Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Ukiwa na low standards unaweza ku justify chochote.

Bottom line, there is a crowd for that.

Lakini mimi siwezi juangalia kipindi cha host aliye so ignorant anafanya faux pas over and iver again mpaka inakuwa kitu cha kawaida.

Of course jwa watu wasiojua hiyo ni faux pas, thats like fish in water.

Sishangai hao.

Nashangaa wale wanaojua hii ni faux pas halafu bado wanaona poa tu kuangalia hicho kipindi.

Devolving us to the lowest common denominator.

It's funny how just yesterday you were the snob and I was the slob, while today you are the slob and I am the snob.
 
Ukiwa na low standards unaweza ku justify chochote.

Okay, you are right. Ulishasema wewe standards zako zipo juu. Wengi wetu humu hatuzifikii hizo standards zako. That's fine.

Uko tofauti na wengine. Uko juu. You da man.

Bottom line, there is a crowd for that.

Absolutely. And that's why some of us understand that and don't have a problem with it.

We can't all be like Kiranga. There is only one and that is you. The one that can never be imitated nor duplicated.

Uppity much? That's for others to say.

Lakini mimi siwezi juangalia kipindi cha host aliye so ignorant anafanya faux pas over and iver again mpaka inakuwa kitu cha kawaida.

Wewe ni Kiranga. The Pope. The God. The Oracle. The Authority. The Casanova. Lothario. Ni wa kipekee. Salama Jabir yupo chini sana kwa viwango vyako.

Of course jwa watu wasiojua hiyo ni faux pas, thats like fish in water.

Sishangai hao.

Nashangaa wale wanaojua hii ni faux pas halafu bado wanaona poa tu kuangalia hicho kipindi.

Devolving us to the lowest common denominator.

Unaweza kunipa mifano mitano ya hizo unazoziita faux pas?
 

Nilishaangalia episode moja, Salama anasema ma half cast "kama yeye" hawatakiwi ku date watu weusi, wa date na ma half caste tu.

Hapo hapo nikachoka!

Kwa episodes nilizoangalia, upuuzi kama huo upo kila nilipoangalia, nikachefuka nikaona siwezi kuji torture kama nipo katika club ya sado-masochism.
 

Okay, mara nyingi huwa nasema context kwenye lugha ni muhimu sana.

Je, hapo context ilikuwa ni nini?

Alikuwa anatania?

Aliropoka tu hivyo au alikuwa anamzungumzia mtu aliyewahi kusema hivyo au namna gani?
 
Kipindi chenyewe walikiiga toka Saloon talk cha urban TV Uganda.
 
Mkuu ww uko km mm utashangaa unalazimishwa usuguliwe kidevu na mdada wakati mm shida yng kunyoa ndevu tu.
 
Salama ni kama main presenters na hao ni wasaidizi wake katika hiyo presentation yake au guest presenters.

Ndiyo maana huwa hawana maswali zaidi ya Salama lakini wanaongozwa na kuuliza maswali ya nyongeza ya kumsaidia Salama.

Uzoefu Salama anao na atauendeleza huko aendako kwenye Ngazi kwa Ngazi.

John Na Muba kama wanapenda kazi yao na wanaona inawalipa kimaslahi baada ya biashara yao ya kunyoa wanaweza kununua rights za hicho kipindi na wakaendelea nacho.

Ni suala la ubunifu na uzoefu wa uendeshaji wa kipindi kama hicho.

Kuna watu wa aina tofauti kama mmoja wa watoto wa mzee Mwinyi, wamehojiwa na Salama na wakatoa mwanga juu ya haiba zao na maisha yao ya kawaida kabisa na kipindi kilikuwa poa tu.

Salama anafahamu namna ya kufanya mahojiano kulingana na aina ya wageni wake na hiyo inastahiki sifa ingawa kuna baadhi ya maswali pengine anakuwa hayakuyandaa kabla.

Hivyo kipindi hiki kinahusu zaidi ubunifu, vipaji na mahusiano ya watu mbalimbali katika jamii ambapo vitu hivi vinaunganishwa kwa kutumia hiki kipindi.

