Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

Hapa ndio uwezo wetu wanaadamu huishia hakuna anayeweza kujibu hili!
impongo ilo swali ni rahisi sana alishajibu Einstein E=mc²

Energy and matter are the same thing in different forms energy can be converter to matter and vice versa mbona tunajua ilo natuna apply kuunda mabomu ya nuclear huko USA,Russia na wakubwa wengine ilo sio swali gumu kabisa ni 1+1=?
 
Naisubiri hii theory of everthing[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..

Hivi maada(matter) ilitokana na nini!?
 
Unajua kwanini ndio mfano unaopenda kutumiwa na wahubiri? Kaa kitako na utafakari, engeneering ya Ulimwengu ulivo mpaka duniani kukawa na LIFE, jitizame na wewe, unakula kupitia mdomo, chakula kikifika tumboni kinashughulikiwa, mwili wako una system kamili ya kuchuja sumu, na kubakisha kinachohitajika na mwili, halafu uje unambie hii ni bahati? Tunaambiwa binaadamu tulikuwa kima mwanzo, tume evolve mpaka kuwa hivi tulivo, hivi hatuna kima mpaka leo wameshindwa kuevolve wakati wanaishi na binaadam?

Kina Hawkin wanasema ulimwengu haukuhitaji creator, nataka waniambie hizo elements ziluzosababisha big bang zilitokea wapi? Ni kitu gani kiliziproduce?

Tumeona mripuko wa nuclear bomb matokeo yake, je kuna nyumba ilijijenga kupitia huo mripuko? Tuache nyumba, japo tofali kozi mbili tu zilijapanga?

Tunauliza hivi kwa sababu the universe is so perfect and so do earth to sustain life, just a big bang is not enough to explain such perfect engineering and the arrangements of celestial bodies.

Kwanini hakuna life on the moon wakati on earth ipo? Au mfano Sayari ya Mars isogee karibu na dunia nini kitatokea? No, tufikirie bila kuwepo mwezi hapa duniani vipi?

Ukiutizama ulimwengu kwa umakini, basi utajiuliza masuali how come ivu vitu came to being? The system is so perfect. Wanasayansi wanaipuka suala la Mungu, na kusema ni law of nature, WHO MADE THAT LAW?

The law existed it was never created according to science
Tatizo una think irrationally sana ndomana huelewi hutaki kuimpart new knowledge

Nimeshajibu baadhi ya maswali yako mkuu
Nitarudia
1.hakukuwa na element yoyote iliohitajika Ku create universe hujaelewa big bang
It was a spontaneous burst of energy
Dunia sio. Perfect kama unavosema kuanzia shape tuna approximate ni ellipse but still ina sehemu rough nyingi tuu nahii shape inakuwa caused na gravity
Ndomana across space vitu vilivokuwa in stable orbits vyote ni sphere

Kuhusu evolution its complicated kuanza kukuelezea but

Ungeanza kwa kusoma vitabu hivi
1.a brief history in time by Hawkins
2.grand design by Hawkins
3.black holes and baby universes by Hawkins
4.the universe in a but shell by hawkins
5.the mind of god by davies
 
Naisubiri hii theory of everthing[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..

Hivi maada(matter) ilitokana na nini!?
Soon wanaweza kufika or may be not
Watu wasio na uelewa na science Mara nyingi hupenda kuuliza the origin of matter ,huwa hawajiuli nuclear bomb zinatengenezwa kwa principle zipi kwa maana ukijua mechanism ya nuclear fission and fusion huwezi uliza matter ilitokea wapi
 
Wakuu kama mkiweza kusoma kwanza kitabu cha Hawking: A brief History of Time, kuna majibu mengi ya issues watu wanayoongelea. Taabu naona watu wengi do not take time to read!

