EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
- Thread starter
- #121
Kwa faida ya wale ambao hawaifahama universal declaration of human rights ..........iwaongezee hazina katika mjadala huu
Asante Mkuu. Wako watakao-question kama UDHR is legally a binding instrument. The cultural relativists watakuambia human rights are not universal but culturally relative. Waafrika and I am sure Mh Membe na viongozi wengine wa Kiafrika watakuambia kuwa human rights are culturally relative; they must be relative to our culture. Otherwise, tungekuwa tumeshamkubalia Cameron long time. lol
Hata hvyo, the universalits watakuambia UDHR now forms part and parcel of customary international law and that it is also incorporated in our constitution which, of course, is true. Lakini ma-positivists watakuambia whether or not UDHR now forms part and parcel of customary international law, such international law is already law improperly so called. Unlike national laws, it is tough to enforce international law. Na ukilangalia ni kweli. Na katiba yetu karibia kila Ibara inaanza na "Bila kuathiri sheria nyingine za nchi", blaa blaa blaa. Agggrrrrrrrrrrr. We need a new Katiba ili tumwekee na Gaijin kifungu cha maana ya utu. lol