Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
impongo ilo swali ni rahisi sana alishajibu Einstein E=mc²Hapa ndio uwezo wetu wanaadamu huishia hakuna anayeweza kujibu hili!
Unajua kwanini ndio mfano unaopenda kutumiwa na wahubiri? Kaa kitako na utafakari, engeneering ya Ulimwengu ulivo mpaka duniani kukawa na LIFE, jitizame na wewe, unakula kupitia mdomo, chakula kikifika tumboni kinashughulikiwa, mwili wako una system kamili ya kuchuja sumu, na kubakisha kinachohitajika na mwili, halafu uje unambie hii ni bahati? Tunaambiwa binaadamu tulikuwa kima mwanzo, tume evolve mpaka kuwa hivi tulivo, hivi hatuna kima mpaka leo wameshindwa kuevolve wakati wanaishi na binaadam?
Kina Hawkin wanasema ulimwengu haukuhitaji creator, nataka waniambie hizo elements ziluzosababisha big bang zilitokea wapi? Ni kitu gani kiliziproduce?
Tumeona mripuko wa nuclear bomb matokeo yake, je kuna nyumba ilijijenga kupitia huo mripuko? Tuache nyumba, japo tofali kozi mbili tu zilijapanga?
Tunauliza hivi kwa sababu the universe is so perfect and so do earth to sustain life, just a big bang is not enough to explain such perfect engineering and the arrangements of celestial bodies.
Kwanini hakuna life on the moon wakati on earth ipo? Au mfano Sayari ya Mars isogee karibu na dunia nini kitatokea? No, tufikirie bila kuwepo mwezi hapa duniani vipi?
Ukiutizama ulimwengu kwa umakini, basi utajiuliza masuali how come ivu vitu came to being? The system is so perfect. Wanasayansi wanaipuka suala la Mungu, na kusema ni law of nature, WHO MADE THAT LAW?
Soon wanaweza kufika or may be notNaisubiri hii theory of everthing[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
Hivi maada(matter) ilitokana na nini!?
Umeongea point. Mkuu wengi wanauliza maswali marahisi ambayo ukisoma hicho kitabu yanaelewka kabisaWakuu kama mkiweza kusoma kwanza kitabu cha Hawking: A brief History of Time, kuna majibu mengi ya issues watu wanayoongelea. Taabu naona watu wengi do not take time to read!
It is a real piece ya baadhi ya majibu! Kipo ktk uzi huu tayari!
Umeona fikra zako ulemavu uliletwa na virus infection sio Mungu,ili iweje sasa?? Yani Mungu amuogope Hawkins ??kwanza ashakufa hyo steve mwenyewe ........afu mungu akampa ulemavu alijua akiwa timamu kabisa ingekua shida....
Nikuulize, what's the fate of religions hata sasa? 1988 mpaka leo ni more aka mingapi, je kuna effect yoyote? Halafu be kind enough kusa hizo ni theories tu, lakini hazijibu swali, ni nani aliyeweka hizo laws of physics kuwa precise kiasi hicho? What happened before the big bang? Sayansi nayo ni kama imani tu, nothing fancymnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
Kwanza mada is not yet Clearmnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
Umekosea ililetwa toka tarehe 11 marchMada hizi wenye akili ndogo huwa hatuonekani..! Thread imeletwa toka jana inaanza kuchangiwa leo..! [emoji39][emoji39][emoji39]
Since when the law existed? What is nature?The law existed it was never created according to science
Tatizo una think irrationally sana ndomana huelewi hutaki kuimpart new knowledge
Nimeshajibu baadhi ya maswali yako mkuu
Nitarudia
1.hakukuwa na element yoyote iliohitajika Ku create universe hujaelewa big bang
It was a spontaneous burst of energy
Dunia sio. Perfect kama unavosema kuanzia shape tuna approximate ni ellipse but still ina sehemu rough nyingi tuu nahii shape inakuwa caused na gravity
Ndomana across space vitu vilivokuwa in stable orbits vyote ni sphere
Kuhusu evolution its complicated kuanza kukuelezea but
Ungeanza kwa kusoma vitabu hivi
1.a brief history in time by Hawkins
2.grand design by Hawkins
3.black holes and baby universes by Hawkins
4.the universe in a but shell by hawkins
5.the mind of god by davies
Effect IPO kubwa sana mkuu nenda Europe and American science ilipolala uone mkuu stats inaonyesha idadi ya atheists inaongezeka kwa kasi ya ajabu sanaNikuulize, what's the fate of religions hata sasa? 1988 mpaka leo ni more aka mingapi, je kuna effect yoyote? Halafu be kind enough kusa hizo ni theories tu, lakini hazijibu swali, ni nani aliyeweka hizo laws of physics kuwa precise kiasi hicho? What happened before the big bang? Sayansi nayo ni kama imani tu, nothing fancy
Sorry ueleweki panga arguments zako vyema sijakuelewa mkuuHe suggest... (kumbe ni kwa mtazamo wake) that is hypothesis. Hutakiwi kuiamini.
It was just lows of nature (still he suggeste)
What is that lows of nature you think? According to his suggestion?
Umeandika vyema mwishoni mada nzito kama hizi zina wenyeweKwanza mada is not yet Clear
I think you should sit and rewrite ur thread again in chronological order then come again
Coz kufa kwake kuna affect vp religion if ndyo alikuwa anaipinga
With all due ur respect ......... Mada nzito kama hizi zina wenyewe
Vigumu sana Ku argue nawewe aisee umesema dunia IPO perfect nimekwambia not perfect at all and that is a known factSince when the law existed? What is nature?
Maelezo mengi suala la sijui "hutaki kuimpart knowledge". Huo mripuko ulikosa element si ndio? Sasa moto uwaka bila ya kupatikana kinachoshika moto? Hebj nifundishe huo mripuko kama haukuwa na element, niambie umetokea vipi? (sizungumzii creator, nataka kujua hio big bang imefanyika vipi kama hakukuwa na elements wala choxhote?
Halafu nlivokwambia dunia ipo perfect wewe mwanasayansi mzima ulifikiri naongelea shape? Nazungumzia engineering ya celestial bodies, na izo events zote zinazotokea kwenye universe.
Naomba ukija uje na experiment ilofanywa na wanasayansi au hata wewe wenye kuonesha kuwa tofali zimejipanga walau kozi mbili kutokana na mripuko
Unaleta utoto kuanza kuleta mifano ya matofali but ngoja nikujibu tuSince when the law existed? What is nature?
Maelezo mengi suala la sijui "hutaki kuimpart knowledge". Huo mripuko ulikosa element si ndio? Sasa moto uwaka bila ya kupatikana kinachoshika moto? Hebj nifundishe huo mripuko kama haukuwa na element, niambie umetokea vipi? (sizungumzii creator, nataka kujua hio big bang imefanyika vipi kama hakukuwa na elements wala choxhote?
Halafu nlivokwambia dunia ipo perfect wewe mwanasayansi mzima ulifikiri naongelea shape? Nazungumzia engineering ya celestial bodies, na izo events zote zinazotokea kwenye universe.
Naomba ukija uje na experiment ilofanywa na wanasayansi au hata wewe wenye kuonesha kuwa tofali zimejipanga walau kozi mbili kutokana na mripuko