Ila hawa vijana wanaonekana wakipata mwongozo wataendeleza kwa uzuri kipindi hicho.
 
Okay, mara nyingi huwa nasema context kwenye lugha ni muhimu sana.

Je, hapo context ilikuwa ni nini?

Alikuwa anatania?

Aliropoka tu hivyo au alikuwa anamzungumzia mtu aliyewahi kusema hivyo au namna gani?
Naelewa context, naelewa utani, na entertain mpaka clowns wa JF.

Hakuwa anatania - Bill Maher huwa anasema outrageous things, katika context ya utani, unajua anatania, mara nyingine mpaka anasema wazi "I kid, I kid"- Salama alikuwa as serious as a eugenics preaching NAZI in 1943 Berlin!

Yaani si kitu alichoanza kusema mara moja tu, wala si kitu alichokisema kwa mstari mmoja tu, ni story ambayo alianza kwa muda mrefu wakati wanamsubiri wanayetaka kumuhoji, huwa wana chit chat zao kama fillers. Kawaida chitchat za fillers huwa zinataka akili sana kwa sababu ni kama kitu impromptu na usipoangalia hpo katika kufanya improve on the fly kama huna upeo ndipo sehemu ambayo kuchemka ni rahisi sana.
 

Okay, having not seen that particular episode, I'll take your word for it.

Kama hivyo ndivyo alivyosema basi alichemka.

Lakini kuchemka kwa kitu kimoja haimaanishi ndo anachemsha kwa vyote.

Nani kati yetu ambaye huwa hachemki?

Wanachemka debate moderators wa US presidential debates sembuse ma show host wa Kitanzania?

As far as I'm concerned that's a no biggie.

Mimi huwa sina tatizo kabisa na vipindi vya kimasikhara.

Kwanza kila asubuhi, Jumatatu hadi Ijumaa huwa nasikiliza The Breakfast Club, Rickey Smiley Morning Show, Steve Harvey, Jahazi ya akina Kibonde na wengineo.

Nikiona leo wanaongelea upuuzi ambao siwezi kuuvumilia basi, nabadili stesheni.

Uvumilivu wangu wa upuuzi wa watu wengine ilihali upuuzi huo hauniathiri moja kwa moja, upo juu.

Na kuishi kwangu miongoni mwa watu wa kada tofauti [kuanzia mwelekeo wa kijinsia, rangi, dini, hadi mataifa waliyotokea] umenisaidia sana kujenga uelewa na uvumilivu wa wale walio tofauti na mimi.

Kanuni hiyo ya uvumilivu ndo inanifanya nisione ubaya wa Salama na hicho kilichokuwa kipindi chake.

Ndiyo, pengine kuna mambo ambayo nilikuwa napishana naye kimtazamo na kadhalika, lakini pia kisa tu napishana naye kimtazamo huko hakunifanyi nimwone hafai kabisa.

Kwanza sidhani hata kama kuna mtu hapa duniani ambaye mitazamo yake na yangu inakubaliana kwa asilimia 100.

Wakati mwingine hata mimi mwenyewe huwa sikubaliani na mimi mwenyewe!
 

Tatizo labda ni kama nilivyoeleza hapo juu kwamba nina high standards halafu naweza kuwa nina over analyze mambo.

Nategemea talk show host/ presenter wa interview show awe angalau ana kitu kipya cha kunielimisha mimi. Kama hana kitu kipya angalau asinichefue kwa faux pas au ku lallygag pointlessly over a non-issue.

Nikishaona ana chitchat zinazo meander zaidi ya the Mekong by Phnom Pehn, hapo hapo naona hii ni waste of time.

Labda ni kwa sababu nishajizoesha kusikiliza mipindi ya maswali ama ya kupasua kichwa au hata kama si ya kupasua kichwa, yenye muelekeo uliopangiliwa vizuri. Mtu hata anapofanya utani unakuwa utani umeenda shule, si habari za eugenics zinazoelezewa katika fantasy ya "If I am not that smart, at least I am light skinned".

