Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Miradi yote hiyo itaendelea tu kujengwa kwa sababu CCM ni ile ile! Labda kama Rais angetoka upinzani, hapo tungeongea stori nyingine kabisa. Hiyo miradi yote ingefutiliwa mbali! Maana ina chembe chembe za upendeleo.Maswali tu kwa miradi ambayo wengi waliona ni kama ya kijipendekeza kwa mpedwa
1. Je uwanja wa ndege Chato utakuwa na wateja wa kutosha
2. Hotel ya Tanapa wanayojenga ya nyota tatu je watalii watakuja?
3. Uwanja wa mpira mkubwa unaojegwa je kitakuwa na timu?
Wengi tuna wasiwasi na haya. Kuna wilaya nyingi sana nafikiri zina zidi Chato mfano wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Babati mkoani Manyara ..... na mingineyo ambayo ingetakiwa kuwa na uwanja wa ndege. Inabidi tuangalie miradi