Enkai
Member
- Oct 2, 2017
- 95
- 46
hakuna pahala nimesema niko swaKutumia muda wako mwingi kuja na ASSUMPTIONS zako haimaanishi kuwa upo sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna pahala nimesema niko swaKutumia muda wako mwingi kuja na ASSUMPTIONS zako haimaanishi kuwa upo sawa
So unanambia kuwa hakukuwa na chochote kabisa? No space, nothing at all. And all of a sudden boooom, big bang imetokea. Explain to me how it happened basiNothing existed before the big bang kuwa muelewa basi galaxies themselves ni matokeo ya big bang
It is intresting. Unasema in the near future it may be possible to create new galaxies, so who is going to create them? Those with knowledge or it will create itself?In the near future it may be possible to create new galaxies yes hadi sasa with the available theories it is almost possible challenge ni energy tu but in the future we never know never underestimate humans
It is intresting. Unasema in the near future it may be possible to create new galaxies, so who is going to create them? Those with knowledge or it will create itself?In the near future it may be possible to create new galaxies yes hadi sasa with the available theories it is almost possible challenge ni energy tu but in the future we never know never underestimate humans
Basi utambue kuwa, kufikiria kuwa kuna CREATOR of the universe haimaanishi kuwa ni mvivu wa kufikiri, hata baadhi ya scientist wanakubali uwepo wa muumbaji tena katika sekta hii hii ya universe.hakuna pahala nimesema niko swa
Mkuu wewe ndiio unaijua sana science na hii physics yako ya moody physics, nimekuuliza swali dogo unaropoka mengi, we niambie origin yake, unaanza kuniambia nuclear fission na fusion, we si unajua ndio ungeelezea sasa sisi tusiojua tujue.Soon wanaweza kufika or may be not
Watu wasio na uelewa na science Mara nyingi hupenda kuuliza the origin of matter ,huwa hawajiuli nuclear bomb zinatengenezwa kwa principle zipi kwa maana ukijua mechanism ya nuclear fission and fusion huwezi uliza matter ilitokea wapi
Bora yake yy sbb kaweka kitu special ktk ulimwengu ambacho vizazi na vizazi vitamsoma.Huyu Professor Stephen Hawking kaugua weeee. Kafa leo na Science yake. Pitia hii link
Stephen Hawking, Who Examined the Universe and Explained Black Holes, Dies at 76
Mimi nafikiri kitendo cha kutetereka kwa hali yake kulitokana na hizi theory zake na Mungu alimuhukumu.Wanasayansi watashindana na Mungu ila hawatashinda. Believe me & God
Suala la dini litaendelea kusimama madhubuti bila kuyumbishwa na mambo ya nyakati.Na hao wanasayansi kuhoji uwepo wa Mungu ni kiburi tu,mbona hoja ziko nyingi za kuthibitisha uwepo wa Mungu? Kwa mfano hao wanaoitwa wanasayansi sayansi wameikuta au wamekuja nao? Kama sayansi wameikuta asili yake wapi? Narudia kusisitiza,dini hasa uislamu,haitayumbishwa na hao wanasayansi.
Yaani tunapata shida kwa makosa ya watu wengine ?nonsenseWajinga mmeshika dini toka utotoni mmemezeshwa maduduwasha mkameza sasa mnajifanya mnajua sana kuhusu uwepo wa mungu kumbe hamna kitu, mna evidence yoyote zaidi ya uongo mliousoma kwenye vitabu vyenu? Hehe! no proof, nothing, just utter nonsense. ati mungu mjua vyote, alijua adam na eve watakula tunda alafu akawawekea mti? heheh! nuksi nyingine bna, na alijua yatakayotokea baada ya hapo, vifo, maumivu yote, vita, alafu bado akaweka mti? alafu mnasema ana mapenzi kuliko kiumbe chochote? hayo ni mapenzi au chuki? heheh! we unajua mtoto atajikata alafu unamtegeshea wembe then unamuonya asiguse huku unajua kabisa kua atagusa na atajikata?
Yanayofanyika mabaya yote leo mnakaa kusema kazi za shetani, hehehe kazi za shetani yupi? kazi ya mungu wenu huyo maana yeye ndiye aliweka mti, shetani alisema ukweli kabisa kua ukila hilo tunda utajua mema na mabaya, uongo wa shetani uko wapi hapo? alafu mnakaa kusema alidanganya, kwani leo hii hamjui mema na mabaya? people are so stupid yaani mnasikitisha, aliyetunga hizo hadithi alivuruga sana watu, imani za kipuuzi zimedumu for generations na zitaendelea kuwepo muda mrefu sana hadi pale ambapo tutaanza interstellar travel watu bado watakua wanaamini upuuzi tu.
Em fikirisheni bongo kidogo msijifanye wajinga, mnajaribu kuukataa ukweli kua mlimeza upuuzi kwa kua mnaogopa sijui jehanamu, upuuzi gani. Vitu vingine hata kwa akili ya kawaida mtu unaona kabisa its bullshit.
chanzo cha mungu ninini?Kwaio unasema kuwa galaxies zilikuwepo kabla ya big bang? Billions od galaxies were already there just waiting for the big bang to happen?
Mimi ninaeamini Mungu ndie alietengeza universe, naamini ameitengeza mthematically. Kuanza elements zilizosababisha huo mripuko mpaka kukawa na galaxies. All these mathematically is possible. Ukiweza kucrack hio hesabu unaweza hata ukaja na your own man made universe. Lakini the point remains the same, YOU WILL BE THE CREATOR!
Unaposema kuwa tupange tofali bilioni moja kisha tufanye mripuko, kuna uwezekano wa kupata tofali zilizojipanga, bado hatujasolve hii ishu, kwa sababa itakuwa UMEzipanga kabla na HAZIJAJIPANGA WENYEWE.
Tunarudi pale pale.
Scientist wanatupa njia za kuelewa how things came to be.
Huo huo mfano wako wa matofali bilioni unatosha kukupa picha kuwa zinatakiwa zipangwe na sio zijipange.
Najaribu kukupa mifano ilokuwepo very simple ili kila mtu aifahamu kwa uwepesi. Huwezi kumuondo the creator of the universe kwenye hili.
Ni yeye ndie aliweka elements zilizofanya big bang. Hazikutokea from nowhere tu.
Leta yako uliyopangiliaumeshindwa kupangilia hoja.
Swali lako ni simple sana kujibu. Mungu hana chanzo, kwa sababu yeye sio KIUMBE! 🙂chanzo cha mungu ninini?
usiseme hana chanzo, mana umeuliza vyanzo vya vitu vingine nitashangaa yeye kukosa chanzo.
Ndio mana aliparalize mpaka umauti ukamkuta...mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
Hahahaha!!Ndio mana aliparalize mpaka umauti ukamkuta...
kwani big bang ni kiumbe,..? asked out of curiousitySwali lako ni simple sana kujibu. Mungu hana chanzo, kwa sababu yeye sio KIUMBE! 🙂
Sasa nijibu chanzo cha big bang source yake basi na wewe!
...too lowNdio mana aliparalize mpaka umauti ukamkuta...
Here you need have extra thinking then you can say that ..... But don't worry time is going very fast and you will get the answers......too low
mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?