Kuvumilia mawazo tofauti ni jambo zuri. lakini hili halimaanishi tuvumilie ujinga.

Ukivumilia sana uchafu, utapata maradhi.
 

Tupo wengi wenye standards za juu [na pengine kila mmoja anaweza kuziona zake ndizo za juu na bora zaidi kuliko za mwenzake. Fine. Muamba ngoma huvutia kwake].

Cha muhimu ni kuwa mwelewa pia.

Mimi watu kama akina Salama na wenzie wa hivyo hawanipi shida kabisa.

Hiyo ni kwa sababu naelewa kwa kiasi fulani walivyo na ninakuwa nina dokezo la nini ninaweza kulipata toka kwao.

Ninapowaangalia au kuwasikiliza ninakuwa sina expectations kubwa kivile.

Na hilo linanogeshwa zaidi na utashi nilionao - pengine ningekuwa naishi North Korea nisingekuwa na jinsiπŸ˜€.

Kuwa mwelewa na kukubali kuwa watu tumetofautiana [within reason, of course] na vitu hivyo kukupelekea kuwa mvumilivu wa yale yaliyo tofauti na wewe si sawa na kuvumilia uchafu unaoweza kukuletea maradhi.

Na ndo maana hapo juu nikagusia uvumilivu wa upuuzi ambao hauna athari za moja kwa moja....

Tumeshaona athari za utovu wa uvumilivu wa Magu....

Dunia hii bila kuvumiliana kutakuwa na amani kweli?
 
Naelewa yote hayo.

Mimi nimesoma uchumi. Naelewa concept ya "opportunity cost". Muda nitakaomsikiliza Salama ni muda ambao sitaweza kumsikiliza Yuval Noah Harari katika "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow".

Hilo la kumuangalia mtu bila expectations kubwa yoyote mbona ninalo sana.

Namuangalia Don Lemon wa CNN bila ya expectation yoyote tangu alipouliza kama kuna uwezekano ndege ya Malaysia imepotea kwa sababu kuna black hole lilitokea katika njia yake na kuimeza, na hii huenda ndiyo sababu ndege haikuonekana?

 

Hahahaaaa hapo naona unamuonea Don bana.

Kwa nilivyomuelewa mimi, ni kama vile alikuwa anawakilisha maswali ambayo watu wengi walikuwa wanauliza.

Hebu rudia tena uiangalie hiyo clip kwa makini...

By the way, jana nilitaka kuanzisha mada kule kwenye jukwaa la Intelligence lakini nikaghairi. Ni kuhusu mambo ya uwepo wa mungu na kadhalika.

Hebu cheki hayo maswali ya Carl....sound familiar?


Hapa Carl, Stephen Hawking, na Arthur C. Clarke wanazungumzia mungu na hayo ma black holes ya Don Lemon.

 
Sijamuonea Don Lemon. The guy is a moron, CNN in general is going down the toilet.

Hapo kulikuwa na maswali kibao technical, kwenda kuuliza black holes kwenye hiyo context ni preposterous, even worse, anajua kwamba swali ni preposterous na kasema hivyo, halafu anauliza.

He is lazily applying the "think outside the box" principle. One has to be methodical even when thinking outside the box.

Obviously he has not heard of Occam's razor, or if he has, it was a waste of time.

Hao nguli kina Sagan na wenzake wameuliza maswali katika context tofauti kabisa na huyo Lemon of a presenter. I am sure for someone who appreciate context like you, you can appreciate that.

Carl Sagan's Cosmo was remade by Neil DeGrasse Tyson.

What a legacy by a protege.

Hizo mada za kuwepo kwa Mungu unaweza kubishana na mtu hajui hata "logical consistency" ni nini.

Hata ukitaka kumuelekeza kitabu cha kusoma Kiingereza hajui, halafu anabisha mada ambayo habari zake katika Kiswahili hazipo!

How do you say "logical consistency" in Swahili?

Even if one finds the right vocab, it will sound like Mkapa's Swahili, total alien to the average clown.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…