Nini hasa sababu ya magari aina ya toyota brevis kuwa na bei ndogo linapouzwa hapa nchini au kwa madalali?

Mzee umemaliza Kila kitu .. ni kwel brevis ni gari nzuri ila kwasasahv ni kama Old fashion ndo maana watu wanakimbilia crown .. nazan hata miaka ya mbele hata crown itakuwa bei rahisi pia,
Ameelezea vizuri sana nadhani wakati ukifika wa kufanya maamuzi nitamfata pm
 
Pengine hujawahi kumilik hata baiskel Ila
hapa una-google na kubwabwaja tu
 
Sasa wewe unasema bei ndogo halafu hata hutaji ni sh ngapi tutaelewa nini sasa?
 
CC huwa hazitofautiani sana na crown au premio na mara nyingi premio na crown zinakuwa na CC kubwa kuliko hiyo brevis.

Upande wa maintence ni kipi hasa kinafanya BREVIS iwe juu wakati wajuvi mnasema gari nyingi za toyota zinashare spare parts?

Upo serious wewe???
 
Kwa hiyo kulihudumia brevis ni gharama zaidi?
Gharama kubwa unazoweza kuingia ni za uendeshaji (mafuta).

Zingine ni wakati wa maintenance. Kwa sababu ni engine kubwa tegemea itumie oil zaidi, coolant zaidi, spark plugs mbili zaidi ya gari pendwa za cylinder 4, ingawa vitu vingine gharama zinashabihiana tu, kama brakes na makorokoro aina hiyo. Zaidi inabidi niende ku'gugu' kujua tarakimu.
 
Asante mkuu barikiwa
 
Tangu mdogo nilikuwa na ndoto niishi kitajiri kama John Kaboko hata mbuyu ulianza kama mchicha polepole nami nitafika - Imma Dreamer

Crown Athlete Inshallah.


 
Pengine hujawahi kumilik hata baiskel Ila
hapa una-google na kubwabwaja tu

Ni sahihi pia bos ilimradi mtu kauliza na nina uelewa kdg wa kumsaidia majibu ndo maana nimejibu
Samahan kama kujibu kwangu kumekukwaza kwa namna moja au nyingine(ila ujue mtu anaweza awe hajawah miliki hata baiskel ila akawa fundi garage na akawa na uelewa wa magari)
 
Brevis tafsiri yake ni maisha mafupi. Hii ni hao walioitengeneza ndo waliipa hilo jina kwa sababu wanazojua wao na hawakuendelea na uzalishaji. Ni gari zuri likiwa jipya, halina bei sababu ni gari za fashion, ni kama cresta na chaser au verossa yalivyotamba na kushuka bei. Pia ni kazi kulitunza, Master tu ile inayohusika na break inafanana na ya Toyota LC na bei ni ghali.

"The word "brevis" is Latin for "brief, a short amount of time or duration".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…