKIRI HILI LIMEELEWEKA!!!

KUDHIBITISHA KUWA ... UTU ... Haupitwi na wakati! Na waasisi wa azimio la 1967 ...walitabiri ... NGUVU YA UTU KAMA MSINGI WA USTAWI WA JAMII YA TANZANIA .... Itarejea!! Bora Makamishana HODARI wameliona hilo na SASA WAUNGWE MKONO NA VIONGOZI WA SEREKALI WA NGAZI ZA JUU!!

Wajitokeza HADHARANI ...WAUNGE MKONA KUREJEA KWA AZIMIO LA UTU NA UBINADAMU ...wafuate kale kabarua kadogi ka G Lema (kwani hata zimio la 1967 kalikuwa ka kurasa moja). Hata kama hawataki kumtaja yeye kama Muanzisha Vuguvugu... Kikubwa zaidi wajaribu zaidi kumuelewa na wasimuumize kwa namna yeyote!! Kwani hiyo ndio ishara ya UTU Mpya, Tanzania na Nuru Mpya ya Ubinaadamu!!!
 
Mkuu hata tukitafakari utu kuwa kupitia matukio still bado tunaweza tusifikie the same conclusion. Kwa mfano, wako wataosema vitendo ya Osama Bin Laden vilikuwa sio vya kiutu. Lakini namini wapo watakaosema kuwa matendo yake yalikuwa na kiutu. Yalimtokea pia Mandela wakati wa ubaguzi wa rangi to the extent hata wakamwita ni gaidi. What might me a terrorist to one might be a freedom fighter to another. Hata tukichukua mfano wa juzi wa Gaddafi, bado tutatofautiana kama utu wake uliheshimiwa. Labda niseme kama ilivyo kwenye human rights, wapo wataokaosema vigezo vya utu ni universal wakati wengine watasema ni cultural relative?

Mkuu unajua ni kweli ni ngumu kupata tafsiri ya moja kwa moja ya maana ya hili neno (yaani universal definition and SI unit ya hili neno na likawa applicable kote). Nadhani ndiyo maana General Assembly ya UN kwenye ile UNIVERSAL DECLARATION OF HUMAN RIGHTS wamejaribu kuweka set of common standards values ambazo kimsingi kila mtu ana haki nazo ili kuondoa ule mkanganyiko wa tafsiri ya "yule ambae kwako ni gaidi, kwangu ni shujaa" ikiwamo na kuwepo kwa Mahakama ya Kimataifa (Japo hapa napo maswali ni mengi zaidi ya majibu

Whereas recognition of the inherent dignity and of the equal and inalienable rights of all members of the human family is the foundation of freedom, justice and peace in the world................

..............Now, Therefore THE GENERAL ASSEMBLY proclaims THIS UNIVERSAL DECLARATION OF HUMAN RIGHTS
as a common standard of achievement for all peoples and all nations, to the end that every individual and every organ of society, keeping this Declaration constantly in mind, shall strive by teaching and education to promote respect for these rights and freedoms and by progressive measures, national and international, to secure their universal and effective recognition and observance, both among the peoples of Member States themselves and among the peoples of territories under their jurisdiction.


The question still is how common and standards are these "common standards of achivements" ???
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kwa faida ya wale ambao hawaifahama universal declaration of human rights iwaongezee hazina katika mjadala huu

preamble

whereas recognition of the inherent dignity and of the equal and inalienable rights of all members of the human family is the foundation of freedom, justice and peace in the world,

whereas disregard and contempt for human rights have resulted in barbarous acts which have outraged the conscience of mankind, and the advent of a world in which human beings shall enjoy freedom of speech and belief and freedom from fear and want has been proclaimed as the highest aspiration of the common people,

whereas it is essential, if man is not to be compelled to have recourse, as a last resort, to rebellion against tyranny and oppression, that human rights should be protected by the rule of law,

whereas it is essential to promote the development of friendly relations between nations,

whereas the peoples of the united nations have in the charter reaffirmed their faith in fundamental human rights, in the dignity and worth of the human person and in the equal rights of men and women and have determined to promote social progress and better standards of life in larger freedom,

