Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Kwani kipindi kinataka nini mpaka useme ivyo
Kipindi kinataka muendeshaji ajue kwamba unapokuwa unaandaa kipindi cha kuangaliwa na watu tofauti, angalau kiwe kinaendeshwa kwa akili, japo kidogo tu.

Fine, I get it. I may be too highbrow. Sio kila kipindi ni lazima kiwe sawa na "Hard Talk", "60 Minutes" au "Jenerali on Monday".

I get that.

Lakini Salama anaweza kuongelea habari za machotara wanavyotakiwa ku date na machotara tu, weusi hawawafai.

Kwenye hicho kipindi. Jambo la kijinga kabisa la ubaguzi wa rangi. Halafu linachukuliwa poa tu.

Halafu hili si tatizo la Salama tu, naona hata yule aliyemuhoji shoga (Zamaradi nafikiri) ingawa kimsingi sina tatizo na kumuhoji shoga (perhaps on public airwaves in such a conservative country this is controversial) lakini naye alivyokuwa anahoji tu unaona ana m treat interviewee kama mtoto, kama anamfanyia favor, na kibongobongo interviewee anakubali tu, kashazoea kuwa mnyanyapaa.

Hizi kazi zinahitaji elimu, si kazi za kufanya kwa ujanja ujanja. Ukifanya kwa ujanja ujanja wakati huna elimu, kila wiki upo kwenye kipindi unauliza maswali, watu wanaona kwamba huyu hapa anafanya kwa ujanja ujanja hana elimu.

Mtu katoka kuangalia interview ya Oprah halafu aende kuangalia ya Salama au Zamaradi, kama anajua mambo anaona tofauti kibao tu.

Kibongobongo inawezekana watu wakapotezea, lakini ukishazoea standard Fulani ya maisha na intellectual content, halafu ukashushiwa kiwango, unaona kabisa.

Ndiyo maana nashangaa hao wanaowaponda kina Muba na John wakati hata Salama mwenyewe ni fungu hilo hilo.

Labda nikienda kwa Oprah, Hard Talk na 60 Minutes mtaona kama namuonea. Angalia vipindi vya Kenya tu hapo, au linganisha na interviews za Maria Sarungi utaona tofauti kubwa ya upeo.
 
Wewe ni Kiranga bana. Mwenye vigezo vya juu na vya kipekee.

Nashangaa hata ulipoteza muda wako kuangalia kipindi cha 'barber shop talk'.

Hicho hakikuwa saizi yako. Wewe huna saizi yako. Labda kama saizi yako ni wewe mwenyewe.

Kwa nini usianzishe kipindi chako halafu ukawa unajialika mwenyewe na kujifanyia mahojiano mwenyewe na wakati mwingine hata kujifanyia mdahalo wako mwenyewe?

Nadhani kinaweza kuwa a ratings bonanza.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si vinyozi ,watakuwa wanaendelea kunyoa
 
Si vinyozi ,watakuwa wanaendelea kunyoa
Kuna jambo bado kulielewa kuhusu hizi barber shops za kibongo.

Ukienda kunyoa ukimaliza ni kama wanakulazimisha ufanyiwe ile sijui ndo wanaita scrub wenyewe.

Mimi huwa naweka bayana kabisa kuwa sitaki mengine zaidi ya kunyoa tu.

Lakini huwa naishia kuonekana mshamba. Huwa wananishangaa sana.

Matokeo yake nami huwa nawashangaa!

Tunabaki tunashangaana tu.
 
Hicho mbona nafanya kila siku, huwezi kujua kwa sababu nafanya kichwani kwangu.
 
Oh yeah? Heko sana.

Sasa ungeenda hatua moja mbele na ku share na kadamnasi ingekuwa poa maradufu.

Lakini ukifanya hivyo huenda ukakosa wa kukuelewa maana wewe ni Kiranga[emoji3] . Uko juu.
Kila siku nakuja hapa ku share mahojiano na kadamnasi.

Kuna wanaoelewa.

On the real. Yule Salama wewe unamuona yupo poa tu anavyo present hivyo vipindi?

Yani mimi hata nikijitahidi kuwa overly generous and liberal somehow ana manage kunifanya nione kile kipindi kina entertain ujinga in a way that hata mtu anaye entertain ujinga (mfano mimi ninavyo entertain clown wa JF) ataona this is too much.

I am tempted to say ukiniwekea interview yoyote ya Salama kuna sehemu atakuwa kachemsha.

But that would be rather presumptuous of me.

Halafu nani anayeelewa hygiene anafanya interview huku ananyolewa nywele?

Nywele zikiingia mdomoni? Mimi kufanyiwa interview huku unanyolewa ni sawa na kufanyiwa interview huku unakula.

The very concept itself is ghetto.

But I bet there is a crowd for that.
 
Unaanzaje kufuatilia kila wiki kipindi kinachokuboa??we jamaa kweli wa ajabu
 
On the real. Yule Salama wewe unamuona yupo poa tu anavyo present hivyo vipindi?

I honestly don't see a problem with it even if her style is not my cup of tea. The way I look at it is this, if sometimes styles make fights in combat sports, so does the interviewee in interviews.

And that's why I used to watch it based on who the guest was. Some of the interviews were good and some were so so.


Well, that's the beauty of opinions. We are all entitled to have one [or more].

Unachoona wewe ni ujinga kuna wengine wanakiona ni burudani.

Hicho kipindi mimi sijawahi kukichukulia kimaanani kivile.

Ni kipindi cha mazungumzo ya barber shop. Kwa mtaji huo sitegemei kuona ma policy wonks wakikata ishu kwa sababu sidhani kama hilo ndo lengo la kipindi.

Vilevile, kama unaangalia vitu vya kukosoa au kutoa kasoro tu, basi karibu kila kitu utakiona hakijitoshelezi. It's almost a given you'll find something wrong. If not you then maybe someone else will.


Hiyo concept nadhani waliitoa/ waliiga toka kwenye kipindi cha Al Sharpton, Sharp Talk, kilichokuwa kinarushwa na TV One.


Whether it's ghetto or not, that's debatable.

Lakini si jambo geni kivile.

Binafsi karibu kila wiki na nusu huwa naenda kwa barber wangu. Huko ni mwendo wa stori tu mwanzo mwisho. Si kwa wanaonyoa si kwa wanaonyolewa.

Kuhusu hygiene..well..hilo nalo linategemea mtu na mtu. Kama mtu hupendi stori ukiwa unanyolewa nywele basi kaa kimya tu unyolewe na ukimaliza unasepa.

Halafu kwani vipande vya nywele vikiingia mdomoni ndo nini? Utaugua? Utakufa?

Barbershops are not the place for hypochondriacs.

Cheki masela wanavyopiga stori hapo.

 
Unaanzaje kufuatilia kila wiki kipindi kinachokuboa??we jamaa kweli wa ajabu

Ndo maana mtu kama mimi nilikuwa nakiangalia kulingana na nani mgeni siku hiyo.

Nikiona mgeni fulani hanivutii kivile wala siangalii kabisa.
 
Kwa mara ya kwanza umecomment point
 
Unaanzaje kufuatilia kila wiki kipindi kinachokuboa??we jamaa kweli wa ajabu
Wapi nimesema nafuatilia kila wiki?

Unaweza kuninukuu nilipoandika hilo?

Unajua kusoma?
 
kwani Salama aliwakuta ukubwani na walikutana hapa hapa dar kwa iyo kila mtu ataendelea na yake
 
kwani mwanzo kabla ya mkasi walikuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…