Nini hasa siri ya amani, furaha, upendo na kudumu kwa mahusiano na ndoa yako kiasi hicho?

haikukwamishi wala kukupoteza lengo au kusudi la maisha yako humu duniani, bali ndoa ikusaidie kuyafikia malengo hayo kirahisi, kwa uhakika na ufanisi zaidi, right? :pulpTRAVOLTA:
Yes haswaaaa mkuuuu..

Ndoa iwe ni moja ya ngazi kuendea kwenye maisha yako unayoyataka.

Na ndoa isiwe kikwazo cha kukukwamisha kuendelea kuyafanya yale ambayo ulikuwa ukiyafanya mwanzoni.

Sio unaoa alafu unaanza kuwekewa mifumo na wife kwamba hili usifanye lile usifanye noo.

Hang out na marafiki kama zamani na wife lazima alijue hilo na alikubali.

Mwanaume akiwa na furaha kwenye ndoa basi ni rahisi kumfurahisha na mkewe,so lazima tuhakikishe kwamba ndoa haitukwamishi katika mambo yetu.
 
:KasugaYeah::KasugaYeah::ClapHD::ClapHD:
 
mimi nafikir ndoa yangu ni njema sana na nina furaha sna
1.mke wangu ni mwenye kujishusha sana ikitokea sintofaham, ata kama mimi nimekosea hukaa kimya hadi siku nyingine ndo ataniambia kwa utulivu sana ,
huyu mwanamke nakiri ni wa ajabu sana, huwa anajua kuchagua maneno ya kutumia kwangu hadi najikuta mpole sana kwake
2. huyu mwanamkwe ananijua vilivyo, huwa ananiangalia tu machoni pangu na anajua nataka nini,
3. huyu mwanamke ana uwezo mkubwa wa kupika kama vile anafanya miujiza
4. huyu mwanamke huwa hakurupuki kabisa kwa jambo lolote lile, ni mtulivu plus+
5.huyu mwanamke ananijari kuliko ata mimi navojijari
6. huyu mwanamke huwa akihis tu nina hisia ananipa, kwa kifupi kucheat siwez kabisa maana muda wote huwa ananihitaji
7.mke wangu ni mzuri na amejengeka sana umbo lake huwa haniishi hamu
8. mke wangu ndo rafiki yangu namba moja
9. huyu mwanamke hachoshi kumtazama, ana macho mazuri sana
10.anazijua bajeti, nikimuachia hela ya matumizi huwa anajua kuipangilia hadi hela ya kununulilia kuku kila weekend inapatikana
11. huyu mwanamke huwa ananiambia ananipenda mala chache chache sana, Lakin matendo yake kuwa ananipenda ni mala 10000000000000
namuombea kwa mwenyezi mungu akifa aende peponi,
 
:ClapHD::ClapHD::ClapHD::ClapHD::KasugaYeah::KasugaYeah::KasugaYeah::KasugaYeah:
 
Back
Top Bottom