Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
I honestly don't see a problem with it even if her style is not my cup of tea. The way I look at it is this, if sometimes styles make fights in combat sports, so does the interviewee in interviews.
And that's why I used to watch it based on who the guest was. Some of the interviews were good and some were so so.
Well, that's the beauty of opinions. We are all entitled to have one [or more].
Unachoona wewe ni ujinga kuna wengine wanakiona ni burudani.
Hicho kipindi mimi sijawahi kukichukulia kimaanani kivile.
Ni kipindi cha mazungumzo ya barber shop. Kwa mtaji huo sitegemei kuona ma policy wonks wakikata ishu kwa sababu sidhani kama hilo ndo lengo la kipindi.
Vilevile, kama unaangalia vitu vya kukosoa au kutoa kasoro tu, basi karibu kila kitu utakiona hakijitoshelezi. It's almost a given you'll find something wrong. If not you then maybe someone else will.
Hiyo concept nadhani waliitoa/ waliiga toka kwenye kipindi cha Al Sharpton, Sharp Talk, kilichokuwa kinarushwa na TV One.
Whether it's ghetto or not, that's debatable.
Lakini si jambo geni kivile.
Binafsi karibu kila wiki na nusu huwa naenda kwa barber wangu. Huko ni mwendo wa stori tu mwanzo mwisho. Si kwa wanaonyoa si kwa wanaonyolewa.
Kuhusu hygiene..well..hilo nalo linategemea mtu na mtu. Kama mtu hupendi stori ukiwa unanyolewa nywele basi kaa kimya tu unyolewe na ukimaliza unasepa.
Halafu kwani vipande vya nywele vikiingia mdomoni ndo nini? Utaugua? Utakufa?
Barbershops are not the place for hypochondriacs.
Cheki masela wanavyopiga stori hapo.
Ukiwa na low standards unaweza ku justify chochote.
Bottom line, there is a crowd for that.
Lakini mimi siwezi juangalia kipindi cha host aliye so ignorant anafanya faux pas over and iver again mpaka inakuwa kitu cha kawaida.
Of course jwa watu wasiojua hiyo ni faux pas, thats like fish in water.
Sishangai hao.
Nashangaa wale wanaojua hii ni faux pas halafu bado wanaona poa tu kuangalia hicho kipindi.
Devolving us to the lowest common denominator.
It's funny how just yesterday you were the snob and I was the slob, while today you are the slob and I am the snob.