Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

Nini hatma ya kuwa na mchepuko?
Kila kitu huwa kina mwanzo na kina mwisho pia. Mfano mlikuwa wapenzi...baadaye mkaishia kuoana. Je,unavyokuwa na mchepuko mwisho wake ni nini hasa? Ni kumuoa awe mke wa pili, au kupindua ndoa iliyopo, au ni kuchapana na kuondoka, au ipi wakuu?
hakuna mwisho mzuri na ndio maana kila siku unasikia watu wanauana kwenye ndoa , kutelelkeza watoto ., kukimbia miji na kurudishanan nyuma kimaendeleo. na worse kabisa ni majuto
 
Nini hatma ya kuwa na mchepuko?
Kila kitu huwa kina mwanzo na kina mwisho pia. Mfano mlikuwa wapenzi...baadaye mkaishia kuoana. Je,unavyokuwa na mchepuko mwisho wake ni nini hasa? Ni kumuoa awe mke wa pili, au kupindua ndoa iliyopo, au ni kuchapana na kuondoka, au ipi wakuu?
Ukimuoa atakuletea kiburini na majivuno. Kula akisha exipire unapiga chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wanaume huwa tunaishia kuzaa nao tu akijitahidi saaaaana anakuwa bimdogo rasmi ila kuibiwa ndo nje nje maana kama aliweza kuwa na wewe wakati anajua umeoa atashindwa vipi kucheat siku ukiwa kwa mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wakishazaa si ndio gharama zinazidi...mara mtoto anaumwa,mara nepi zimeisha n.k ?
 
Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

Kila kitu huwa kina mwanzo na kina mwisho pia. Mfano mlikuwa wapenzi...baadaye mkaishia kuoana. Je, unavyokuwa na mchepuko mwisho wake ni nini hasa?

Ni kumuoa awe mke wa pili, au kupindua ndoa iliyopo, au ni kuchapana na kuondoka, au ipi wakuu?
Usije ukakurupuka kuwa na mchepuko hakikisha una sababu inayoeleweka ya kukufanya uwe na mchepuko..

Baada ya kuoa na kuishi na mke Kwa miaka kadhaa zikaanza vurumai ndani zisizo na kichwa wala miguu,. Mara mtu anune wiki nzima, kibri na majibu ya kunya..

Kwakuwa wengne shughuli zetu ni usiku na mchana basi wakat mwingne hata tunda ikawa shida nikaona isiwe taabu..

Nikamtafuta niliyemuona ananifaa nikaanza kudate naye sina hatma naye yoyote zaidi ya tutakapoishia.

Lakn ni mtu tunayeweka mipango mizuri ya maisha hayupo kwaajili ya kunichuna ila mikakati ya maendeleo zaidi ipo ya kusaidiana kwenye familia.. Heshima nyumban ilisharudi maana niliamua kuwa ntakuwa nalala nje hata Kwa wiki na nikirudi sihitaji sex naye..

Akili yote ilikuwa Kwa mchepuko..

Wanawake wanajisahau kuwa wakiolewa wanadhani ndio wamemaliza dawa yao ni kuwapandisha vyeo hata visivyo rasmi

Katika Maajabu ya 8 ya dunia ni Mwanamke akijua yuko peke yake anakudharau .Adui wa mwanamke ni mwanamke.kwa iyo kazi ya mchepuko ni kuirefresh ndoa tu.
 
Back
Top Bottom