whereas member states have pledged themselves to achieve, in co-operation with the united nations, the promotion of universal respect for and observance of human rights and fundamental freedoms,

whereas a common understanding of these rights and freedoms is of the greatest importance for the full realization of this pledge,

now, therefore the general assembly proclaims this universal declaration of human rights as a common standard of achievement for all peoples and all nations, to the end that every individual and every organ of society, keeping this declaration constantly in mind, shall strive by teaching and education to promote respect for these rights and freedoms and by progressive measures, national and international, to secure their universal and effective recognition and observance, both among the peoples of member states themselves and among the peoples of territories under their jurisdiction.
article 1.

  • all human beings are born free and equal in dignity and rights.they are endowed with reason and conscience and should act towards one another in a spirit of brotherhood.
article 2.

  • everyone is entitled to all the rights and freedoms set forth in this declaration, without distinction of any kind, such as race, colour, sex, language, religion, political or other opinion, national or social origin, property, birth or other status. Furthermore, no distinction shall be made on the basis of the political, jurisdictional or international status of the country or territory to which a person belongs, whether it be independent, trust, non-self-governing or under any other limitation of sovereignty.
article 3.

  • everyone has the right to life, liberty and security of person.
article 4.

  • no one shall be held in slavery or servitude; slavery and the slave trade shall be prohibited in all their forms.
article 5.

  • no one shall be subjected to torture or to cruel, inhuman or degrading treatment or punishment.
article 6.

  • everyone has the right to recognition everywhere as a person before the law.
article 7.

  • all are equal before the law and are entitled without any discrimination to equal protection of the law. All are entitled to equal protection against any discrimination in violation of this declaration and against any incitement to such discrimination.
article 8.

  • everyone has the right to an effective remedy by the competent national tribunals for acts violating the fundamental rights granted him by the constitution or by law.
article 9.

  • no one shall be subjected to arbitrary arrest, detention or exile.
article 10.

  • everyone is entitled in full equality to a fair and public hearing by an independent and impartial tribunal, in the determination of his rights and obligations and of any criminal charge against him.
article 11.

  • (1) everyone charged with a penal offence has the right to be presumed innocent until proved guilty according to law in a public trial at which he has had all the guarantees necessary for his defence.
  • (2) no one shall be held guilty of any penal offence on account of any act or omission which did not constitute a penal offence, under national or international law, at the time when it was committed. Nor shall a heavier penalty be imposed than the one that was applicable at the time the penal offence was committed.
article 12.

  • no one shall be subjected to arbitrary interference with his privacy, family, home or correspondence, nor to attacks upon his honour and reputation. Everyone has the right to the protection of the law against such interference or attacks.
article 13.

  • (1) everyone has the right to freedom of movement and residence within the borders of each state.
  • (2) everyone has the right to leave any country, including his own, and to return to his country.
article 14.

  • (1) everyone has the right to seek and to enjoy in other countries asylum from persecution.
  • (2) this right may not be invoked in the case of prosecutions genuinely arising from non-political crimes or from acts contrary to the purposes and principles of the united nations.
article 15.

  • (1) everyone has the right to a nationality.
  • (2) no one shall be arbitrarily deprived of his nationality nor denied the right to change his nationality.
article 16.

  • (1) men and women of full age, without any limitation due to race, nationality or religion, have the right to marry and to found a family. They are entitled to equal rights as to marriage, during marriage and at its dissolution.
  • (2) marriage shall be entered into only with the free and full consent of the intending spouses.
  • (3) the family is the natural and fundamental group unit of society and is entitled to protection by society and the state.
article 17.

  • (1) everyone has the right to own property alone as well as in association with others.
  • (2) no one shall be arbitrarily deprived of his property.
article 18.

  • everyone has the right to freedom of thought, conscience and religion; this right includes freedom to change his religion or belief, and freedom, either alone or in community with others and in public or private, to manifest his religion or belief in teaching, practice, worship and observance.
article 19.

