Nini hatma ya miradi ya Chato?

Dah, Watanzania tuna mambo ya ajabu sana. Pumzika kwa amani Magufuli.
Mm nilishawahi kuwa upinzani hapo nyuma lakini sikuwahi kumchukia huyu baba. Kwa sababu mbali na uraisi ila ni mtoto wa mtu jamani. Na nimemuombea sana tangu uvumi huu uanze. Hata jioni ya leo kabla sijalala nimemuombea ndo nikalala.nashangaa rafiki yangu ananipigia kuwa kafa.nimekosa usingizi.
 
Kama vipi zikwa naye!
 
Vipi mtoto wa mtu aliechakazwa risasii mwili mzima?
 
Inasikitisha sana! Pole wote tulioguswa na msiba huu.
 
Point yangu inabase kwenye jinsi ambavyo viongozi wa serikali walikuwa wanaitetea hiyo miradi, najiuliza je wataiendeleza?
Kama ilikuwa na tija kwa taifa sawa, ila kama ni kinyume chake, imeishia hapo!!ndio maana ya kufanya miradi kwa faida ya taifa, ila kama ni kwa manufaa yako, ndio basi, litaweza kuwa fundisho pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…