mashinetata
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 391
- 896
- Thread starter
-
- #41
Busara[emoji1666]Ni sahihi pia bos ilimradi mtu kauliza na nina uelewa kdg wa kumsaidia majibu ndo maana nimejibu
Samahan kama kujibu kwangu kumekukwaza kwa namna moja au nyingine(ila ujue mtu anaweza awe hajawah miliki hata baiskel ila akawa fundi garage na akawa na uelewa wa magari)
Master inayo husika na break inafanana na land cruiser au nimeelewa vibaya[emoji15].Brevis tafsiri yake ni maisha mafupi. Hii ni hao walioitengeneza ndo waliipa hilo jina kwa sababu wanazojua wao na hawakuendelea na uzalishaji. Ni gari zuri likiwa jipya, halina bei sababu ni gari za fashion, ni kama cresta na chaser au verossa yalivyotamba na kushuka bei. Pia ni kazi kulitunza, Master tu ile inayohusika na break inafanana na ya Toyota LC na bei ni ghali.
"The word "brevis" is Latin for "brief, a short amount of time or duration".
Master inayo husika na break inafanana na land cruiser au nimeelewa vibaya[emoji15].
Sio gari baya, mtu amiliki tu kama analipenda. Ila usinunue gari kwa kuangalia watu, nunua kwa ajili yako kwa kuangalia matumizi ya hilo gari, kipato chako na uwezo wako wa kutunza na kulihudumia gari husika.Kwa hiyo unamshaurije mtu anae taka kumiliki hii gari mkuu?
Shukrani mkuu barikiwa sana, kama nitakuwa na swali lolote nitakuuliza zaidi[emoji120]View attachment 2089983
Sijui bei ya sasa ila kipindi hicho wakati nina hii gari ilipokufa bei ilikuwa Tsh 800,000/= mtumba na ya LC pakti ilikuwa bei hizo hizo na according to mechanic unaweza ifunga kwenye LC na ikakubali. Mpya ilikuwa haishikiki. NB: Picha nimegoogle.
Sio gari baya, mtu amiliki tu kama analipenda. Ila usinunue gari kwa kuangalia watu, nunua kwa ajili yako kwa kuangalia matumizi ya hilo gari, kipato chako na uwezo wako wa kutunza na kulihudumia gari husika.
Malizia kwa kusema zenye dili ni 1JZ/2JZ-GTE na sio hizi 1JZ/2JZ-GE au 1JZ/2JZ-FSE zilizojaa huku bongoUchumi mkuu. Huku 'kwetu' 1JZ au hata 2JZ ni dili hasa; hata kama gari lenyewe likiwa juu ya mawe wadau wanaifanya project car au wanaidumbukiza kwenye kagari kengine mradi tu JZ isife kifo cha kinyonge. Heri ife kishujaa, ikitema horsepowers.
Karibu mkuuShukrani mkuu barikiwa sana, kama nitakuwa na swali lolote nitakuuliza zaidi[emoji120]
Me nataka harrier au Nissan x trail nambieni Bei ya chini kbs shingapi zinapatikana kwa Sasa ...mwanzo nilikuwa natamani allteza na hizi brevis ila naona nisha cancel mmenitisha kwenye ulaji wa mafuta.
Unaacha gari nzuri Alteza....Me nataka harrier au Nissan x trail nambieni Bei ya chini kbs shingapi zinapatikana kwa Sasa ...mwanzo nilikuwa natamani allteza na hizi brevis ila naona nisha cancel mmenitisha kwenye ulaji wa mafuta.
Take it easy Bro! JF usiwe serious sanaNi sahihi pia bos ilimradi mtu kauliza na nina uelewa kdg wa kumsaidia majibu ndo maana nimejibu
Samahan kama kujibu kwangu kumekukwaza kwa namna moja au nyingine(ila ujue mtu anaweza awe hajawah miliki hata baiskel ila akawa fundi garage na akawa na uelewa wa magari)
Aiseee 1JZ/2JZ-GE sijabahatika kuziona huku kwetu. Maana kama ingekuwepo sijui watu wangeibatiza jina gani ikiwa 1JZ/2JZ-FSE ambayo ina unafuu kwenye mafuta sababu ya direct injection watu wanaiita jini.Malizia kwa kusema zenye dili ni 1JZ/2JZ-GTE na sio hizi 1JZ/2JZ-GE au 1JZ/2JZ-FSE zilizojaa huku bongo
Bila shaka mkuu ulikua unamanisha ambazo hujaziona huku kwetu Ni 1JZ/2JZ-GTE na sio 1JZ/2JZ-GE Kama ulivyoandika hapo juu.Aiseee 1JZ/2JZ-GE sijabahatika kuziona huku kwetu. Maana kama ingekuwepo sijui watu wangeibatiza jina gani ikiwa 1JZ/2JZ-FSE ambayo ina unafuu kwenye mafuta sababu ya direct injection watu wanaiita jini.
Sio nzima pekee,bali na inatembeaNi nzima kabisa?
Kwa dalali ndo bei hiyo,je mwenye gari mwenyewe itakua ni chini mno.......kuna dogo namjua alinunua kwa 6.7 na akaiendesha toka Dom kuileta hapa jijini na ilifika bila ttzoNimeona mahali juzi Crown Namba D kwa dalali bei anaanzia 6.5 nikahisi lbd ina ishu lbd kwenye mashine au ishapata ajali. kumbe ndio zishaanza kumbwela
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Premio ipi ..ina engine kubwa kuliko brevis ,, unasemea zile 1.5L 1.8L na 2.0?CC huwa hazitofautiani sana na crown au premio na mara nyingi premio na crown zinakuwa na CC kubwa kuliko hiyo brevis.
Upande wa maintence ni kipi hasa kinafanya BREVIS iwe juu wakati wajuvi mnasema gari nyingi za toyota zinashare spare parts?
Bila shaka mkuu ulikua unamanisha ambazo hujaziona huku kwetu Ni 1JZ/2JZ-GTE na sio 1JZ/2JZ-GE Kama ulivyoandika hapo juu.
[emoji23]Sio nzima pekee,bali na inatembea
Nadhani nikikosea mkuu, wamesha nisahihisha!Premio ipi ..ina engine kubwa kuliko brevis ,, unasemea zile 1.5L 1.8L na 2.0?
Zilizopo Bongo nyingi ni 1JZ/2JZ-FSE sababu hizi ndio zinatengenezea kwa soko la Japan
1JZ/2JZ-GE kwa masoko kama China
1JZ/2JZ-GTE kwa soko la mzungu...
The same kwa engine za GR
Ushakutana na 4GR-FE kwenye crown za Bongo. Nyingi unazoziona ni 4GR-FSE....
Mbona 1JZ/2JZ-GE ziko nyingi mno hapa bongo kwny altezza,cresta,mark 2,chaser,Progress,Crown na majesta(bongo tunayaita Yale old model) etcZilizopo Bongo nyingi ni 1JZ/2JZ-FSE sababu hizi ndio zinatengenezea kwa soko la Japan
1JZ/2JZ-GE kwa masoko kama China
1JZ/2JZ-GTE kwa soko la mzungu...
The same kwa engine za GR
Ushakutana na 4GR-FE kwenye crown za Bongo. Nyingi unazoziona ni 4GR-FSE....