Nini hatma ya miradi ya Chato?

Nini hatma ya miradi ya Chato?

Dah, Watanzania tuna mambo ya ajabu sana. Pumzika kwa amani Magufuli.
Mm nilishawahi kuwa upinzani hapo nyuma lakini sikuwahi kumchukia huyu baba. Kwa sababu mbali na uraisi ila ni mtoto wa mtu jamani. Na nimemuombea sana tangu uvumi huu uanze. Hata jioni ya leo kabla sijalala nimemuombea ndo nikalala.nashangaa rafiki yangu ananipigia kuwa kafa.nimekosa usingizi.
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Kama vipi zikwa naye!
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto....
Vipi mtoto wa mtu aliechakazwa risasii mwili mzima?
 
Mm nilishawahi kuwa upinzani hapo nyuma lakini sikuwahi kumchukia huyu baba. Kwa sababu mbali na uraisi ila ni mtoto wa mtu jamani. Na nimemuombea sana tangu uvumi huu uanze. Hata jioni ya leo kabla sijalala nimemuombea ndo nikalala.nashangaa rafiki yangu ananipigia kuwa kafa.nimekosa usingizi.
Inasikitisha sana! Pole wote tulioguswa na msiba huu.
 
Point yangu inabase kwenye jinsi ambavyo viongozi wa serikali walikuwa wanaitetea hiyo miradi, najiuliza je wataiendeleza?
Kama ilikuwa na tija kwa taifa sawa, ila kama ni kinyume chake, imeishia hapo!!ndio maana ya kufanya miradi kwa faida ya taifa, ila kama ni kwa manufaa yako, ndio basi, litaweza kuwa fundisho pia
 
Back
Top Bottom