  • everyone has the right to freedom of opinion and expression; this right includes freedom to hold opinions without interference and to seek, receive and impart information and ideas through any media and regardless of frontiers.
article 20.

  • (1) everyone has the right to freedom of peaceful assembly and association.
  • (2) no one may be compelled to belong to an association.
article 21.

  • (1) everyone has the right to take part in the government of his country, directly or through freely chosen representatives.
  • (2) everyone has the right of equal access to public service in his country.
  • (3) the will of the people shall be the basis of the authority of government; this will shall be expressed in periodic and genuine elections which shall be by universal and equal suffrage and shall be held by secret vote or by equivalent free voting procedures.
article 22.

  • everyone, as a member of society, has the right to social security and is entitled to realization, through national effort and international co-operation and in accordance with the organization and resources of each state, of the economic, social and cultural rights indispensable for his dignity and the free development of his personality.
article 23.

  • (1) everyone has the right to work, to free choice of employment, to just and favourable conditions of work and to protection against unemployment.
  • (2) everyone, without any discrimination, has the right to equal pay for equal work.
  • (3) everyone who works has the right to just and favourable remuneration ensuring for himself and his family an existence worthy of human dignity, and supplemented, if necessary, by other means of social protection.
  • (4) everyone has the right to form and to join trade unions for the protection of his interests.
article 24.

  • everyone has the right to rest and leisure, including reasonable limitation of working hours and periodic holidays with pay.
article 25.

  • (1) everyone has the right to a standard of living adequate for the health and well-being of himself and of his family, including food, clothing, housing and medical care and necessary social services, and the right to security in the event of unemployment, sickness, disability, widowhood, old age or other lack of livelihood in circumstances beyond his control.
  • (2) motherhood and childhood are entitled to special care and assistance. All children, whether born in or out of wedlock, shall enjoy the same social protection.
article 26.

  • (1) everyone has the right to education. Education shall be free, at least in the elementary and fundamental stages. Elementary education shall be compulsory. Technical and professional education shall be made generally available and higher education shall be equally accessible to all on the basis of merit.
  • (2) education shall be directed to the full development of the human personality and to the strengthening of respect for human rights and fundamental freedoms. It shall promote understanding, tolerance and friendship among all nations, racial or religious groups, and shall further the activities of the united nations for the maintenance of peace.
  • (3) parents have a prior right to choose the kind of education that shall be given to their children.
article 27.

  • (1) everyone has the right freely to participate in the cultural life of the community, to enjoy the arts and to share in scientific advancement and its benefits.
  • (2) everyone has the right to the protection of the moral and material interests resulting from any scientific, literary or artistic production of which he is the author.
article 28.

  • everyone is entitled to a social and international order in which the rights and freedoms set forth in this declaration can be fully realized.
article 29.

  • (1) everyone has duties to the community in which alone the free and full development of his personality is possible.
  • (2) in the exercise of his rights and freedoms, everyone shall be subject only to such limitations as are determined by law solely for the purpose of securing due recognition and respect for the rights and freedoms of others and of meeting the just requirements of morality, public order and the general welfare in a democratic society.
  • (3) these rights and freedoms may in no case be exercised contrary to the purposes and principles of the united nations.
article 30.

  • nothing in this declaration may be interpreted as implying for any state, group or person any right to engage in any activity or to perform any act aimed at the destruction of any of the rights and freedoms set forth herein.
 
RR nimekupata. Now what are those related concepts ambazo zinaweza kutu-guide in apprehending the concept? Kwenye article aliyotupa Mkuu Cathode Rays hapo, mwandishi anasema kiongozi aatakayeongoza jamii kwenye kampeni mbalimbali za kurejesha afya na ustawi wa taifa hili inambidi "kujenga jamii yenye wataalam na viongozi walioelimika kwenye werevu wa viwango vya kiakili tu IQ; “intelligence quotient” na mapungufu makubwa ya werevu wa viwango vya Utu yaani EI; “emotional intelligence." Kwa hiyo, katika kudefine absence ya UTU kwa binadamu, mtu ambaye hana "emotional intelligence" atakuwa hana utu?
Emotional intelligence ni sehemu ya Utu (with capital U, to underline the broad concept as opposed to msamiati wa kawaida).
Kusema tu ukweli mi sikua nafatilia uzi huu toka mwanzo na sasa hata sijui nianzie wapi kuchangia, so nitakupa maoni kwa PM maana sitaki kurudia yalio semwa au kuchangia in an opposite direction...
 
