Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wewe hata kuandika sentensi tu unashindwa.poor..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hata kuandika sentensi tu unashindwa.poor..
Soma kikamilifu nilivyoandika mpaka mwisho wa thread ili kupata context vizuri.Ulichoongea ni sahihi mkuu, lakini usimlaumu sana Salama juu ya kushindwa kumhoji vema Makamba before that judge kwanza interest yake kisiasa ipoje mfano utapata shida kidogo kumhoji mwanasheria wakati wewe taaluma ya sheria hujawa familiar nayo; na hata kipindi chake ki ktk mlengo upi? Yeye career yke ni intertainer though alitakiwa kusoma articles za kisiasa na hata kujiandaa kabla ya kumhoji. Lakini bado Salama anabaki kuwa most presenter talented Tz, ukitaka kuamini hili mfuatilie kwenye kipindi chake cha Ngaz kwa ngaz namna alivyo design, graphics and animation na hata anavokiendesha! Hakika mkasi team wanastahili pongezi.
poorWewe hata kuandika sentensi tu unashindwa.
Apparently that is all the vocabulary you could muster buster.poor
poorApparently that is all the vocabulary you could muster buster.
Heshima yako Mkuu....Kitambo sana babu!Apparently that is all the vocabulary you could muster buster.
Mkuu misele fulani na seleka za walami, mingo kuanzia Migo mpaka kwenye gesi na mpingo halafu viwanja vya juu tena.Heshima yako Mkuu....Kitambo sana babu!
Umeonaee mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] halaf bora mubah, huyo john maswali yalikuwa yanatia kichefuchefu cha moyo, inshort nilikuw simpendKwan walikua na kaz gan zaid ya kukwangua kucha wagen kwenye kipind sijaona kazi yao hata maswali yao hayana uzito kwa wagen
HahaaaaaaaMkuu misele fulani na seleka za walami, mingo kuanzia Migo mpaka kwenye gesi na mpingo halafu viwanja vya juu tena.
Niambie niaje? Mi nipo hapa kama msuba ndani ya Amsterdam. Namsikiliza Grover Washington, The Stylistics na wakongwe wengine kama hao Jumapili leo, baadaye soccer.
Wakongwe mnamiss in action somehow.
Wewe naona mapozi sana, au?
Umezibuka, muwe mnatokea hapa kusawazisha watoto wakichafua hali ya hewa kuliko kuondolewa marehemu Jumbe Zenj.Hahaaaaaaa
Nipo babu...Misele kwa sana...Usawa wenyewe huu full kuchakalika...Sio mapozi wala nini...Mitikasi tu inabana..
Sasa hivi tunawaachia vijana wajimwayemwaye na jukwaa...
Wakongwe wako busy kutafuta contracts kama Le Mutuz....Hahaaaaa
Pamoja babu...Ndo kama hivi tunatokea mara moja moja...Umezibuka, muwe mnatokea hapa kusawazisha watoto wakichafua hali ya hewa kuliko kuondolewa marehemu Jumbe Zenj.
Le Mutuz is a head case, Lodi Lofa has nothing on him.
How do you say "logical consistency" in Swahili?
Uzi umeshaharibiwa
Umeandika jambo zuri sana, uthabiti wa mifano.
Uthabiti wa mifano, kwa mujibu wako, unakujaje?
Unajuaje mfano huu thabiti na mfano huu si thabiti?
Umeonaee mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] halaf bora mubah, huyo john maswali yalikuwa yanatia kichefuchefu cha moyo, inshort nilikuw simpend
Unafahamu kwamba unaweza kutoa mfano wa uliloliona wewe mwenyewe halafu mfano wako ukawa si thabiti?Shukrani kwa swali mkuu kiranga na samahani kwa kuchelewa kujibu
Uthabiti wa mifano hutokana mtendaji/msemaji kuelezea jambo lililomkuta-aliloliona yeye binafsi kupasina kusimuliwa.
Kwa mfano Jennifer Hudson alikwenda na Mama Winnie Mandela miezi kadhaa Afrika Kusini kabla ya kuigiza kama Winnie ili filamu iwe na mifano thabiti juu ya alivyo Mama Mandela