Nini hasa sababu ya magari aina ya toyota brevis kuwa na bei ndogo linapouzwa hapa nchini au kwa madalali?

Nini hasa sababu ya magari aina ya toyota brevis kuwa na bei ndogo linapouzwa hapa nchini au kwa madalali?

Brevis tafsiri yake ni maisha mafupi. Hii ni hao walioitengeneza ndo waliipa hilo jina kwa sababu wanazojua wao na hawakuendelea na uzalishaji. Ni gari zuri likiwa jipya, halina bei sababu ni gari za fashion, ni kama cresta na chaser au verossa yalivyotamba na kushuka bei. Pia ni kazi kulitunza, Master tu ile inayohusika na break inafanana na ya Toyota LC na bei ni ghali.

"The word "brevis" is Latin for "brief, a short amount of time or duration".
Pengine walimaanisha brief/short 0-100 kph time.
 
Malizia kwa kusema zenye dili ni 1JZ/2JZ-GTE na sio hizi 1JZ/2JZ-GE au 1JZ/2JZ-FSE zilizojaa huku bongo
Chukua -FSE au GE, badili intake, ECU, tupiamo kadude ka kupuliza almaarufu turbo, i-tune unavyopenda, una GTE safi.
 
Chukua -FSE au GE, badili intake, ECU, tupiamo kadude ka kupuliza almaarufu turbo, i-tune unavyopenda, una GTE safi.
😄😄😄 theoretically Ni rahisi hivyo Ila ukienda field ndipo utajua mambo sio marahisi hivyo.
 
Back
Top Bottom