Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

Hao wanasayansi nataka wanionesha nyumba ilojitengeza kutokana na mripuko through laws of nature
 
Mabishano mengine ni ufala to.. Kama unabisha subiri sokwe wa gombe nasikia wanabadilika kuwa watu.
sijakuelewa mkuu unachongea kabisa science haijawahi sema sokwe alibadilika akawa mtu but najua kuna theory inayo suggest we had the same ancestors so pengine ni uelewa wako tu au wa aliekufundisha mkuu
 
nashukuru mkuu nilipanga kukiupload umeniwahi
pia nakushauri tafuta another work of hawkins "the grand design " **** madini umo sio mchezo the guy was a living genius sadly nimesikia leo ametutoka ni pengo kubwa mno katika jumuiya ya wanasayansi
Hata mimi nimesikia kupitia redio idhaa ya kiswahili Dw kutoka bon(mzee stephen kafa peacefully),

Stephen hawking...thank you for being an inspiration to everyone.

Hicho kingine kitabu kipandishe hapa kwa Uzi kama inawezekana.
 
Hao wanasayansi nataka wanionesha nyumba ilojitengeza kutokana na mripuko through laws of nature
hahaha but sidhani kama hio ni scientific argument naonaga huo mfano unatolewa na wahubiri but actually according to science the earth creation was a probability kuna billions and billions of stars in our galaxy lakini out billions only one is known to sustain life now that is a probability...out of billions of galaxy there was a chance one could happen to sustain life naturally or may be more than one we never know
 
Hata mimi nimesikia kupitia redio idhaa ya kiswahili Dw kutoka bon(mzee stephen kafa peacefully),

Hicho kingine kitabu kipandishe hapa kwa Uzi kama inawezekana.
ngoja nitafute softy copy
 
Dunia ina umri mkubwa sana,.ukifanya dating inakaribia 4.5bil yrs,..kila kilichomo dunian hakiko random,..bnadam ni moja ya viumbe vipya kabsa dunian..yaan ukifananisha na unr wa dunia.hata mfumo wa kiumbe hai na ambacho si kiumbe hai,vyote vnafata system ile ile,.na mfumo ni ule ule,..

Mfano,matter,..ina smal particles ambazo ni atoms,ndan ya atom kuna nucleus na hyo ndio centre,na particles zingne zote znaizunguka hyo,

Hii ni vile vile kwa mwil wa kiumbe,kuna cell,kuna centre ya cell ambayo ni DNA or RNA,.wateva,..vivyo hvyo kwa universe lazma kuna nyota ambayo ndo centre halaf inazungukwa na sayar na partcles zingne,.soo ni mfumo ule ule ambao uko systematic,..maana yangu ni kwamba hakuna kitu ambacho kiko random hapa ulimwengun,..hata mawazo yetu na mipango haiko random

So mtazamo wangu bnafsi ni kwamba chochote chenye mfumo rasmi/system lazma kina control,n who controls it hlo ndo lazma bnadam ajiulize,so anapokosa jib ndio anasema sasa kua ther is a might power ambayo imefanya yote haya..na hyo power ndo tukaiita Mungu,wengne wana majina yao,buddha etc.

Na dunia si sayar pekee yenye viumbe hai..kuna nyota kama jua zilizozungukwa na sayar zaid ya trilion1,unataka nambia only dunia tuu ndo ina viumbe?so This might creator aliefanya haya yote yupo,ila ndo hvo kila mtu ana mtasfir anavyojua yeye,..
 
okay unachoongea ni more than a theory its conspiracy hadi leo hamna proof ya kuwepo viumbe hai anywhere other the earth ni jus prediction za wasomi mbalimbali tyu but hakuna fact yoyote but sikatai uwepo wao aidha sikubali uwepo wao
 
Hata mimi nimesikia kupitia redio idhaa ya kiswahili Dw kutoka bon(mzee stephen kafa peacefully),

Stephen hawking...thank you for being an inspiration to everyone.

