mashinetata
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 391
- 896
- Thread starter
- #21
[emoji3][emoji3]kwa hiyo subari zina umri mkuwa kweny gameWaswahili wanasema "Kipya kimenyi"..Ni suala la muda tu tutaanza kuokota Crown 5Mil mpaka 7Mil..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]kwa hiyo subari zina umri mkuwa kweny gameWaswahili wanasema "Kipya kimenyi"..Ni suala la muda tu tutaanza kuokota Crown 5Mil mpaka 7Mil..
Hzi verosa kuna sehem nimeona inauzwa mil 2 mpaka nilishituka sema nikasahau kuziwek kwenye list hapoNilitaka ninunue Verossa nimeghairi
Ameelezea vizuri sana nadhani wakati ukifika wa kufanya maamuzi nitamfata pmMzee umemaliza Kila kitu .. ni kwel brevis ni gari nzuri ila kwasasahv ni kama Old fashion ndo maana watu wanakimbilia crown .. nazan hata miaka ya mbele hata crown itakuwa bei rahisi pia,
Mpaka hivi sasa tayari imeshaanza kufikia bei hiuoWaswahili wanasema "Kipya kimenyi"..Ni suala la muda tu tutaanza kuokota Crown 5Mil mpaka 7Mil..
Nimeona mahali juzi Crown Namba D kwa dalali bei anaanzia 6.5 nikahisi lbd ina ishu lbd kwenye mashine au ishapata ajali. kumbe ndio zishaanza kumbwelaMpaka hivi sasa tayari imeshaanza kufikia bei hiuo
Pengine hujawahi kumilik hata baiskel Ila1. Naomba kwanza nikukosoe Premio yenye Cc nyingu ni 1900 na kitu iv na sio 2500 kama Brevis
2. Twende kwa mada sasa
Kwanza hizi gari zinaenda na upepo(ilianza Verrosa ikaja Brevis ikaja Mark x na sasa inasumbua Crown)
Hizo zote ni saloon car za cc 2500
Ni gari nzur hasa ndani(very comfotable car na sababu zina engine kubwa basi ndani ac inakuwa kubwa na kuifanua gari iwe safi na tam muda wote)
Kwann bei zake ziko chini kwa madalali
1. Brevis kama Verosa ni toleo la muda kwenye saloon car kwa hapa bongo watu washazichoka haziko kwa fasion na Crown ndo iko kwa fassion
2. Cc 2500(hali ya uchumi si nzur hivyo watu wanapenda kupata magari yanayoendana na kipato chao nf mtu anaishi bunju au tegeta akitumia hizo saloon car anaweza kuwa anatumia mpk mafuta ya 50000 kwa siku hii anayemudu awe mfanyabiashara tena awe vzr mfukon
So ukichukua sababu ya kuaa old fasion na matumizi makubwa ya wese ndo maana watu hawana mpango nazo
Ni nzima kabisa?Mpaka hivi sasa tayari imeshaanza kufikia bei hiuo
Kwanini usiende kwenye hoja moja kwa moja na kumkosoa alipo kosea badala kumshambulia yeye?Pengine hujawahi kumilik hata baiskel Ila
hapa una-google na kubwabwaja tu
Sasa wewe unasema bei ndogo halafu hata hutaji ni sh ngapi tutaelewa nini sasa?Habari za mchana wakuu?
Nimekuwa nikifatilia uuzwaji wa magari hasa katika page za instagram na facebook za madalali, baadhi ya thread humu jamvini na hata katika majukwaa ya minada kama kupatana n.k.
Lengo la kuandika huu uzi ni kupata ukweli wa kuhusu chanzo au sababu ya magari aina ya TOYOTA BREVIS kuwa na bei ndogo katika maeneo hayo tofauti na yakiwa mapya.
Nini sababu ya bei yake kushuka sana?
Nini sababu ya watu kutoa onyo kali endapo mtu akionesha hatua ya kutaka kumiliki gafi hizi?
CC huwa hazitofautiani sana na crown au premio na mara nyingi premio na crown zinakuwa na CC kubwa kuliko hiyo brevis.
Upande wa maintence ni kipi hasa kinafanya BREVIS iwe juu wakati wajuvi mnasema gari nyingi za toyota zinashare spare parts?
CC ndo CCM?Upo serious wewe???
Gharama kubwa unazoweza kuingia ni za uendeshaji (mafuta).Kwa hiyo kulihudumia brevis ni gharama zaidi?
Si umeona lakini wajuvi wenzio wamenielewa?Sasa wewe unasema bei ndogo halafu hata hutaji ni sh ngapi tutaelewa nini sasa?
Mwingine huyu hapa[emoji119]Upo serious wewe???
Asante mkuu barikiwaGharama kubwa unazoweza kuingia ni za uendeshaji (mafuta).
Zingine ni wakati wa maintenance. Kwa sababu ni engine kubwa tegemea itumie oil zaidi, coolant zaidi, spark plugs mbili zaidi ya gari pendwa za cylinder 4, ingawa vitu vingine gharama zinashabihiana tu, kama brakes na makorokoro aina hiyo. Zaidi inabidi niende ku'gugu' kujua tarakimu.
Pengine hujawahi kumilik hata baiskel Ila
hapa una-google na kubwabwaja tu
Chukua siti hapaHuu uzi naufatilia mana hii gari naipenda sana,me sio mtu wa kwenda na fashion saana,hivyo wacha nipate maoni zaidi kuhusu ishu zingine.