Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

Hahahaha!!
Mambo mengine ambayo tungesikitika Sasa yanafurahisha.

Kwa hiyo Mungu alim'pa pigo mzee Stephen...?
Exactly ILA wenye ufikiri ndo wanaweza kung'amua.. Kwani firauni km umesoma historia yake ulikuwaje mwisho wake alivyodai yeye ndio Mungu? Mpaka Leo mwili wake upo ukiwa umekaushwa kwaajili ya watu kujifunza.. Sasa wewe usiyeamini km kuna Mungu nawe vuta subira utapata majibu.
 
Mkuu wewe unaamini uwepo wa shetani?
 
kwani big bang ni kiumbe,..? asked out of curiousity
Hahahahaa.... Yeah. Inaitwa Big bang kwa sababu ni mripuko mkubwa uliowahi kutokea wanasayansi wakapachika hilo jina.

So Big bang sio kitu ila ni action, na hii action was created na kama ni kitu basi pia nk created.

Wakati najadiliana na Tlg, nilimwambia kuwa Universe imeumbwa mathematically na tukiweza kucrack hio mathematic basi tutaweza kutengeza our man made universe. Lakini itakiwa bado hatujaprove kuwa Mungu hayupo, kwa sababu itakiwa sisi ndio creator wa izo man made universe.

Hii Big Bang ni theory, msikae mkafikiri kwamba eti ndio mambo yalivo alivosema Hawking, mpaka anakufa sijaona experiment aloifanya kuhusu Big bang, na WANAOGOPA, kwa sababj wakiifanya, na wakafanikiwa kuja na small universe, manake wao watakuwa creators, kwaio itabakia kiwa our big universe was created pia.

Kiumbe si lazima kiwe kina pumua mkuu nafikiri unajua. Hata gari ni kiumbe na muumbaji wake ni engineer na mechanics.

There are only 2 sides in this universe, CREATOR AND HIS CREATIONS. (usipanic sizungumzii Creator mungu, hio ni general kwenye kila kitu)
 
Mkuu wewe ndiio unaijua sana science na hii physics yako ya moody physics, nimekuuliza swali dogo unaropoka mengi, we niambie origin yake, unaanza kuniambia nuclear fission na fusion, we si unajua ndio ungeelezea sasa sisi tusiojua tujue.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ajabu ni kwamba wanaomdadisi Mungu ndiyo wanaofunguliwa fikra na kumjua zaidi ila wanaoogopa hata kumuuliza chochote ndiyo wanaozidi kudidimia kwa kukosa maarifa.

Kumuuliza Mungu maswali kwa lengo la kuelewa siyo dhambi.
 
Mungu unamuulizaje sasa?
 
According to the bible, qur-an and hadith za mtume(s.a.w) there will come a time when religion and its books will perish and by that time there will be no hope in the world. Sins will no longer be forgiven. What will remain is the story of religion and people who belived in it. And that will be the end of the world.
 
it will be the end of religion. Human beings once existed without religion and after religion there will be other forms to control people thats all
 
Nadhani wanasayansi ndio watie hofu juu ya vumbuzi zao kwani daily wanavumbua vilivyopo daily! Sayansi haiipi Dini hatma kwa namna yoyote ile...Imani katika Mungu ni independent kabisa na kamwe haitegemei kiegemeo kiitwacho sayansi.
 
Mbona unapotosha wewe! Tafuta wapagani kama wewe mpo wangapi duniani na still njaa ndio swahiba wenu Mkuu!!
 
Kwahiyo na wewe ni ng'ombe au sio..!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Namuunga mkono Hawkins , dini ni hofu ya maisha . Ukiangalia kwa makini wanaoshika dini sana ni dunia ya tatu . Eti wanahofia kwenda motoni . God is nature that's all : everything happened naturally .
 
in the end lazima Mungu ahusike, just try to imagine with the big bang and everything ila the source ya vitu vyote hivo ni nini?
 
Ajabu ni kwamba wanaomdadisi Mungu ndiyo wanaofunguliwa fikra na kumjua zaidi ila wanaoogopa hata kumuuliza chochote ndiyo wanaozidi kudidimia kwa kukosa maarifa.

Kumuuliza Mungu maswali kwa lengo la kuelewa siyo dhambi.
na sidhani kama bible imekataza kuuliza
 
Mimi nafikiri kitendo cha kutetereka kwa hali yake kulitokana na hizi theory zake na Mungu alimuhukumu.
Kwahio vilema wote wamehukumiwa sababu ya madhambi yao ,hadi waliodhaliwa albino,

Wewe ndo mkamilifu hutendi dhambi mzima wa afaya au sio
 
Mkuu wewe ndiio unaijua sana science na hii physics yako ya moody physics, nimekuuliza swali dogo unaropoka mengi, we niambie origin yake, unaanza kuniambia nuclear fission na fusion, we si unajua ndio ungeelezea sasa sisi tusiojua tujue.
Hide your stupidity mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…