Hicho kingine kitabu kipandishe hapa kwa Uzi kama inawezekana.[/QUOTE
mkuu kakidownload katika website re inaitwa research gate pia utapata na kazi yake nyingine inaitwa black holes and baby universe na the universe ina nut shell usiache kuvisoma hivo

ingia website ya research gate utapata kazi za einstein kama a brief history in timr,grand design,black holes and baby universe and the universe in a nut shell
 
okay unachoongea ni more than a theory its conspiracy hadi leo hamna proof ya kuwepo viumbe hai anywhere other the earth ni jus prediction za wasomi mbalimbali tyu but hakuna fact yoyote but sikatai uwepo wao aidha sikubali uwepo wao
Bro mambo meng dunian hapa hayako proven...ila we rely on logical ideas..hvyo unavoviona viko proven na science etc ni vichache sana..na hii science unayoiona iko kimafungu mafungu,na hata elim yake inatolewa kimafungu mafungu ndomana had leo watu wanalalamika mbona mwafrica hafany innovations za kutisha,..maana yangu ni kwamba hapa hapa dunian kuna science na wanascience wana majib ya mambo haya,hata hayo ya viumbe wengne ,ila ts a minority thing,yaan ni wachache tu wanaotakiwa kujua hayo.maana wakijua wote,who will control who?..ndomana US..wana vitengo nyet sana vya mambo mazito na ni siri,...

Anyways utasema hata haya ni conspiracy ila huu nso ukwel,ukisema utafte had proof huwez ifaid dunia kijana...do u know kua hata dawa ya aids ipo?.i was somwea in france n i was told this,n showed some features nkaamin,.
 
Nilikipata muda kupitia search engine Google(niliandika The grand design pdf by hawking )

Naangalia njisi ya kukiweka hapa,Ili kila mwenye nia ya kukisoma aweze kukipata kirahisi.
 
Dunia ina umri mkubwa sana,.ukifanya dating inakaribia 4.5bil yrs,..kila kilichomo dunian hakiko random,..bnadam ni moja ya viumbe vipya kabsa dunian..yaan ukifananisha na unr wa dunia.hata mfumo wa kiumbe hai na ambacho si kiumbe hai,vyote vnafata system ile ile,.na mfumo ni ule ule,..

Mfano,matter,..ina smal particles ambazo ni atoms,ndan ya atom kuna nucleus na hyo ndio centre,na particles zingne zote znaizunguka hyo,

Hii ni vile vile kwa mwil wa kiumbe,kuna cell,kuna centre ya cell ambayo ni DNA or RNA,.wateva,..vivyo hvyo kwa universe lazma kuna nyota ambayo ndo centre halaf inazungukwa na sayar na partcles zingne,.soo ni mfumo ule ule ambao uko systematic,..maana yangu ni kwamba hakuna kitu ambacho kiko random hapa ulimwengun,..hata mawazo yetu na mipango haiko random

So mtazamo wangu bnafsi ni kwamba chochote chenye mfumo rasmi/system lazma kina control,n who controls it hlo ndo lazma bnadam ajiulize,so anapokosa jib ndio anasema sasa kua ther is a might power ambayo imefanya yote haya..na hyo power ndo tukaiita Mungu,wengne wana majina yao,buddha etc.

Na dunia si sayar pekee yenye viumbe hai..kuna nyota kama jua zilizozungukwa na sayar zaid ya trilion1,unataka nambia only dunia tuu ndo ina viumbe?so This might creator aliefanya haya yote yupo,ila ndo hvo kila mtu ana mtasfir anavyojua yeye,..
Amefariki leo mkuu
 
Nilikipata muda kupitia search engine Google(niliandika The grand design pdf by hawking )

Naangalia njisi ya kukiweka hapa,Ili kila mwenye nia ya kukisoma aweze kukipata kirahisi.
poa mkuu pia soma black holes and baby universe and the universe ina nut nutshell
 
Bro mambo meng dunian hapa hayako proven...ila we rely on logical ideas..hvyo unavoviona viko proven na science etc ni vichache sana..na hii science unayoiona iko kimafungu mafungu,na hata elim yake inatolewa kimafungu mafungu ndomana had leo watu wanalalamika mbona mwafrica hafany innovations za kutisha,..maana yangu ni kwamba hapa hapa dunian kuna science na wanascience wana majib ya mambo haya,hata hayo ya viumbe wengne ,ila ts a minority thing,yaan ni wachache tu wanaotakiwa kujua hayo.maana wakijua wote,who will control who?..ndomana US..wana vitengo nyet sana vya mambo mazito na ni siri,...

Anyways utasema hata haya ni conspiracy ila huu nso ukwel,ukisema utafte had proof huwez ifaid dunia kijana...do u know kua hata dawa ya aids ipo?.i was somwea in france n i was told this,n showed some features nkaamin,.
kitu ambacho hadi wewe unakifahamu huwezi ita siri kaka
kuhusu aids thats another conspiracy
 
Back
Top Bottom