It is a real piece ya baadhi ya majibu! Kipo ktk uzi huu tayari!
Umeongea point. Mkuu wengi wanauliza maswali marahisi ambayo ukisoma hicho kitabu yanaelewka kabisa
 
kwanza ashakufa hyo steve mwenyewe ........afu mungu akampa ulemavu alijua akiwa timamu kabisa ingekua shida....
Umeona fikra zako ulemavu uliletwa na virus infection sio Mungu,ili iweje sasa?? Yani Mungu amuogope Hawkins ??
Hawkins mwenyewe anashuhudia ulemavu umemsaidia kupata mda mwingi wa kufikiri kuliko kuliko kufanya mambo mengine na umefanya awe na uelewa mkubwa wa ulimwengu
Tafuta documentary you tube inaitwa "the grand design'
 
mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.

Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
Nikuulize, what's the fate of religions hata sasa? 1988 mpaka leo ni more aka mingapi, je kuna effect yoyote? Halafu be kind enough kusa hizo ni theories tu, lakini hazijibu swali, ni nani aliyeweka hizo laws of physics kuwa precise kiasi hicho? What happened before the big bang? Sayansi nayo ni kama imani tu, nothing fancy
 
He suggest... (kumbe ni kwa mtazamo wake) that is hypothesis. Hutakiwi kuiamini.

It was just lows of nature (still he suggeste)

What is that lows of nature you think? According to his suggestion?
 
Kwanza mada is not yet Clear

I think you should sit and rewrite ur thread again in chronological order then come again

Coz kufa kwake kuna affect vp religion if ndyo alikuwa anaipinga

With all due ur respect ......... Mada nzito kama hizi zina wenyewe
 
The law existed it was never created according to science
Tatizo una think irrationally sana ndomana huelewi hutaki kuimpart new knowledge

Nimeshajibu baadhi ya maswali yako mkuu
Nitarudia
1.hakukuwa na element yoyote iliohitajika Ku create universe hujaelewa big bang
It was a spontaneous burst of energy
Dunia sio. Perfect kama unavosema kuanzia shape tuna approximate ni ellipse but still ina sehemu rough nyingi tuu nahii shape inakuwa caused na gravity
Ndomana across space vitu vilivokuwa in stable orbits vyote ni sphere

Kuhusu evolution its complicated kuanza kukuelezea but

Ungeanza kwa kusoma vitabu hivi
1.a brief history in time by Hawkins
2.grand design by Hawkins
3.black holes and baby universes by Hawkins
4.the universe in a but shell by hawkins
5.the mind of god by davies
Since when the law existed? What is nature?

Maelezo mengi suala la sijui "hutaki kuimpart knowledge". Huo mripuko ulikosa element si ndio? Sasa moto uwaka bila ya kupatikana kinachoshika moto? Hebj nifundishe huo mripuko kama haukuwa na element, niambie umetokea vipi? (sizungumzii creator, nataka kujua hio big bang imefanyika vipi kama hakukuwa na elements wala choxhote?

Halafu nlivokwambia dunia ipo perfect wewe mwanasayansi mzima ulifikiri naongelea shape? Nazungumzia engineering ya celestial bodies, na izo events zote zinazotokea kwenye universe.

Naomba ukija uje na experiment ilofanywa na wanasayansi au hata wewe wenye kuonesha kuwa tofali zimejipanga walau kozi mbili kutokana na mripuko
 
Watakuja na kila aina ya theory lakini mwisho wataishia kusema Mungu yupo, akili yetu ni limited, na tunachofundishwa na hawa wataalam ni kweli ila ni kwa kiwango kidogo sana.
Hebu fikiria, asilimia 96 ya universe haijulikani ni kitu gani, wameishia kuita black energy na black matter, imagne kwanini wanashindwa hata kuifikia nyota iliyo karibu sana na jua letu ambayo iko 4ly pekee?
Imagine kuwa, vitu vyote vionekanavgo yaani nyota, sayari, vimondo nk ni 4% tu! Hivyo visivyoonekana Mungu pekee anavojua. Sikio haliwezi kuzidi kichwa
 
