mashinetata
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 391
- 896
CC huwa hazitofautiani sana na crown au premio na mara nyingi premio na crown zinakuwa na CC kubwa kuliko hiyo brevis.mafuta+maintainance angalia cc za gar
MMMH YA KWELI HAYANini sababu ya watu kutoa onyo kali endapo mtu akionesha hatua ya kutaka kumiliki gafi hizi?
Wewe jamaa uko serious kweli?CC huwa hazitofautiani sana na crown au premio na mara nyingi premio na crown zinakuwa na CC kubwa kuliko hiyo brevis.
Upande wa maintence ni kipi hasa kinafanya BREVIS iwe juu wakati wajuvi mnasema gari nyingi za toyota zinashare spare parts?
Hakuna sababu ya kunishambulia wakati unaweza kutoa maoni na kurekebisha nilipo kosea, lengo la mada sio kwamba nioneshe ninajua vitu vingi ila nataka kujifunza vitu ndio maana nimeweka kiulizo.Wewe jamaa uko serious kweli?
You know something next to nothing.
Nimekuelewa mkuu, sasa kwanini crown bei yake haishuki haraka kama brevis ikiwa unataka kumvua mtu?Luxury Salon nyingi eg. Brevis na dada zake Crown,Mark II na Mark X ni mzigo kwenye mazingira ya Bongo..Cc nyingi = Consumption kubwa ukijumlisha na matunzo yetu ya hovyo inasababisha wabongo wengi kuzichukia hizi gari na kupelekea demand kuwa chini na bei pia.
Angalizo : Usinunue kama huna uwezo wa kutunza na kuhudumia..utazichukia kama wenzako.
CC huwa hazitofautiani sana na crown au premio na mara nyingi premio na crown zinakuwa na CC kubwa kuliko hiyo brevis.
Upande wa maintence ni kipi hasa kinafanya BREVIS iwe juu wakati wajuvi mnasema gari nyingi za toyota zinashare spare parts?
Brevis mimi ndio gari yangu na sitahama naimudu na naijua sana sana october ntauza huko kasulu na navuta ingine naweka namba E, kila mtu ashinde mechi zake bar natumia kwa mwezi laki5-6 niogope wese, guest natumia laki3-5 kwa mwezi niogope wese ntakuwa ndezi wa kufikiri, kupanga ni kuchagua, chelsea kachagua droo1. Naomba kwanza nikukosoe Premio yenye Cc nyingu ni 1900 na kitu iv na sio 2500 kama Brevis
2. Twende kwa mada sasa
Kwanza hizi gari zinaenda na upepo(ilianza Verrosa ikaja Brevis ikaja Mark x na sasa inasumbua Crown)
Hizo zote ni saloon car za cc 2500
Ni gari nzur hasa ndani(very comfotable car na sababu zina engine kubwa basi ndani ac inakuwa kubwa na kuifanua gari iwe safi na tam muda wote)
Kwann bei zake ziko chini kwa madalali
1. Brevis kama Verosa ni toleo la muda kwenye saloon car kwa hapa bongo watu washazichoka haziko kwa fasion na Crown ndo iko kwa fassion
2. Cc 2500(hali ya uchumi si nzur hivyo watu wanapenda kupata magari yanayoendana na kipato chao nf mtu anaishi bunju au tegeta akitumia hizo saloon car anaweza kuwa anatumia mpk mafuta ya 50000 kwa siku hii anayemudu awe mfanyabiashara tena awe vzr mfukon
So ukichukua sababu ya kuaa old fasion na matumizi makubwa ya wese ndo maana watu hawana mpango nazo
Brevis mimi ndio gari yangu na sitahama naimudu na naijua sana sana october ntauza huko kasulu na navuta ingine naweka namba E, kila mtu ashinde mechi zake bar natumia kwa mwezi laki5-6 niogope wese, guest natumia laki3-5 kwa mwezi niogope wese ntakuwa ndezi wa kufikiri, kupanga ni kuchagua, chelsea kachagua droo
chaguo la chelsea katika ubora wao kosa kumpa lukaku acheze na nuksi zake akaacha winning team, endeleeni na drooHahahaha fala ww kwa kuisema Chelsea vibaya
Waswahili wanasema "Kipya kimenyi"..Ni suala la muda tu tutaanza kuokota Crown 5Mil mpaka 7Mil..Nimekuelewa mkuu, sasa kwanini crown bei yake haishuki haraka kama brevis ikiwa unataka kumvua mtu?
