Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Migogoro na mipasuko vidumu ndani ya CCM. Misuguano huleta joto na joto huzalisha nishati na nishati ni nguvu.View attachment 2044840
Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi?
#Let's give a Time time,
Tunaomba iwe hivyo ili kuleta amani na utulivu ktk jamii yetu.Kiroboto anafukuzwa leo..
Kwa katiba ya Tz hupaswi kuwa mbunge kama wewe sio mwanachama wa chama cha siasa. Haijarishi ubunge wako umeupataje.Kwani mbunge wa kuteuliwa na Rais una kikomo akipokwa card ya chama ?
Mbatia aliteuliwa na Kikwete, na aliendelea kufanya kazi kama mbunge wa Upinzani.Swali zuri, mie naamini kuteuliwa kwake hakutokani na chama, ila hapa watarekebisha kanuni watachanganya na uzoefu, kwa tabia ya ndugai, atamwondoa tu, maana utekeleza maagizo ya muhimili uliojichimbia!
Akiwa ndani ya mfumo anakuwa mhuni.Napendekeza Mr. Polepole apandishwe cheo na kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni kijana anayejitambua ni mwerevu na anakijua chama vilivyo - apate muda mwingine wa kuisafisha CCM, kuna wahuni wachache waliobakia waondolewe maana wanaharibu taswira ya chama.
Sure, Hana tofauti na wahaini huyuNi kweli muhuni!
Huyu mwamba daaahView attachment 2044840
Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi?
#Let's give a Time time,
Tunaomba iwe hivyo ili kuleta amani na utulivu ktk jamii yetu.
Huyo ni mtu wa ajabu saana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Atarudishwa kwenye uenezi. Anaupenda sanaNapendekeza Mr. Polepole apandishwe cheo na kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni kijana anayejitambua ni mwerevu na anakijua chama vilivyo - apate muda mwingine wa kuisafisha CCM, kuna wahuni wachache waliobakia waondolewe maana wanaharibu taswira ya chama.
Ni kesho tu ngoja tuone,View attachment 2044840
Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi?
#Let's give a Time time,
Nashauri apewe uwaziri wa Ulinzi ili tuone anavyowakamata hao wahuni
View attachment 2044840
Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi?
#Let's give a Time time,
Ajaribu aone, "Nguvu ya mamba iko kwenye maji "The state wamemtuma chakubanga awalipue wahuni msoga camp wasimrubuni mama!!!wakimzingua atajitosa Umoja party ambapo ataongoza ushindi wa kishindo kwa mgombea wao!!!
DuuuhAnachofanya Polepole ni Uhaini kabisa, Anaweza akapindua hata nchi kwa maneno yake hayo
#KaziiendeleeView attachment 2044840
Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi?
#Let's give a Time time,
Mie natamani afukuzwe, Ila wamuachie ubunge wake, ili awasulubishe huko bungeni!View attachment 2044840
Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi?
#Let's give a Time time,