Kwani zanzia ni ya akina nani hasa ???Makafiri wanachotaka ni kuona Zanzibar inakuwa kama Vatican city,wanachokitafuta Zanzibar ni Nini?kama wanaona wanakosa uhuru wamelazimishwa kuishi huko??
Waende kwao peramiho
Acheni chuki na uislamu! hiyo ndo suluhisho!Uwezi kulazimisha Imani,uwezi kumlazimisha mtu atii unachokiamini.Zanzibar Kuna kosa kubwa wanafanya.Unamlazimisha mtu afunge Kwa kutokula huku moyoni ananungunika Kwa asilimia 80,mtu huyu anakuwa hajafunga hata kidogo Bali unamzuia kula tu.
Ukitaka kuamini kuwa Wazanzibar wengi hawana muda wa kufunga,ondoa Sheria zenu uone ni wangapi watafunga na wangapi watakula zaidi.Watatembea na vyakula mtaani Kwa kufanya sherehe za kuondoa zuio hilo.
Imani ni mtu mwenyewe Wala sio nguvu ya Sheria.Wengi wanafunga Kwa sababu Sheria inawabana.
yaani katiba ya zanzibar inatoa uhuru wa kuabudu, mimi mfano sio muislam, nina uhuru wa kutokuwa muislam, sifungi ramadhani na siipendi, na nina uhuru wa kutoipenda hiyo ramadhani, dini yangu inataka nile mchana, wewe unalazimisha nisile wakati uliyefunga ni wewe, afu leo nikitaka haki yangu unasema nina chuki na uislam? akili kweli hiyo?Acheni chuki na uislamu! hiyo ndo suluhisho!
Uislamu umeruhusu kula mchana wa ramadhani kwa wagonjwa, wasafiri, wanawake walio kwenye period na watoto. Jambo la kujiuliza kwani katika jamii ya kizanzibari hakuna watu hao? mbona hamuwaoni wakila hadharani?
Wazungu wana usemi kwamba "when in Rome do as the Romans do" sasa na nyie mkija Zanzibar fanyeni kama wazanzibari wanavyofanya. Huwezi kwenda nyumbani kwa mtu halafu ukataka kulazimisha wafate utaratibu wa maisha yako!
Kama shida baki huko ulipo kwenye rahaUnguja na pemba ni shida
Hujakatazwa kulayaani katiba ya zanzibar inatoa uhuru wa kuabudu, mimi mfano sio muislam, nina uhuru wa kutokuwa muislam, sifungi ramadhani na siipendi, na nina uhuru wa kutoipenda hiyo ramadhani, dini yangu inataka nile mchana, wewe unalazimisha nisile wakati uliyefunga ni wewe, afu leo nikitaka haki yangu unasema nina chuki na uislam? akili kweli hiyo?
Ukiambiwa usile mchana hadharani unagoma,papa akikuambia ufunge ndoa uolewe unashangilia,kafiri nuksi sanayaani katiba ya zanzibar inatoa uhuru wa kuabudu, mimi mfano sio muislam, nina uhuru wa kutokuwa muislam, sifungi ramadhani na siipendi, na nina uhuru wa kutoipenda hiyo ramadhani, dini yangu inataka nile mchana, wewe unalazimisha nisile wakati uliyefunga ni wewe, afu leo nikitaka haki yangu unasema nina chuki na uislam? akili kweli hiyo?
Hao Wazanzibari ni Waafrika, ni Wanyamwezi, Wasukuma n.k. ambao babu zao walichukuliwa utumwani na waarabu.
Hadharani ni mahali gani? Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga unapikia koridoni hapo ni hadharani au ni wapMfano nachoma zangu nyama napika pilau. Je hadharani ambayo sitakiwi kufanyia haya ni wapi napikia chumbani?
Umevuka maji Leo, ndio unajitia ujuaji?Nimevuka maji leo mkuu
Tupe mrejesho nini kilitokea?Je wakirsto wataruhusiwa kusherekea sikukuu ya Pasaka kama imani yao inavyotaka?
Faida za Muungano ni kubwa kuliko hasara. Asiejua maana haambiwi maana!
Baki na akili yako maana watu kutokujua faida za muungano ni faida kwa taifa!!
Haya sasa, muda wa mtu kukataa maandishi yakeNajua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Unachopaswa kuelewa ni kwamba ni wajibu wako kuheshimu mila na desturi za watu hasa unapowafuata kwao, au hujui kama 99% ya wazanzibari ni waislamu? basi elewa kuwa kuheshimu mwezi wa ramadhani kwa kutokula hadharani ni moja katika mila za kiislamu.yaani katiba ya zanzibar inatoa uhuru wa kuabudu, mimi mfano sio muislam, nina uhuru wa kutokuwa muislam, sifungi ramadhani na siipendi, na nina uhuru wa kutoipenda hiyo ramadhani, dini yangu inataka nile mchana, wewe unalazimisha nisile wakati uliyefunga ni wewe, afu leo nikitaka haki yangu unasema nina chuki na uislam? akili kweli hiyo?