Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomb a unithibitishie uwepo wake.Mungu yupo daima
Hope you understand curiosity comes by readings neither its nothing!!usiwe na hofu namimi im a believer but curiosity is part of daily life so sijilimit kufikiri
Howking kapalalaizi kwa sasa.mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
Mpaka sasa speed ya maisha tayari inatoa changamoto kubwa kwa dini.mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
amna dini bila mungu au miunguWhich religion?
Ni heri ungenambia kwa Mungu ila sio dini ,Dini zipo nyingi sana itakusogeza kwenye Dini IPI
Hapa ndio uwezo wetu wanaadamu huishia hakuna anayeweza kujibu hili!Haya umesema kama kuna big bang hebu niambye the origin of matter,where does it come from?
Unajua kwanini ndio mfano unaopenda kutumiwa na wahubiri? Kaa kitako na utafakari, engeneering ya Ulimwengu ulivo mpaka duniani kukawa na LIFE, jitizame na wewe, unakula kupitia mdomo, chakula kikifika tumboni kinashughulikiwa, mwili wako una system kamili ya kuchuja sumu, na kubakisha kinachohitajika na mwili, halafu uje unambie hii ni bahati? Tunaambiwa binaadamu tulikuwa kima mwanzo, tume evolve mpaka kuwa hivi tulivo, hivi hatuna kima mpaka leo wameshindwa kuevolve wakati wanaishi na binaadam?hahaha but sidhani kama hio ni scientific argument naonaga huo mfano unatolewa na wahubiri but actually according to science the earth creation was a probability kuna billions and billions of stars in our galaxy lakini out billions only one is known to sustain life now that is a probability...out of billions of galaxy there was a chance one could happen to sustain life naturally or may be more than one we never know
Hiyo theory of everything ikija, ndipo utakaposhangazwa na ukweli utakaokuwemo.mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
kuna mada inazungumzia kuhusu uwepo wake ingekuwa ni vyema zaidi ukaipitie, inaitwa Je Mungu yupo au hayupo? ipo jukwaa la dini.Naomb a unithibitishie uwepo wake.
kwanza ashakufa hyo steve mwenyewe ........afu mungu akampa ulemavu alijua akiwa timamu kabisa ingekua shida....mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
According to science before the bigbang there was no time. So it is invalid to discus what was before it coz it means there was nothingHowking kapalalaizi kwa sasa.
Low of nature lazima ziwe na misingi yake yaani primes ...nature prime..
Questions who sets those primes?
Haukings angejibu "was optimus prime"
Mimi (IQ 380) ningejibu "the creator"
Wanasayansi wanajigonga gonga sana.