Nini hatma ya Polepole baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM inayofanyika Disemba 18, 2021?

Nini hatma ya Polepole baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM inayofanyika Disemba 18, 2021?

Anaweza Kufanywa Lolote Kama Walivyofanyiwa Hawa
Kinana
Makamba Senior
Membe
Sofia Simba
 
Nadhali Polepole atafukuzwa CCM, halafu Benard Membe atarudishwa CCM rasmi kama Katibu wa kamati ya mambo ya nje.
 
Swali zuri, mie naamini kuteuliwa kwake hakutokani na chama, ila hapa watarekebisha kanuni watachanganya na uzoefu, kwa tabia ya ndugai, atamwondoa tu, maana utekeleza maagizo ya muhimili uliojichimbia!
Mbatia aliteuliwa na Kikwete, na aliendelea kufanya kazi kama mbunge wa Upinzani.
 
Napendekeza Mr. Polepole apandishwe cheo na kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni kijana anayejitambua ni mwerevu na anakijua chama vilivyo - apate muda mwingine wa kuisafisha CCM, kuna wahuni wachache waliobakia waondolewe maana wanaharibu taswira ya chama.
Akiwa ndani ya mfumo anakuwa mhuni.
Akiwa nje ya mfumo anajidai mzalendo.
Bora awe nje ya mfumo awe anatapika nakucheuwa
 
Napendekeza Mr. Polepole apandishwe cheo na kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni kijana anayejitambua ni mwerevu na anakijua chama vilivyo - apate muda mwingine wa kuisafisha CCM, kuna wahuni wachache waliobakia waondolewe maana wanaharibu taswira ya chama.
Atarudishwa kwenye uenezi. Anaupenda sana

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
The state wamemtuma chakubanga awalipue wahuni msoga camp wasimrubuni mama!!!wakimzingua atajitosa Umoja party ambapo ataongoza ushindi wa kishindo kwa mgombea wao!!!
 
The state wamemtuma chakubanga awalipue wahuni msoga camp wasimrubuni mama!!!wakimzingua atajitosa Umoja party ambapo ataongoza ushindi wa kishindo kwa mgombea wao!!!
Ajaribu aone, "Nguvu ya mamba iko kwenye maji "
 
Back
Top Bottom