Nini hasa sababu ya magari aina ya toyota brevis kuwa na bei ndogo linapouzwa hapa nchini au kwa madalali?

Mbona 1JZ/2JZ-GE ziko nyingi mno hapa bongo kwny altezza,cresta,mark 2,chaser,Progress,Crown na majesta(bongo tunayaita Yale old model) etc

Upo sawa japo mimi nililenga kwenye brevis....

Pia hizo gari ulizotaja ni before 2000 ambapo D4/FSE haikuwa imeingia kwenye market yet.
 
Pengine walimaanisha brief/short 0-100 kph time.
 
Malizia kwa kusema zenye dili ni 1JZ/2JZ-GTE na sio hizi 1JZ/2JZ-GE au 1JZ/2JZ-FSE zilizojaa huku bongo
Chukua -FSE au GE, badili intake, ECU, tupiamo kadude ka kupuliza almaarufu turbo, i-tune unavyopenda, una GTE safi.
 
Chukua -FSE au GE, badili intake, ECU, tupiamo kadude ka kupuliza almaarufu turbo, i-tune unavyopenda, una GTE safi.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ theoretically Ni rahisi hivyo Ila ukienda field ndipo utajua mambo sio marahisi hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…