Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
Hii post inatakiwa KUFUTWA haraka sana kwani Jeshi letu lenye nidhamu na weledi wa hali ya juu linapokea Amri na maelekezo kutoka kwa mtu mmoja tu ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu na si vinginevyo!!Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio.
Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia nzuri na hii nchi na hawana ni huruma na watanzania wapo kwa maslahi ya familia zao.
Laiti kama jeshi letu linajitambia na lipo kwa maslahi ya taifa letu basi leo tulipaswa kuona wale wote waliotajwa kwenye kashfa na mh. Polepole wakichukuliwa hatua kabla ya kuchakachua taarifa.
Taarifa muhimu kama kuchezewa mifumo ya uchaguzi ni zaidi ya uahini na watu kama mh jk kuwa sehemu ya serikali ni mbaya sana,kutokana na yanyoendele katika taifa letu.
Pia nimemsikiliza Mh. Dr. Slaa kiukweli inaumiza nikiwa raia wa hii nchi.
Naliamuru jeshi lijitafakari na wananchi tunapaswa kutafakari pia si kila kitu kusubiri ngoja tuone itakuwaje,hawa watu wamejipanga aswa na wameamua kushika utawala ili kuendelea kuficha wizi wao.
Pia nasikia yule bwana anaitwa asasi mwenye dipromatic passport ni mkwe na mh jk. Ambaye ni alitambulishwa na Rais wetu ye ndiyo Boss wake tofauti na sisi kwa mujibu wa katiba.View attachment 3452130View attachment 3452132
Naam, watanzania tunataka tuing'oe ccm bila kuhusika,Mkuu Raia hana mamlaka kikatiba kumuamrisha Rais,waziri, mkurugenzi, kiongozi yeyote.
Hapa unaleta siasa.
Mamlaka yapo kisheria hayapo kama unavyosema hapa
Raia mpaka waungane wawe wengi ndio inaitwa nguvu ya umma. Lakini sio mtu mmoja mmoja kama hivi
Mimi na wewe tunaweza liliamuru jeshi letu kwasabu linawajibika kwa ajili yangu na yako piaHii post inatakiwa KUFUTWA haraka sana kwani Jeshi letu lenye nidhamu na weledi wa hali ya juu linapokea Amri na maelekezo kutoka kwa mtu mmoja tu ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu na si vinginevyo!!
Nefa in Afuganistani. Kwanza wanamiliki kadi za chamaNdugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio.
Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia nzuri na hii nchi na hawana ni huruma na watanzania wapo kwa maslahi ya familia zao.
Laiti kama jeshi letu linajitambia na lipo kwa maslahi ya taifa letu basi leo tulipaswa kuona wale wote waliotajwa kwenye kashfa na mh. Polepole wakichukuliwa hatua kabla ya kuchakachua taarifa.
Taarifa muhimu kama kuchezewa mifumo ya uchaguzi ni zaidi ya uahini na watu kama mh jk kuwa sehemu ya serikali ni mbaya sana,kutokana na yanyoendele katika taifa letu.
Pia nimemsikiliza Mh. Dr. Slaa kiukweli inaumiza nikiwa raia wa hii nchi.
Naliamuru jeshi lijitafakari na wananchi tunapaswa kutafakari pia si kila kitu kusubiri ngoja tuone itakuwaje,hawa watu wamejipanga aswa na wameamua kushika utawala ili kuendelea kuficha wizi wao.
Pia nasikia yule bwana anaitwa asasi mwenye dipromatic passport ni mkwe na mh jk. Ambaye ni alitambulishwa na Rais wetu ye ndiyo Boss wake tofauti na sisi kwa mujibu wa katiba.View attachment 3452130View attachment 3452132
Acha utoto!Mimi na wewe tunaweza liliamuru jeshi letu kwasabu linawajibika kwa ajili yangu na yako pia
Kuna mwaka uliwahi kuwepo uchaguzi?Kwa staili hii tunaweza kusema mwaka huu kuna uchaguzi kweli?
September 7 inakaribia MtibeliMkuu Raia hana mamlaka kikatiba kumuamrisha Rais,waziri, mkurugenzi, kiongozi yeyote.
Hapa unaleta siasa.
Mamlaka yapo kisheria hayapo kama unavyosema hapa
Raia mpaka waungane wawe wengi ndio inaitwa nguvu ya umma. Lakini sio mtu mmoja mmoja kama hivi
Kwa Tanzania hata wakuu wa vyombo vya usalama ni makada kindakindaki na wanamarupurupu ya kufa mtu, ili mradi mambo yao yanaenda hawawezi kamwe kutii amri yakoNdugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio.
Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia nzuri na hii nchi na hawana ni huruma na watanzania wapo kwa maslahi ya familia zao.
Laiti kama jeshi letu linajitambia na lipo kwa maslahi ya taifa letu basi leo tulipaswa kuona wale wote waliotajwa kwenye kashfa na mh. Polepole wakichukuliwa hatua kabla ya kuchakachua taarifa.
Taarifa muhimu kama kuchezewa mifumo ya uchaguzi ni zaidi ya uahini na watu kama mh jk kuwa sehemu ya serikali ni mbaya sana,kutokana na yanyoendele katika taifa letu.
Pia nimemsikiliza Mh. Dr. Slaa kiukweli inaumiza nikiwa raia wa hii nchi.
Naliamuru jeshi lijitafakari na wananchi tunapaswa kutafakari pia si kila kitu kusubiri ngoja tuone itakuwaje,hawa watu wamejipanga aswa na wameamua kushika utawala ili kuendelea kuficha wizi wao.
Pia nasikia yule bwana anaitwa asasi mwenye dipromatic passport ni mkwe na mh jk. Ambaye ni alitambulishwa na Rais wetu ye ndiyo Boss wake tofauti na sisi kwa mujibu wa katiba.View attachment 3452130View attachment 3452132
Mimi na wewe nani anapaswa kuacha utoto.Acha utoto!
Bado nina imani na jeshi langu la wananchi sitaki nipoteze imani yangu kwao hata kidogo.Kwa Tanzania hata wakuu wa vyombo vya usalama ni makada kindakindaki na wanamarupurupu ya kufa mtu, ili mradi mambo yao yanaenda hawawezi kamwe kutii amri yako
Wahuni wameshika sehemu zote muhimuBado nina imani na jeshi langu la wananchi sitaki nipoteze imani yangu kwao hata kidogo.