Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

Hapo ndo hatima ilipo,,hila kama wewe unajua kuwa huyo mtu huna future yoyote iweje ubebeshe mimba?? kama mtu huna future nae ni bora mtumie kinga au mwanaume akojoe nje...na hapo kama wote mmekubaliana na ushamwambia ukweeli kuwa huko na family,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unakojoaje nje wakati wa kukojoa ukifika mshipa unatakiwa usimamie ndani kwa nguvu zote
 
Mchepuko ni kama fanta baridi, hutumika kukata hangover za mke.🤣🤣🤣 Hatma yake ni kukata hangover tu. Amna namna!
 
Back
Top Bottom