Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Soma kikamilifu nilivyoandika mpaka mwisho wa thread ili kupata context vizuri.

Kuna mjadala umefanyika kuhusu mengi. Kuanzia Salama Jabir mpaka Salama Mwinyi.
 
Heshima yako Mkuu....Kitambo sana babu!
Mkuu misele fulani na seleka za walami, mingo kuanzia Migo mpaka kwenye gesi na mpingo halafu viwanja vya juu tena.

Niambie niaje? Mi nipo hapa kama msuba ndani ya Amsterdam. Namsikiliza Grover Washington, The Stylistics na wakongwe wengine kama hao Jumapili leo, baadaye soccer.

Wakongwe mnamiss in action somehow.

Wewe naona mapozi sana, au?
 
Kwan walikua na kaz gan zaid ya kukwangua kucha wagen kwenye kipind sijaona kazi yao hata maswali yao hayana uzito kwa wagen
Umeonaee mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] halaf bora mubah, huyo john maswali yalikuwa yanatia kichefuchefu cha moyo, inshort nilikuw simpend
 
Hahaaaaaaa

Nipo babu...Misele kwa sana...Usawa wenyewe huu full kuchakalika...Sio mapozi wala nini...Mitikasi tu inabana..

Sasa hivi tunawaachia vijana wajimwayemwaye na jukwaa...

Wakongwe wako busy kutafuta contracts kama Le Mutuz....Hahaaaaa
 
Umezibuka, muwe mnatokea hapa kusawazisha watoto wakichafua hali ya hewa kuliko kuondolewa marehemu Jumbe Zenj.

Le Mutuz is a head case, Lodi Lofa has nothing on him.
 
Umezibuka, muwe mnatokea hapa kusawazisha watoto wakichafua hali ya hewa kuliko kuondolewa marehemu Jumbe Zenj.

Le Mutuz is a head case, Lodi Lofa has nothing on him.
Pamoja babu...Ndo kama hivi tunatokea mara moja moja...

Le Akili kubwazzz...Mzee wa kupigwa busu na mabebez...

Hahaaaaa
 
Nadhani kila kipindi kina malengo,style yake ya mahojiano na aina gani ya maswali.

Kipindi cha MKASI kilikuwa ni show ya MTU kuventilate kwa yale mambo ambayo tukonayo kila siku mitaani.

Ambayo siyo rahisi kuyasikia ktk mahojiano yoyote yale na jokes za hapa na pale lakini zinafikisha ujumbe kwa aina Fulani ya Sanaa ambayo ilikuwa inampa Uhuru mkubwa mgeni kujieleza.

Tusianze kulinganisha na wakina Oprah.Hardtalk n.k hapana.

Salama ni mzuri na mbunifu ktk level take tuthamini mchango wake kwa jamii.

Mapungufu kwa mwanadamu hayakosekani.sisi sio malaika.

Ngoja tusubiri Ngazi kwa Ngazi sasa tuone ubunifu.
 
Umeandika jambo zuri sana, uthabiti wa mifano.

Uthabiti wa mifano, kwa mujibu wako, unakujaje?

Unajuaje mfano huu thabiti na mfano huu si thabiti?

Shukrani kwa swali mkuu kiranga na samahani kwa kuchelewa kujibu

Uthabiti wa mifano hutokana mtendaji/msemaji kuelezea jambo lililomkuta-aliloliona yeye binafsi kupasina kusimuliwa.

Kwa mfano Jennifer Hudson alikwenda na Mama Winnie Mandela miezi kadhaa Afrika Kusini kabla ya kuigiza kama Winnie ili filamu iwe na mifano thabiti juu ya alivyo Mama Mandela
 
Naona unaongea kinyume
Umeonaee mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] halaf bora mubah, huyo john maswali yalikuwa yanatia kichefuchefu cha moyo, inshort nilikuw simpend
 
Unafahamu kwamba unaweza kutoa mfano wa uliloliona wewe mwenyewe halafu mfano wako ukawa si thabiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…