Nini hatma ya Polepole baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM inayofanyika Disemba 18, 2021?

Nini hatma ya Polepole baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM inayofanyika Disemba 18, 2021?

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
IMG-20211215-WA0004.jpg

Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi?

#Let's give a Time time,
 
Kikao hiki hakina ajenda ya polepole, polepole aloshaitwa na kamati ya maadili wakamalizana nae.
 
Napendekeza Mr. Polepole apandishwe cheo na kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni kijana anayejitambua ni mwerevu na anakijua chama vilivyo - apate muda mwingine wa kuisafisha CCM, kuna wahuni wachache waliobakia waondolewe maana wanaharibu taswira ya chama.
 
Mpeni nyie hiko cheo atawasaidia
 
Kwani mbunge wa kuteuliwa na Rais una kikomo akipokwa card ya chama ?
 
View attachment 2044840

Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi?

#Let's give a Time time,
Matarajio makubwa ni CCM kubadilika, kusikiliza kilio cha watanzania, kuacha siasa za umaarufu za cherehani mbili -kiwanda.

Kimsingi anchofanya polepole haihitaji kama wengi wanavyotaka kuamini kwamba ana watu aliowapanga nyuma yake, bali hao watu (wananchi) wanaoamini anayoyasema wapo, walikuwepo na wataendelea kuwepo nchini kote. Na wala usiamini kuwa kama Polepole akiacha shule yake ya uongozi hao wananchi watafutika, ila ile sauti ya kuwainua ndio itakosekana.

Hivi ni nani asiyejua kuwa WAHUNI NCHINI WALIOVAA GAMBA LA UONGOZI TANZANIA WAPO. Kauli za kujivua gamba, kutumbua n.k ziliwalenga akina nani. Wahuni wamekuwepo ndani ya Tanzania na ndani ya CCM kwa miaka zaidi ya 50, huwezi hata siku moja kuwaondoa kwa miaka 5 au 10. Kwa sababu uhuni ndani ya CCM ulikuwa Tamaduni kama asemavyo Bulembwa.

Watanzania wamesema NO, na CCM haina jinsi ila ni kubadilika tu.
 
Napendekeza Mr. Polepole apandishwe cheo na kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni kijana anayejitambua ni mwerevu na anakijua chama vilivyo - apate muda mwingine wa kuisafisha CCM, kuna wahuni wachache waliobakia waondolewe maana wanaharibu taswira ya chama.
CHADOMO
 
Kwani mbunge wa kuteuliwa na Rais una kikomo akipokwa card ya chama ?
Swali zuri, mie naamini kuteuliwa kwake hakutokani na chama, ila hapa watarekebisha kanuni watachanganya na uzoefu, kwa tabia ya ndugai, atamwondoa tu, maana utekeleza maagizo ya muhimili uliojichimbia!
 
Back
Top Bottom