AshaDii, Nimeipenda hii kwani imejaribu kuelezea hali toka kwa mtu mmoja na kutafsririwa linapomfikia mtu mwingine. Kwani ni hapo tu unaweza kujadili lina contents ya Utu au laa! Lakini nasisitiza Tuutizame utu kama tukio la kijamii ...hilo tukio au hali au Mtu mwenye hali hiyo nk ..ndivyo vinaweza kutadhminiwa kuwa au kutokuwa na utu! @paulss, Kwa mfano tukio au hali ya Ushoga katika jamii fulani ndio inayohitaji kujadiliwa kuwa ni Utu au sio Utu ..lakini sio kuujadili Utu wenyewe bila tukio au hali ianayoendana nayo!! Its like its twin processes! Yaani kimoja kinatokea na kimoja kinatafsiriwa kuwa na utu au hakina!! Najua itakapofikia kwenye kuuweka UTU kwenye kitu kama katiba ndipo itakuwa more interesting! Maana ukiweka Neno UTU hata ukalidifine ..bila kuweka process inayoambatana nalo ..Inaweza kuleta upungufu fulani wakati wa Matumizi! @RussianRoulette, IMO: The best example ever ... Mtu akikosa utu ataona matokeo yake kwa watu wanaomzunguka.... Yaani two process taking place simultaneous @RussianRoulette, You said it all! Its like cause and effects. Two processes happening at the same time .. Ni kama ukisikia sauti ya mtoto mchanga ..lazima kuna Mam somehere the two cant be separated. You want talk about Utu ..huwezi kuidefine wenteywe bila tukio/ hali / process ya kukuwezesha kudefine ...SO TUANZENI KUTIZAMA CASES MABALIMBALI ..TUONE WOTE TUNAKUBALIANA KUWA ZIANA AU HAZINA UTU!!Mfano: Ni kionozi gani sasa hivi Hapa Tanzania Unamuona kuwa ana UTU na Nani anahitaji kijrekebisha! Kwa namna hiyo you mension and explain why?
 
............ Kuchapisha picha kama hiyo hapo chini, ndio kudhamini na kuheshimu utu wa mgongwa?

Mkuu hiyo ya maiti napata ugumu hata wa kusemea..

Ila kwa hili la mgonjwa huwa wanasema "permission granted at the discretion and permission of a patient", yaani kama umemuomba kwa minajili fulani akakuruusu then its okay, kwa mfano inaweza kuwa case ya mgonjwa anaehitaji msaada na hakuna namna yoyote ya kupata public interest and sympathy na kutoa michango yao kama hawajaona tatizo husika

Au kwa mfano case ya Nyamongo, ili wananchi wale kupata kuungwa mkono na watu wote wa Taifa hili, inabidi mtu aende awaombe na awaeleze kinagaubaga nia yake kuwa ni kuiambia jamii kwa ujumla wake nini kinaendelea na madhila gani wanapitia ili kwa pamoja waungane kupaza sauti kutetea "utu" wao............hivyo watalazimika wakati mwingine kufungua matumbo yao na kuwa watupu kuonesha namna ambavyo wameathiriwa na matumizi ya maji yenye kemikali n.k



OT:
Daaah, hili li-thread la utu tamu sana ila ngoja ni log-off nisije chelewa basi alfajiri.....JF tamu sjiui kwa nini nimechelewa kujiunga.......wish ningekuwa hapa since at the age of 7 ..................hahahaaa, wengine watasema isingekuwa utu kuruhusiwa chini ya umri (wakati Universal Declaration inasema nina haki ya ku-express mawazo yangu na haitaji umri wala mahali pa ku-express)
 
Back
Top Bottom