Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
- Thread starter
- #21
Bado nina imani na CDF wangu kwa mahaba makubwa juu yake na jeshi lake. Mwenyezi Mungu awatangulie katika majukumu yao mema.Wahuni wameshika sehemu zote muhimu
Bado nina imani na CDF wangu kwa mahaba makubwa juu yake na jeshi lake. Mwenyezi Mungu awatangulie katika majukumu yao mema.Wahuni wameshika sehemu zote muhimu
Kumbuka hilo ni Jeshi letu Wananchi.Hii post inatakiwa KUFUTWA haraka sana kwani Jeshi letu lenye nidhamu na weledi wa hali ya juu linapokea Amri na maelekezo kutoka kwa mtu mmoja tu ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu na si vinginevyo!!
Kimsingi unaumwa, na km umekata tama
Kimsingi unaumwa, km umekata tamaa ya kuishi kanywe sumu au jitundike tu
Hapa tunaongelea utaratibu unaotakiwa kufuatwa. Jeshi sio klabu ya Simba au Yanga ambapo kila mwanachama anaamini ana haki ya kuongea. Maelekezo yao LAZIMA yatoke kwa Amiri Jeshi Mkuu tu. Tofauti na hapo ni treason! Na Jeshi letu lenye nidhamu na weledi wa hali ya juu HAWAWEZI kufanya upuuzi huo!Kumbuka hilo ni Jeshi letu Wananchi.
Wanapaswa kulinda maslahi yetu Wananchi na sio wapuuzi wachache Wanasiasa.
Hiki kiburi kina mwisho na umekaribiaHapa tunaongelea utaratibu unaotakiwa kufuatwa. Jeshi sio klabu ya Simba au Yanga ambapo kila mwanachama anaamini ana haki ya kuongea. Maelekezo yao LAZIMA yatoke kwa Amiri Jeshi Mkuu tu. Tofauti na hapo ni treason! Na Jeshi letu lenye nidhamu na weledi wa hali ya juu HAWAWEZI kufanya upuuzi huo!
Hiki sio kiburi, nakueleza kuhusu utaratibu. Wewe usiyetaka kuuelewa utaratibu ndio unaleta kiburi na sio mimi Mkuu!Hiki kiburi kina mwisho na umekaribia
Upo sahihi sana ushauri wa bure huu umetoa.Fanya kazi
Jali familia yako na maisha yako
Watanzania waache kama walivyo wamesharidhika na yanayofanywa sio wa kuwatetea..wewe endelea kila nchi kula ugali na wali na nyama na kila ulitakalo
Unachekesha sana wewe.Bado nina imani na jeshi langu la wananchi sitaki nipoteze imani yangu kwao hata kidogo.
Una imani ya kijingaBado nina imani na CDF wangu kwa mahaba makubwa juu yake na jeshi lake. Mwenyezi Mungu awatangulie katika majukumu yao mema.
Hilo sio jeshi lenu wananchi kaa ukijua hilo.Kumbuka hilo ni Jeshi letu Wananchi.
Wanapaswa kulinda maslahi yetu Wananchi na sio wapuuzi wachache Wanasiasa.
Natambua ujumbe umemfikia,Kwakua wewe ndo Boss nenda ofisini kwake physically ukampe hiyo amri
Kama mkuu wa majeshi sio sehemu ya Wana mtandandao, anapaswa kupeleka wanajeshi kwenye mgodi wa Alimas na mgodi wa makaa ya mawe. Ili kuruhusu kwanza uchunguzi ufanywe juu ya tuhuma zilizotolewa!! Lakini kama wakuu wa vyombo vya usalama watakaa kimiya.basi tujue tumeuzwa!! Sasa jukumu linabaki kwetu Watanganyika.Wahuni wameshika sehemu zote muhimu
Hii ndiyo maana halisi ya kuomba cdf kutake overKama mkuu wa majeshi sio sehemu ya Wana mtandandao, anapaswa kupeleka wanajeshi kwenye mgodi wa Alimas na mgodi wa makaa ya mawe. Ili kuruhusu kwanza uchunguzi ufanywe juu ya tuhuma zilizotolewa!! Lakini kama wakuu wa vyombo vya usalama watakaa kimiya.basi tujue tumeuzwa!! Sasa jukumu linabaki kwetu Watanganyika.
Ninachokiona kunashida ya swala zima la uzalendo kwa viongozi wetu,ndipo tunaona hii linapelekea kuanza kuhoji anapotoka kiongozi husika ndipo tunabaini si mtanganyika ndiyo maana anawajika katika kuhujumu upande mmoja na kwenda kupanufasha upande atokapoInasikitisha sana!! Huyu mama kauza Kila kitu!! Halafu watu wanamchekea TU!! Watanganyika tumelogwa na nani!? Tuache tabia za Kisukuma bhana!! Msukuma utamuona na pingu mkononi, ukimuliza, "Maduhu Nini shida mbona umefungwa pingu? Yeye anajibu Ndohoo tabu! Huku ana pingu !?" Tuache ujimga nchi ni yetu sote. Haiwezekani wao wanufaike na familia zao, sisi tuwe wasindikizaji!! Naomba kama Kuna mtu yoyote wenye kujua naweza pata silaha , anielekeze! Niko Benako hapa.
Hivi wakati huu wa UCHAGUZI mkuu, SERIKALI si imeshavunjwa na wagombea si wapo kwenye mchakato wa kuomba ridhaa ya kuchaguliwa. Je, amiri jeshi Kwa sasa ni nani?Hii post inatakiwa KUFUTWA haraka sana kwani Jeshi letu lenye nidhamu na weledi wa hali ya juu linapokea Amri na maelekezo kutoka kwa mtu mmoja tu ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu na si vinginevyo!!