Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

Kila kitu huwa kina mwanzo na kina mwisho pia. Mfano mlikuwa wapenzi...baadaye mkaishia kuoana. Je, unavyokuwa na mchepuko mwisho wake ni nini hasa?

Ni kumuoa awe mke wa pili, au kupindua ndoa iliyopo, au ni kuchapana na kuondoka, au ipi wakuu?
 
Michepuko ina hasara na faida zake. Ukitaka kujua faida yake pale ndoa yako inapoenda mrama na ukitaka kujua hasara yake ni pale invoices zinapokua nyingi. Ila si lazima kuwa na mchepuko, baki njia kuu.
 
Back
Top Bottom