Nikuulize, what's the fate of religions hata sasa? 1988 mpaka leo ni more aka mingapi, je kuna effect yoyote? Halafu be kind enough kusa hizo ni theories tu, lakini hazijibu swali, ni nani aliyeweka hizo laws of physics kuwa precise kiasi hicho? What happened before the big bang? Sayansi nayo ni kama imani tu, nothing fancy
Effect IPO kubwa sana mkuu nenda Europe and American science ilipolala uone mkuu stats inaonyesha idadi ya atheists inaongezeka kwa kasi ya ajabu sana
Tena ukienda vyuo vyenye umahiri haswaa kama Harvard, MIT,California ,Cambridge, Oxford na wengine wanafunzi atheists wameongezeka kwa kiwango kikubwa sana

Kuhusu origin ya laws of nature pia atheists atakuuliza to a proof ya origin ya unachokiamini.
But tuachane na hayo kama umesoma big bang vizuri na umeelewa usingeuliza before it ? Course simply there was nothing before the big bang not even time itself
.time started after the big bang
 
He suggest... (kumbe ni kwa mtazamo wake) that is hypothesis. Hutakiwi kuiamini.

It was just lows of nature (still he suggeste)

What is that lows of nature you think? According to his suggestion?
Sorry ueleweki panga arguments zako vyema sijakuelewa mkuu
 
Kwanza mada is not yet Clear

I think you should sit and rewrite ur thread again in chronological order then come again

Coz kufa kwake kuna affect vp religion if ndyo alikuwa anaipinga

With all due ur respect ......... Mada nzito kama hizi zina wenyewe
Umeandika vyema mwishoni mada nzito kama hizi zina wenyewe
Unfortunately wewe sisi mmoja wapo maana hata thread hujaielewa thread iliandika one day before Hawkins death wewe unaleta habari za vifo sasa sijui hujasoma umerukia tu au umesoma lakini umetoka kapa

Hujaeleweka mkuu
 
Since when the law existed? What is nature?

Maelezo mengi suala la sijui "hutaki kuimpart knowledge". Huo mripuko ulikosa element si ndio? Sasa moto uwaka bila ya kupatikana kinachoshika moto? Hebj nifundishe huo mripuko kama haukuwa na element, niambie umetokea vipi? (sizungumzii creator, nataka kujua hio big bang imefanyika vipi kama hakukuwa na elements wala choxhote?

Halafu nlivokwambia dunia ipo perfect wewe mwanasayansi mzima ulifikiri naongelea shape? Nazungumzia engineering ya celestial bodies, na izo events zote zinazotokea kwenye universe.

Naomba ukija uje na experiment ilofanywa na wanasayansi au hata wewe wenye kuonesha kuwa tofali zimejipanga walau kozi mbili kutokana na mripuko
Vigumu sana Ku argue nawewe aisee umesema dunia IPO perfect nimekwambia not perfect at all and that is a known fact

the law of nature always existed
 
Since when the law existed? What is nature?

Maelezo mengi suala la sijui "hutaki kuimpart knowledge". Huo mripuko ulikosa element si ndio? Sasa moto uwaka bila ya kupatikana kinachoshika moto? Hebj nifundishe huo mripuko kama haukuwa na element, niambie umetokea vipi? (sizungumzii creator, nataka kujua hio big bang imefanyika vipi kama hakukuwa na elements wala choxhote?

Halafu nlivokwambia dunia ipo perfect wewe mwanasayansi mzima ulifikiri naongelea shape? Nazungumzia engineering ya celestial bodies, na izo events zote zinazotokea kwenye universe.

Naomba ukija uje na experiment ilofanywa na wanasayansi au hata wewe wenye kuonesha kuwa tofali zimejipanga walau kozi mbili kutokana na mripuko
Unaleta utoto kuanza kuleta mifano ya matofali but ngoja nikujibu tu
Unadhani tukichukua tofali billion 1 tukaanza kuzirusha kutoka hewani hakuna probability ya kwa bahati tofali kadhaa zikawa zimejipanga

Galaxies zipo billions nyota zipo trillions na sio zote zina sustain maisha hadi sasa kwa uhakika ni moja tu huoni even spontaneous action can bring that kind of result
 
Back
Top Bottom