Nilitaka ninunue Verossa nimeghairiLuxury Salon nyingi eg. Brevis na dada zake Crown,Mark II na Mark X ni mzigo kwenye mazingira ya Bongo..Cc nyingi = Consumption kubwa ukijumlisha na matunzo yetu ya hovyo inasababisha wabongo wengi kuzichukia hizi gari na kupelekea demand kuwa chini na bei pia.
Angalizo : Usinunue kama huna uwezo wa kutunza na kuhudumia..utazichukia kama wenzako.
Mzee umemaliza Kila kitu .. ni kwel brevis ni gari nzuri ila kwasasahv ni kama Old fashion ndo maana watu wanakimbilia crown .. nazan hata miaka ya mbele hata crown itakuwa bei rahisi pia,1. Naomba kwanza nikukosoe Premio yenye Cc nyingu ni 1900 na kitu iv na sio 2500 kama Brevis
2. Twende kwa mada sasa
Kwanza hizi gari zinaenda na upepo(ilianza Verrosa ikaja Brevis ikaja Mark x na sasa inasumbua Crown)
Hizo zote ni saloon car za cc 2500
Ni gari nzur hasa ndani(very comfotable car na sababu zina engine kubwa basi ndani ac inakuwa kubwa na kuifanua gari iwe safi na tam muda wote)
Kwann bei zake ziko chini kwa madalali
1. Brevis kama Verosa ni toleo la muda kwenye saloon car kwa hapa bongo watu washazichoka haziko kwa fasion na Crown ndo iko kwa fassion
2. Cc 2500(hali ya uchumi si nzur hivyo watu wanapenda kupata magari yanayoendana na kipato chao nf mtu anaishi bunju au tegeta akitumia hizo saloon car anaweza kuwa anatumia mpk mafuta ya 50000 kwa siku hii anayemudu awe mfanyabiashara tena awe vzr mfukon
So ukichukua sababu ya kuaa old fasion na matumizi makubwa ya wese ndo maana watu hawana mpango nazo
Asante sana mkuu kwanza umeikosoa kiutu uzima halafu umeshusha fact vizuri na nimekuelewa, JF inajivunia watu kama wewe1. Naomba kwanza nikukosoe Premio yenye Cc nyingu ni 1900 na kitu iv na sio 2500 kama Brevis
2. Twende kwa mada sasa
Kwanza hizi gari zinaenda na upepo(ilianza Verrosa ikaja Brevis ikaja Mark x na sasa inasumbua Crown)
Hizo zote ni saloon car za cc 2500
Ni gari nzur hasa ndani(very comfotable car na sababu zina engine kubwa basi ndani ac inakuwa kubwa na kuifanua gari iwe safi na tam muda wote)
Kwann bei zake ziko chini kwa madalali
1. Brevis kama Verosa ni toleo la muda kwenye saloon car kwa hapa bongo watu washazichoka haziko kwa fasion na Crown ndo iko kwa fassion
2. Cc 2500(hali ya uchumi si nzur hivyo watu wanapenda kupata magari yanayoendana na kipato chao nf mtu anaishi bunju au tegeta akitumia hizo saloon car anaweza kuwa anatumia mpk mafuta ya 50000 kwa siku hii anayemudu awe mfanyabiashara tena awe vzr mfukon
So ukichukua sababu ya kuaa old fasion na matumizi makubwa ya wese ndo maana watu hawana mpango nazo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]asante kwa taarifaBrevis mimi ndio gari yangu na sitahama naimudu na naijua sana sana october ntauza huko kasulu na navuta ingine naweka namba E, kila mtu ashinde mechi zake bar natumia kwa mwezi laki5-6 niogope wese, guest natumia laki3-5 kwa mwezi niogope wese ntakuwa ndezi wa kufikiri, kupanga ni kuchagua, chelsea kachagua droo
Kwa hiyo kulihudumia brevis ni gharama zaidi?Uchumi mkuu. Huku 'kwetu' 1JZ au hata 2JZ ni dili hasa; hata kama gari lenyewe likiwa juu ya mawe wadau wanaifanya project car au wanaidumbukiza kwenye kagari kengine mradi tu JZ isife kifo cha kinyonge. Heri ife kishujaa, ikitema horsepowers.