Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Makafiri wanachotaka ni kuona Zanzibar inakuwa kama Vatican city,wanachokitafuta Zanzibar ni Nini?kama wanaona wanakosa uhuru wamelazimishwa kuishi huko??

Waende kwao peramiho
Kwani zanzia ni ya akina nani hasa ???
 
Uwezi kulazimisha Imani,uwezi kumlazimisha mtu atii unachokiamini.Zanzibar Kuna kosa kubwa wanafanya.Unamlazimisha mtu afunge Kwa kutokula huku moyoni ananungunika Kwa asilimia 80,mtu huyu anakuwa hajafunga hata kidogo Bali unamzuia kula tu.
Ukitaka kuamini kuwa Wazanzibar wengi hawana muda wa kufunga,ondoa Sheria zenu uone ni wangapi watafunga na wangapi watakula zaidi.Watatembea na vyakula mtaani Kwa kufanya sherehe za kuondoa zuio hilo.
Imani ni mtu mwenyewe Wala sio nguvu ya Sheria.Wengi wanafunga Kwa sababu Sheria inawabana.
Acheni chuki na uislamu! hiyo ndo suluhisho!

Uislamu umeruhusu kula mchana wa ramadhani kwa wagonjwa, wasafiri, wanawake walio kwenye period na watoto. Jambo la kujiuliza kwani katika jamii ya kizanzibari hakuna watu hao? mbona hamuwaoni wakila hadharani?

Wazungu wana usemi kwamba "when in Rome do as the Romans do" sasa na nyie mkija Zanzibar fanyeni kama wazanzibari wanavyofanya. Huwezi kwenda nyumbani kwa mtu halafu ukataka kulazimisha wafate utaratibu wa maisha yako!
 
yaani katiba ya zanzibar inatoa uhuru wa kuabudu, mimi mfano sio muislam, nina uhuru wa kutokuwa muislam, sifungi ramadhani na siipendi, na nina uhuru wa kutoipenda hiyo ramadhani, dini yangu inataka nile mchana, wewe unalazimisha nisile wakati uliyefunga ni wewe, afu leo nikitaka haki yangu unasema nina chuki na uislam? akili kweli hiyo?
 
Hujakatazwa kula
 
Huko tuendako , Viongozi wetu wasipo zuia hili na kuchukua hatua kali sana dhidi ya hawa ndugu. Zanzibar itatangazwa kuwa siyo sehemu salama na wamarekani kama kawaida watachukua utaratibu wao wa kupambana na kile wanachokiita magaidi wa IS.

Ngoja tuone mwisho wao
 
yaani katiba ya zanzibar inatoa uhuru wa kuabudu, mimi mfano sio muislam, nina uhuru wa kutokuwa muislam, sifungi ramadhani na siipendi, na nina uhuru wa kutoipenda hiyo ramadhani, dini yangu inataka nile mchana, wewe unalazimisha nisile wakati uliyefunga ni wewe, afu leo nikitaka haki yangu unasema nina chuki na uislam? akili kweli hiyo?
Ukiambiwa usile mchana hadharani unagoma,papa akikuambia ufunge ndoa uolewe unashangilia,kafiri nuksi sana
 
Hao Wazanzibari ni Waafrika, ni Wanyamwezi, Wasukuma n.k. ambao babu zao walichukuliwa utumwani na waarabu.

Lakini ni wazanzibari. asili zao hazina nafasi kwenye utaifa.
 
Mizizi ya dini ni ujinga,kwaio ukiingia na kuikumbatia mazimamazima unageuka kuwa mpumbavu na kufanya maamuzi ya kipumbavu.
 
Mfano nachoma zangu nyama napika pilau. Je hadharani ambayo sitakiwi kufanyia haya ni wapi napikia chumbani?
Hadharani ni mahali gani? Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga unapikia koridoni hapo ni hadharani au ni wap
 
Ila Waislamu walafi aiseee, wamefunga huku wanaona wivu wakiona Wakristo wakila. Roho na miili yao vyote vinatamani kula. Mmelazimishwa kufunga?
 
Faida za Muungano ni kubwa kuliko hasara. Asiejua maana haambiwi maana!

Baki na akili yako maana watu kutokujua faida za muungano ni faida kwa taifa!!
images (9) - 2022-05-11T165831.838.jpeg

🗑🚮
 
Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Haya sasa, muda wa mtu kukataa maandishi yake
 
Sijui hata Allah mwenyewe anapenda Watu walazimishwe kukaa na njaa.
 
yaani katiba ya zanzibar inatoa uhuru wa kuabudu, mimi mfano sio muislam, nina uhuru wa kutokuwa muislam, sifungi ramadhani na siipendi, na nina uhuru wa kutoipenda hiyo ramadhani, dini yangu inataka nile mchana, wewe unalazimisha nisile wakati uliyefunga ni wewe, afu leo nikitaka haki yangu unasema nina chuki na uislam? akili kweli hiyo?
Unachopaswa kuelewa ni kwamba ni wajibu wako kuheshimu mila na desturi za watu hasa unapowafuata kwao, au hujui kama 99% ya wazanzibari ni waislamu? basi elewa kuwa kuheshimu mwezi wa ramadhani kwa kutokula hadharani ni moja katika mila za kiislamu.

UK ina 67.38% wakristo, 6.3% waislamu, 3.01% other religions and 23.3% Atheists. Wangeanza hawa kwanza kutambua na sikukuu za dini nyengine kuwa ni Holiday, mbona holiday zote za kidini ni za
kikristo peke yake?

Na hii haiishii Zanzibar peke yake, ukienda India ukakuta watu wanaabudu Ng'ombe usijitie uchizi wa kutaka kuchinja ng'ombe hadharani ili kuwaonyesha watu utofauti wako, utakuwa ni ukosefu wa akili na unaweza kuingia matatizoni.
 
Back
Top Bottom